Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Sasa wewe unaona kati ya waganda na watanganyika wepi wana bahati mbaya pro max?Africa bahati mbaya.. Lakini Uganda ni bahati mbaya pro max
Hakuna la zaidi ya kunogewaHivi mzee mu7 anaona hajaachieve nini hadi leo anataka aendelee kukaa madarakani, na alichoshindwa kukifanya ndani ya miaka 39 ataweza kukifanya kwenye hiyo miaka mitano?
Umeisahau na Cameroon kaka.Africa bahati mbaya.. Lakini Uganda ni bahati mbaya pro max
Sio kweli hawampendi kabisa.. Hasa vijanaUmeisahau na Cameroon kaka.
Ingawa nimestuka kusoma kwamba, "Waganda huwaambii kitu kwa Mu7" Hilo limenistua, sidhani kama ni jambo la kweli.
Mara nyingi unakuta keshajichokea hata yeye ila kundi linalonufaika na uwepo wake ndo wanaogopa akiondoka.Hivi mzee mu7 anaona hajaachieve nini hadi leo anataka aendelee kukaa madarakani, na alichoshindwa kukifanya ndani ya miaka 39 ataweza kukifanya kwenye hiyo miaka mitano?
Ni kama ilivyokuwa kwa Jiwe, wanazuga wanampenda maana ana mwanae ni kichaa sanaUmeisahau na Cameroon kaka.
Ingawa nimestuka kusoma kwamba, "Waganda huwaambii kitu kwa Mu7" Hilo limenistua, sidhani kama ni jambo la kweli.
Ugamba chi??😄Akina sebo na nyabo wanazingua sana
Mungu anaweza kuamua ugomviHuyu mwanae ndio hatari zaidi na inasemekana ndiye Rais ajayeView attachment 3336097
Pigeni viboko hilo babu lifie mbali ,vijana akina bob wine washike hatamu ,sio kukalia habari za ugamba chi .Ugamba chi??😄
Huo umri wa sasa ni fake, aliwahi kubadilisha umri wa kuzaliwa kwa kurudisha nyuma miaka yake na viongozi wake wa dini wakaafiki. Umri halali wa huyo mzee ni mkubwa kuliko unaotajwa.Waganda huwaambii kitu kuhusu Mzee Yoweri Kaguta Museveni.
Na mzee baada ya kuina hilo anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026 kwenye Uchaguzi Mkuu.
Mzee atakuwa na miaka 81 na hali ya afya yake inazido kudorora, huku mrithi wake akionekana ni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye Waganda wengi wanahofia ukatili wake.
Mzee Museveni amekuwa madarakani January ya mwaka 1986 ambapo kwa huku kwetu Tanzania kwa kipindi hiko mpaka leo washapita Marais watano.
Waganda mpeni mitano tena, Rais wa Maisha. Ikumbukwe, mtoto wake ni Mkuu wa Majeshi huku mkewe akiwa ni Waziri.View attachment 3336015