Mzee Kaguta Museveni akiwa na miaka 80 anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026

Mzee Kaguta Museveni akiwa na miaka 80 anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Waganda huwaambii kitu kuhusu Mzee Yoweri Kaguta Museveni.

Na mzee baada ya kuina hilo anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026 kwenye Uchaguzi Mkuu.

Mzee atakuwa na miaka 81 na hali ya afya yake inazido kudorora, huku mrithi wake akionekana ni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye Waganda wengi wanahofia ukatili wake.

Mzee Museveni amekuwa madarakani January ya mwaka 1986 ambapo kwa huku kwetu Tanzania kwa kipindi hiko mpaka leo washapita Marais watano.

Waganda mpeni mitano tena, Rais wa Maisha. Ikumbukwe, mtoto wake ni Mkuu wa Majeshi huku mkewe akiwa ni Waziri.
IMG_6632.jpeg
 
Waganda huwaambii kitu kuhusu Mzee Yoweri Kaguta Museveni.

Na mzee baada ya kuina hilo anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026 kwenye Uchaguzi Mkuu.

Mzee atakuwa na miaka 81 na hali ya afya yake inazido kudorora, huku mrithi wake akionekana ni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye Waganda wengi wanahofia ukatili wake.

Mzee Museveni amekuwa madarakani January ya mwaka 1986 ambapo kwa huku kwetu Tanzania kwa kipindi hiko mpaka leo washapita Marais watano.

Waganda mpeni mitano tena, Rais wa Maisha. Ikumbukwe, mtoto wake ni Mkuu wa Majeshi huku mkewe akiwa ni Waziri.View attachment 3336015
Huo umri wa sasa ni fake, aliwahi kubadilisha umri wa kuzaliwa kwa kurudisha nyuma miaka yake na viongozi wake wa dini wakaafiki. Umri halali wa huyo mzee ni mkubwa kuliko unaotajwa.

Uzuri wa M7 kama hauingilii siasa zake, basi tafuta hela ujuavyo Ruksa. Ila ukigusa angle zake unapotezwa.

Hapa Tz hata ukipambana kivyako tegemea mkono wa serikali kukuandama kwa kisingizio cha sheria na kanuni za nchi.
 
Back
Top Bottom