TANZIA Mzee Kavana (alishiriki Maasi ya 1964) afariki dunia!

TANZIA Mzee Kavana (alishiriki Maasi ya 1964) afariki dunia!

1723398746930.png


January 1964 : Safari ya rais Julius Nyerere na makamu wa rais Rashidi Kawawa kupelekwa kwa kificho usiku wa manane kijiji cha Salanga Kigamboni kukimbia askari waasi wa KAR Tanganyika, akiongozana na mlinzi mkuu Peter D.M Bwimbo na askari polisi wawili wasio na silaha. Wawaeleza waendesha / operators pantoni kuna kikao cha dharura Kigamboni usiku huo wa manane, hivyo wawavushe haraka pia pantoni lisirudi upande wa Magogoni kwa kuwa watalihitaji kurudi nalo wakimaliza shughuli iliyowapeleka Kigamboni.... mkuu wa ulinzi wa rais wakati huo Peter D.M Bwimbo anasimulia usiku huo wa maasi hali ilikuwaje Ikulu Magogoni Dar es Salaam na mipango wa kuwapiga chenga waasi ..
 
Labda ni kwa vile marehemu hasemwi vibaya, ila kwa kuweka rekodi sawa nadhani ni sawa kuelezea jambo hili kwa jinsi lilivyokuwa, kwani ni sehemu ya historia ya hii nchi tuliyopo leo na vizazi vyetu.

Kiukweli, kwa namna hadi Luteni Elisha Kavana anapendekezwa kuwa kiongozi badala ya Askari wa Kizungu, tayari wote wasiounga mkono uasi ule walikuwa chini ya Ulinzi, na kubaki waliounga mkono.

Wakati Oscar Kambona amefikishwa kwenye kambi ya Colito, Kavana hakuwa chini ya ulinzi, na alikuwa miongoni mwa waliopiga yowe kumkataa Alex Nyirenda aliyetajwa awali kuwa kiongozi.

Hii ni tofauti na ilivyokuwa kwa Mirisho Sarakikya kwa kambi ya Tabora, ambaye aliteuliwa kuwa kiongozi huku akiwa mahabusu, kwani ilibidi atolewe mahabusu na kupewa taarifa, kisha akatoa amri ya kusitisha uasi.

Lakini, Kavana alitajwa jina lake kwa kupendekezwa huku mwenyewe akiwepo na kuvishwa kofia palepale na kushangiliwa, mbele ya Kambona ambaye wakati huo alikuwa ndiye Waziri wa Ulinzi.

Uamuzi uliompa uongozi Kavana ulifanywa na Kambona kwa shinikizo la Sgt. Ilogi na askari waliokuwako Colito wakati huo, akiwemo Kavana, wakimtisha kumpiga risasi Kambona asipotii matakwa yao.

RIP Mzee Elisha Kavana.

Ova
Historia muhimu ya kukumbukwa
 
TOKA MAKTABA:
Nyerere avishukuru vikosi vya jeshi la amani kutoka Nigeria kwa kazi nzuri ya kulinda amani Tanganyika kufuatia uasi wa KAR Tanganyika


View: https://m.youtube.com/watch?v=UiyGTCCWbcY

Jumatatu, Septemba 21, 1964. Picha zisizo na sauti za Rais Julius Nyerere wa Tanganyika akiwaenzi maofisa na askari wa Kikosi cha 3 cha Jeshi la Nigeria kwenye gwaride la kuwaaga katika Ikulu ya Dar-es-Salaam. Kikosi hicho, ambacho kiliongozwa na Luteni Kanali Yakubu Pam, kilikuwa kimechukua jukumu la ulinzi wa usalama lililofanywa na makomando wa Wanamaji wa Uingereza mwezi Aprili 1964. Makomando wa Kiingereza waliitwa na baada ya jeshi la Tanganyika lililoasi Januari 1964 kufutiliwa mbali. Jeshi la Nigeria lilipewa jukumu hilo baada ya mkutano wa dharura wa shirika la Umoja wa Afrika (OAU) jijini Dar-es-Salaam mwezi Februari. Wakati wa kazi hiyo, Luteni Kanali Pam alisimamia kazi za usalama pamoja na mafunzo kwa askari wapya wa jeshi jipya la Tanganyika. Kisasi cha askari 1,100 wapya walipewa mafunzo maalum ya miezi mitatu .

Monday, September 21st 1964.Soundless footage of President Julius Nyerere of Tanganyika honouring the officers and men of the 3rd Battalion of the Nigerian Army at a farewell parade at State House in Dar-es-Salaam. The battalion, which was led by Lieutenant Colonel Yakubu Pam, had taken over the policing role undertaken by British Royal Marine commandos in April. The British commandos were called in by the Tanganyikan army mutinied in January. The Nigerian Army was given the role after an emergency meeting of the organisation of African Unity (OAU) in Dar-es-Salaam in February.During the assignment, Lieutenant Colonel Pam oversaw policing as well as training duties.

On September 1st, 1,100 recruits for the new Tanganyikan Army completed a three-month training programme. Those soldiers, together with troops of the 2nd battalion Tanganyikan Rifles were expected to more than make up for the loss of the 1st Battalion which was disbanded after the mutiny.

Source : Adeyinka Makinde

Historia hii haisemwi publicly kwa vile kwa kweli ni aibu kwa kuwa askari wa kikoloni walimwasi Baba wa taifa na serikali yake.
 
Mpaka sasa hakuna aliyeelezwa huyu mwamba alitoka jeshini lini na kwa hiari au kwa zengwe,maisha yake baada ya kutika jeshini??
Watu wanasubiri hizo nondo
Mzee kvana alikuwa haongei kabia juu ya maisha yake kwa muda wote.
Hicho kimemfanya aishi kwa amani maana angufungua pandora box la matukio yaliyotokea, wengi wangetaka kuchukua hatua kwa wale waasi na familia zao.
 
Historia hii haisemwi publicly kwa vile kwa kweli ni aibu kuwa askari wa kikoloni waimwasi Baba wa taifa na serikali yake.

Halafu majeshi ya nje yakaitwa kuja kulinda Amani, hii lugha ya majeshi ya kulinda amani tulidhani ilianzia Haiti, DR Congo, Liberia, Sierra Leone, Ivory Coast, Somalia n.k kumbe aibu hii ilianzia Congo ya Lumumba Patrice kisha Tanganyika huru ya TANU / CCM mwaka 1964 historia inasema
 
"wa mtazamo chanya juu ya matatizo yanayoikumba Tanganyikan Rifles, wanahistoria wa TPDF walihitimisha kwamba “pengine maasi hayo yalikuwa ni baraka [kwa kuwa] yaliharakisha mchakato wa kazi ambao ulizaa jeshi la wananchi na mwelekeo wa sera za kigeni wenye maendeleo. .” 88
REF post 101, bagamoyo

Naona kwa wsliosoma theories za Contradictions and Conflicts, msimamo huo wa wasomi ndani ya TPDF una mantiki.
 
SPECIAL REPORT KUHUSU NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA IKIWEMO TANZANIA

Komredi Christopher Mutsvangwa msemaji wa chama tawala nchini Zimbabwe cha ZANU PF anaelezea sababu za nchi kama Tanzania, South Africa lazima mabadiliko ya vyama tawala au serikali ya umoja wa kitaifa zitatokea


View: https://m.youtube.com/watch?v=O3znVJJaXpw
Komredi Christopher Mutsvangwa anagusia Uasi wa jeshi nchini Tanganyika wakati wa Nyerere .... ikabidi Julius Nyerere amteue mzimbabwe Herbert Chitepo kuwa mwendesha mashtaka mkuu wa,serikali DPP kuendesha kesi dhidi ya waliohusika na maasi Tanganyika 1964 ... ni suala la muda tu mabadiliko ya kisiasa lazima yatatokea kwa amani nchini Tanzania
 
Dokumentari maalum

Makala haya yanaangazia historia ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambalo Septemba 1, 2024 lilitimiza miaka 60 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964, baada ya kuvunjwa kwa lilokuwa Jeshi la Tanganyika (Tanganyika Rifles) kufuatia maasi ya kijeshi ya Januari 1964.


View: https://m.youtube.com/watch?v=9dgc9xsKAvE

Source : the chanzo
 
Halafu majeshi ya nje yakaitwa kuja kulinda Amani, hii lugha ya majeshi ya kulinda amani tulidhani ilianzia Haiti, DR Congo, Liberia, Sierra Leone, Ivory Coast, Somalia n.k kumbe aibu hii ilianzia Congo ya Lumumba Patrice kisha Tanganyika huru ya TANU / CCM mwaka 1964 historia inasema

..kuna kikosi cha kulinda amani toka jeshi la NIGERIA kilikuja Tanganyika baada ya Waingereza kuzima maasi ya 1964.
 
..kuna kikosi cha kulinda amani toka jeshi la NIGERIA kilikuja Tanganyika baada ya Waingereza kuzima maasi ya 1964.

KUTOKA MAKTABA :

Nyerere akikagua Wanajeshi wa Kulinda Amani wa Nigeria Wanaoondoka Tanganyika | Septemba 1964

Vikosi vya Nigeria vilivyolinda amani nchini Tanganyika vikiagwa baada ya gwaride la kuwaenzi kwa utumishi wao ulitukuka katika viwanja vya Ikulu Dar es Salaam kwa kazi nzuri kuilinda Tanganyika kufuatia maasi ya wanajeshi wa Tanganyika Rifles


Nyerere Honours Nigerian Peacekeeping Troops Departing Tanganyika | 21 Sept. 1964

View: https://m.youtube.com/watch?v=UiyGTCCWbcY

Monday, September 21st 1964.Soundless footage of President Julius Nyerere of Tanganyika honouring the officers and men of the 3rd Battalion of the Nigerian Army at a farewell parade at State House in Dar-es-Salaam. The battalion, which was led by Lieutenant Colonel Yakubu Pam, had taken over the policing role undertaken by British Royal Marine commandos in April. The British commandos were called in by the Tanganyikan government after the Tanganyikan army mutinied in January. The Nigerian Army was given the role after an emergency meeting of the organisation of African Unity (OAU) in Dar-es-Salaam in February.During the assignment, Lieutenant Colonel Pam oversaw policing as well as training duties. On September 1st, 1,100 recruits for the new Tanganyikan Army completed a three-month training programme. Those soldiers, together with troops of the 2nd battalion Tanganyikan Rifles were expected to more than make up for the loss of the 1st Battalion which was disbanded after the mutiny.The intention was that the Nigerian soldiers would be replaced after six months by another contingent of African soldiers from either Algeria or Ethiopia, but the Tanzanian authorities decided that this was no longer necessary.During the ceremony, President Nyerere presented Lt. Col. Pam with ivory horns and the colonel returned the favour by presenting the president with a shield.

Source: Adeyinka Makinde 24 May 2019
Source: Reuters News
 
KUTOKA MAKTABA:
Vikosi vya Nigeria vikiwasili nchini Tanganyika baada ya Umoja wa Afrika kuilaani aibu iliyoletwa na Tanganyika kutumia majeshi ya Uingereza kuzima maasi Tanganyika


View: https://m.youtube.com/watch?v=PGsbLz9-lDA

Jumanne, Machi 31, 1964. Picha za kikosi cha kwanza cha askari wa kulinda amani wa Nigeria waliowasili Dar-es-Salaam, Tanganyika (baadaye Tanzania). Walikutana uwanja wa ndege na Bwana Ade Martins, Balozi wa Nigeria nchini Tanganyika, wajumbe wa baraza la mawaziri la Tanganyika na kamanda wa makomando wa Uingereza waliokuwa wakiondoka hivi karibuni. Chanzo: Reuters News Archive. Kumbuka: Wanajeshi wa Nigeria walichukua nafasi ya Makomando 600 wa Wanamaji wa Uingereza walioitwa kulinda amani kufuatia maasi ya Jeshi la Tanganyika Januari 1964. Jeshi la Nigeria lilipewa jukumu hilo baada ya mkutano wa dharura wa shirika la Umoja wa Afrika (OAU) jijini Dar-es-Salaam mwezi Februari. Wanajeshi hao walikuwa wanachama wa Kikosi cha 3 cha Jeshi la Nigeria kinachoongozwa na Luteni Kanali Yakubu Pam.

Source : Adeyinka Makinde 29 Oktoba 2019
 
Kwanini Nyerere hakutaka kurithi jeshi la wakoloni?
... kwanini wakoloni hawakutaka kumrithisha Nyerere jeshi?

:AweeWoo: :AweeWoo: :AweeWoo: 😅
 
Aisee nilichoambulia hapa kingine ni kujua kumbe teka teka land ishawahi kuletewe walinzi wa kulinda amani, watu wana siri nyie🤣
 
View attachment 3067232

January 1964 : Safari ya rais Julius Nyerere na makamu wa rais Rashidi Kawawa kupelekwa kwa kificho usiku wa manane kijiji cha Salanga Kigamboni kukimbia askari waasi wa KAR Tanganyika, akiongozana na mlinzi mkuu Peter D.M Bwimbo na askari polisi wawili wasio na silaha. Wawaeleza waendesha / operators pantoni kuna kikao cha dharura Kigamboni usiku huo wa manane, hivyo wawavushe haraka pia pantoni lisirudi upande wa Magogoni kwa kuwa watalihitaji kurudi nalo wakimaliza shughuli iliyowapeleka Kigamboni.... mkuu wa ulinzi wa rais wakati huo Peter D.M Bwimbo anasimulia usiku huo wa maasi hali ilikuwaje Ikulu Magogoni Dar es Salaam na mipango wa kuwapiga chenga waasi ..
Wanaojua hz habari ni wachache
 
Aisee nilichoambulia hapa kingine ni kujua kumbe teka teka land ishawahi kuletewe walinzi wa kulinda amani, watu wana siri nyie🤣

Na watawala wa sasa wajifunze kutoka hii historia, hali hii ya miaka hiyo inaweza kujirudia
 
Toka maktaba :
(29 April 1969) A threat to shoot a minister is alleged in Tanganyika mutiny trial...

View: https://m.youtube.com/watch?v=4EEYP7Y4TN0

Kesi ya uhaini ya maofisa wa kijeshi

Tanzanian Treason Trial Entering Third Week​


July 13, 1970

Credit...The New York Times Archives

July 13, 1970,


DAR ES SALAAM, Tanzania, July 12 — The trial of seven leading Tanzanian political fig ures on charges of treason will enter its third week tomorrow, and lawyers expect it to con tinue for four more weeks.

Each or the seven is charged on three counts of treason in allegedly plotting — between March, 1968, and October, 1969 — a coup d'etat and the assassination of President Julius K. Nyerere.

The accused are Grey Li kungu Mataka, former news editor of the Government owned Daily Nationalist; John Dunstan Chipaka, former secretary general of the defunct ANC African National Congress party; Miss Bibi Titi Moham med, former president of UWT the Union of Tanzanian Women; Michael Marshall Kamaliza, former Minister of Labor; Eliya Dunstan Chipaka, former captain in Tanzanian ArmyTPDF; colonel William Makbri Chacha, former military attaché to Peking, and Alfred Phillip Millinga, a former lieutenant in the Tanzanian Army TPDF.

The prosecution charges that the seven conspired with Oscar Kambona, former Minister of Regional Administration who is now in exile in London, to overthrow the Government of Tanzania by force.

The prosecution charges that the defendants attempted to re cruit Potlako Leballo, acting president of the Pan African Congress of South Africa, to act as a recruiting officer for men to take part in the planned coup.

Mr. Leballo, who has been on the witness stand since June 30, told Tanzanian authorities of the conspiracy, the prosecu tion said. Cross‐examination of Mr. Leballo will continue when the trial resumes tomorrow in the High Court here.

Chief Justice Philip Telfer Georges is conducting the trial with the assistance of four others.

Mr. Leballo told the court that he had been approached by Mr. Mataka in Nairobi with a message from Mr. Kambona saying a number of people in Tanzania were working with Mr. Kambona to overthrow the Government. He said that later,” acting under the instructions) of Tanzanian officials, he had met with Mr. Kambona in London to discuss the proposed coup.


He said that in later meet ings Mr. Kambona gave the impression that the planned coup had been abandoned. The prosecution says the reason was that Mr. Mataka had been arrested In Nairobi in October, 1969, after officials had been tipped off by Mr. Leballo...

Source : The New York Times
 
Back
Top Bottom