TANZIA Mzee Kavana (alishiriki Maasi ya 1964) afariki dunia!

Ahsante.
 
2024-1964=60
Alizaliwa lini
Elimu yake
 
Lole Gwakisa,una mambo mengi sana uyajuayo lkn umekuwa kimya sana
Mkuu sikujbu mapema tu, 1964 nilikuwepo ingawaje ndio bado niko la kwanza, mitaa ya Chang'ombe. Na tulishuhudia milio ya risasi Mgulani.
Kwa mara ya kwanza nikasikia milio ya machine gun ikirindima wa mbali.
Hakika ilikuwa wakati wa kutisha.
 
Kweli hapa JamiiForums kijiwe kimejaa vizazi vya rika mbalimbali, hongera kwa JamiiForums kuwezesha hali hii ya mtandao kukusanya jamii pana ya watanzania.
 
inanikumbusha monduli, watu wakishavalishwa majiwe yao wale trainer ma coplo hukimbia mbali kujificha wasijevuliwa vyeo
 
Halafu kuna mipumbavu na mizwazwa humu inauliza kwanini hakuna wahindi jeshini
Wakati tunaua jeshi la sasa limekuwa la kimbulula na kuvunja mawe na kubeba magogo
 
Mkuu sikujbu mapema tu, 1964 nilikuwepo ingawaje ndio bado niko la kwanza, mitaa ya Chang'ombe. Na tulishuhudia milio ya risasi Mgulani.
Kwa mara ya kwanza nikasikia milio ya machine gun ikirindima wa mbali.
Hakika ilikuwa wakati wa kutisha.
Hongera sana mkuu. Huo mwaka babu yangu alikuwa hajaoa hana hata first born.

Kuna historia nilisoma humu iliguswa juujuu, Tanganyika/Tanzania ilitoa tender kubwa kidogo ya magari ya kijeshi kutoka Ujerumani. Ningependa kujua yalikuwa magari gani na kwanini baadae hatukuendelea kuwa supplied na Germany tukaelekea Soviet Union na China.
 
Halafu kuna mipumbavu na mizwazwa humu inauliza kwanini hakuna wahindi jeshini
Wakati tunaua jeshi la sasa limekuwa la kimbulula na kuvunja mawe na kubeba magogo

Nimesoma interview hapo juu ya kanali mstaafu Ameen Kashmiri wa JWTZ alikuwa mzalendo kweli kweli kwa nchi yake Tanzania na jinsi alivyohoji mienendo na pilikapilika nyingi za major Elisha Matayo Kavana kuelekea maasi ya mwaka 1964...
 
..wakati wa maasi Elisha Kavana alikuwa Luteni.

..kama ameondoka jeshini akiwa Meja maana yake alipanda vyeo baada ya maasi.

..kwa hiyo alitumikia Jwtz.
Kuna taarifa hapo juu, kwamba alipandishwa cheo kuwa Meja siku hiyo ya maasi hapo Kambini Colito. Kambona alishinikizwa kufanya hivyo. Msome huyo "Mdosi Mzalendo", Kashmir, kaeleza kwenye simulizi yake, yeye akiwa ndani (mahabusu) siku hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…