Kumbeee! Hongera mwenzetu kwa kujua hili. Umesema lipo wazi lakini huwezi kuamini, wengine sisi hata hatujui.Hao mawaziri ni Mwigulu, January Makamba,Nape Nauye,iko wazi kabisa,sema Chalamila kagusa watoto pendwa,sidhani kama ataendelea kuwa RC tena,
Hii nchi msemakweli ni adui mkubwa wa walamba asali,naona Samia kapewa maelekezo na boss wake kikwete lililobaki ni utekelezaji wa kutengua Chalamila