njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 4,853
- 11,782
Jamani hivyo vibuti vya Mzee nimevikubali sanaa ,vibuti vimefika mpaka magotini
HahahaaaawJamani hivyo vibuti vya Mzee nimevikubali sanaa ,vibuti vimefika mpaka magotini
Kikubwa apewe mitano tenaHuo umri wa sasa ni fake, aliwahi kubadilisha umri wa kuzaliwa kwa kurudisha nyuma miaka yake na viongozi wake wa dini wakaafiki. Umri halali wa huyo mzee ni mkubwa kuliko unaotajwa.
Uzuri wa M7 kama hauingilii siasa zake, basi tafuta hela ujuavyo Ruksa. Ila ukigusa angle zake unapotezwa.
Hapa Tz hata ukipambana kivyako tegemea mkono wa serikali kukuandama kwa kisingizio cha sheria na kanuni za nchi.
Huyo anaichukuli uganda kama mali yake binafsi na familia yake.Hivi mzee mu7 anaona hajaachieve nini hadi leo anataka aendelee kukaa madarakani, na alichoshindwa kukifanya ndani ya miaka 39 ataweza kukifanya kwenye hiyo miaka mitano?
Uchaguzi uliopita Bobby Wine alipata 34% licha ya figisu zotee. Ikumbukwe bobby wine ni mwanamzikiUmeisahau na Cameroon kaka.
Ingawa nimestuka kusoma kwamba, "Waganda huwaambii kitu kwa Mu7" Hilo limenistua, sidhani kama ni jambo la kweli.
Bro, Jiwe alikua anapendwa sana na wananchi wa kawaida, fanya research hata sasa hvi. Nenda kwenye kampeni popote Tanzania, halafu mseme vibaya jiwe, nakuhakikishia hutapata KURA hapo. Jiwe alikua anachukiwa na intellectuals, wafanyabiashara wakubwa na wa kati plus wana siasa; the rest ulikua huwaambii kitu, labda kidogo na wafanyakazi hasa ngazi ya halmashauri, wazee wa posho za vikao na perdiem. Mwamba alizifutaga.Ni kama ilivyokuwa kwa Jiwe, wanazuga wanampenda maana ana mwanae ni kichaa sanaView attachment 3336095
Ang'atuke ili akafie jelaa? Anaona bora afie madarakani.Hivi mzee mu7 anaona hajaachieve nini hadi leo anataka aendelee kukaa madarakani, na alichoshindwa kukifanya ndani ya miaka 39 ataweza kukifanya kwenye hiyo miaka mitano?