Kumbeee! Hongera mwenzetu kwa kujua hili. Umesema lipo wazi lakini huwezi kuamini, wengine sisi hata hatujui.Hao mawaziri ni Mwigulu, January Makamba,Nape Nauye,iko wazi kabisa,sema Chalamila kagusa watoto pendwa,sidhani kama ataendelea kuwa RC tena,
Hii nchi msemakweli ni adui mkubwa wa walamba asali,naona Samia kapewa maelekezo na boss wake kikwete lililobaki ni utekelezaji wa kutengua Chalamila
Kama hukusikiliza hotuba ya JK tafadhali usiwapotezee muda great thinkers wanaojadili matamshi ya Mstaafu Kikwete na hatma ya Chama cha Mapinduzi.. Chama hiki ni kikubwaEh, kumbe ameagiza Chalamila achukuliwe hatua?!!!!! Hilo nilikuwa sijasikia, sijui alilisema pale au pembeni?
Hivi zaidi ya kutoa angalizo tu kidogo kuna jingine kalisema hadi unasema 'ameelekeza lawama nzito' kama vile alinena hayo kwa muda mreefu?!!!!
Endapo JK analo jambo la kushauri alipeleke kwa utaratibu unaofahamika na Mama atalipokea kwa kuwa Mama yetu ni msikivu na mnyenyekevu tofauti na yeye JK ambaye wakati wa utawala wake aliwafukuza marais wastaafu Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi ili afanye maamuzi atakavyo.Labda yeye mstaafu anavyo vyombo vya uchunguzi mahiri zaidi ?? Hapo Alichemsha kwa lugha ya mtaani halafu amesababisha yawepo maswali mengi yasiyo na majibu!! Ukichanganya na Maneno ya Mzee Makamba unapata wasiwasi kidogo ! Ndo maana wengine wakauliza je wanamtisha Mkuu ??!!!
Sawa kiongozi, Nanyamaza nawapisha great thinkers waendelee na huu ulozi. Kama hili linaloendelea humu ndo u-great thinker wenyewe, basi sijilaumu tena kwa kutokuwa great thinker. Dah!Kama hukusikiliza hotuba ya JK tafadhali usiwapotezee muda great thinkers wanaojadili matamshi ya Mstaafu Kikwete na hatma ya Chama cha Mapinduzi.. Chama hiki ni kikubwa
Rais Mstaafu Kikwete anamwambia Rais Samia kwamba kwenye utawala wake hakukubali upuuzi huo, Lakini watanzania wote tunakumbuka nchi alivyoitumbukiza kwenye matatizo mengi kama uendeshaji duni wa chama na Serikali mpaka ikafikia hatua hatua ya KUJIVUA GAMBA ili kuinusuru CCM, mikataba mibovu kama Richmond, IPTL, Bandari ya Bagamoyo na Escrow mbayo ilisababisha hasara kubwa kwa nchi yetu lakini pia tunakumbuka bandari ya Dar es Salaam JK alivyoikabidhi kwa GSM hadi kusababisha mfarakano mkubwa na wafanyabiashara hadi watu kumwagiwa tindikali. leo Mzee Kikwete anapata wapi kiburi cha kutamka hayo hadharani kwamba jkwenye utawala wake hakukubali upuuzi huo.Sawa kiongozi, Nanyamaza nawapisha great thinkers waendelee na huu ulozi. Kama hili linaloendelea humu ndo u-great thinker wenyewe, basi sijilaumu tena kwa kutokuwa great thinker. Dah!
I doubt you are insane!Are you sane?
Je Mheshimiwa Mstaafu Jakaya Kikwete kwanini atumie nguvu kubwa kukanusha kuwepo kwa mawaziri wanao tafuta fedha na mikopo nje ya nchi kwa ajili ya kufanikisha uchaguzi wa mwaka 2025 na kumbwaga Rais aliyeko madarakani Mama yetu Samia Suluhu Hassan.Kumbeee! Hongera mwenzetu kwa kujua hili. Umesema lipo wazi lakini huwezi kuamini, wengine sisi hata hatujui.
Watanzania wengi wamezoea kupindisha maneno ili mradi tu kiongozi aonekane hayuko sahihiEh, kumbe ameagiza Chalamila achukuliwe hatua?!!!!! Hilo nilikuwa sijasikia, sijui alilisema pale au pembeni?
Hivi zaidi ya kutoa angalizo tu kidogo kuna jingine kalisema hadi unasema 'ameelekeza lawama nzito' kama vile alinena hayo kwa muda mreefu?!!!!
Kikwete amesema waiteni muwahoji kwenye chama hatua zinaanza baada ya kuhojiWatanzania wengi wamezoea kupindisha maneno ili mradi tu kiongozi aonekane hayuko sahihi
Kwahiyo msimamo wenu ni upi haswa?!!!!! Maana kila siku mnatuambia kuwa Rais sasa ni JK kwa kuwa Samia ni dada yake na amemfanya mshauri wake wa kwanza kwa kila jambo......mnawaita wala asali. Leo mnabadilisha stori, kuwa anataka kumpindua 2025 kupitia kina Nape, Mwigulu na Januari?!!!!! Wamegombana lini tena? Kisa nini?!!Je Mheshimiwa Mstaafu Jakaya Kikwete kwanini atumie nguvu kubwa kukanusha kuwepo kwa mawaziri wanao tafuta fedha na mikopo nje ya nchi kwa ajili ya kufanikisha uchaguzi wa mwaka 2025 na kumbwaga Rais aliyeko madarakani Mama yetu Samia Suluhu Hassan.
Kwa vyovyote vile mawaziri waliotajwa na Chalamila, Mzee Kikwete atakuwa anawajua kwa majina na wizara wanazoziongoza ni washirika wake katika kupanga njama za kumtoa Rais Samia 2025 ndio maana povu jingi likamtoka kuwatetea hadharani bila aibu.
Dah, Hatari sana hii!!Watanzania wengi wamezoea kupindisha maneno ili mradi tu kiongozi aonekane hayuko sahihi
Kikwete amesema waiteni muwahoji kwenye chama hatua zinaanza baada ya kuhojiWatanzania wengi wamezoea kupindisha maneno ili mradi tu kiongozi aonekane hayuko sahihi
Ndio maana unaona maswali yamekuwa mengi kwanini atokwe povu kama wako kitu kimoja?Kwahiyo msimamo wenu ni upi haswa?!!!!! Maana kila siku mnatuambia kuwa Rais sasa ni JK kwa kuwa Samia ni dada yake na amemfanya mshauri wake wa kwanza kwa kila jambo......mnawaita wala asali. Leo mnabadilisha stori, kuwa anataka kumpindua 2025 kupitia kina Nape, Mwigulu na Januari?!!!!! Wamegombana lini tena? Kisa nini?!!
Aiseee!! Kweli mi niko mbali mno na kuwa great thinker maana hata sielewielewi tu huku wenyewe mkijadili kwa mshawasha kweli.