Mzee Kikwete: CCM ya sasa ukimtambulisha kiongozi wa Upinzani anaonekana Adui, nilimpigia kampeni Dr Ndugulile WHO, Ummy naye alifanya Kazi Kubwa!

Akiwa msibani kwa Faustine Ndugulile Rais mstaafu Dr Kikwete amesema kwa CCM ya sasa kumtambulisha kiongozi wa Upinzani hadharani unaonekana Adui yaani Kirusi.

Kikwete amesema hayo wakati akimtambulisha mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee (Chadema)

Aidha Kikwete amesema baba yake Faustine yaani hayati Mzee Ndugulile alikuwa ni Rafiki yake na wamefanya Kazi pamoja Wizara ya Mambo ya nje.

Kikwete amesema alishiriki kumfanyia kampeni za WHO marehemu Faustine kwa kuongea na Viongozi mbalimbali wa Africa nao walikubali kutuunga mkono hata Senegal alipiga Simu kwa Waziri Mkuu naye akakubali Moja kwa Moja kuunga mkono Tanzania.

Pia Ummy Mwalimu alifanya Kazi Kubwa sana kuhakikisha Faustine anashinda.

Nawatakieni Dominica NJEMA 🌹
Chama kimejifia long time tu..kwani amejua leo
 
Afu mzee wawatu wala haringi
 
Ummy anapigiwa chapuu arudi,na ogopa rafiki anayeonekana msibani
 
JK unataka kutuambia nini? Mwenyekiti wa Chama amebariki kuwagawa wa Tanzania na wazee wetu mpo kimya??
Hawana Nguvu ya Maamuzi, sababu kwenye chama wameingia wajinga na wapumbavu wengi ambao hawaamini katika utanzania isipokua uchama na ubinafsi!
Wapo tayari kumwaga damu za watu ilimradi tu matakwa Yao ya kushikannafasi za kisiasa ambazo zinawanufaisha kiuchumi kupatikana
 
Akiwa msibani kwa Faustine Ndugulile Rais mstaafu Dr Kikwete amesema kwa CCM ya sasa kumtambulisha kiongozi wa Upinzani hadharani unaonekana Adui yaani Kirusi.

Kikwete amesema hayo wakati akimtambulisha mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee (Chadema)

Aidha Kikwete amesema baba yake Faustine yaani hayati Mzee Ndugulile alikuwa ni Rafiki yake na wamefanya Kazi pamoja Wizara ya Mambo ya nje.

Kikwete amesema alishiriki kumfanyia kampeni za WHO marehemu Faustine kwa kuongea na Viongozi mbalimbali wa Africa nao walikubali kutuunga mkono hata Senegal alipiga Simu kwa Waziri Mkuu naye akakubali Moja kwa Moja kuunga mkono Tanzania.

Pia Ummy Mwalimu alifanya Kazi Kubwa sana kuhakikisha Faustine anashinda.

Nawatakieni Dominica NJEMA 🌹
Kikwete hakuwa makini kama mwenyekiti wa ccm, ndio akampa nafasi bwm akatuletea jiwe akaharibu demokrasia ya nchi hii na upuuzi wa jiwe ndio umekuwa kanuni kuharibu uchaguzi Kila mwaka! Jiwe alikuwa Mpuuzi sana!
 
Wao kama wazee wa chama waingilie kati, else hali ni mbaya na itazalisha kundi ambalo litataka linavenge, revenge
And that how vurugu zitakuwa kubwa
Magufuli aliua nguvu ya wazee kwenye maamuzi ya chama. Nguvu ya wazee iliasisiwa na Nyerere. Kwankulitambua Hilo Magufuli akaamua kuwapunguza nguvu na kuwato katika sehemu ya maamuzi magumu ya chama. Akàanzisha kilichoitwa Baraza la ushauri ambalo halina meno. Kama mnavyojua ushauri ni ama ukubaliwe au ukataliwe. Baada ya kuwanyima nguvu akaanza kuwang'ong'a hadharani wazi wazi akijua hakuna WA kumfanya chilochote. Akaingiza kundi la wajinga na watumia nguvu kwenye chama kuliko hoja huku wakiimarisha ndoa Yao na vyombo vya Dola sambamba na mabadiliko lukuki ya Sheria za usalama na ulinzi!
Uadui miongoni mwa watanzania kwa misingi ya chama iliasisiwa na huyo na Wala hakiwezekani kupingwa. Kikwete alipeleka maendeleo kwa maeneo yalichagua upinzani kama njia ya wlkwashawishi wananchi wakuunge mkono na chama chake. Magufuli aliweka bayana kwamba hawezi na hatopeleka maendeleo Kwa watu wenye itikadi tofauti na chama chake. Alienda mbali kuwafananisha na magunzi na kutaka hadharani. Hii ilichochea na kurasimisha ukatili na uadui dhidi ya upinzani.
 
Magufuli alikua nguvu ya wazee kwenye maamuzi ya chama. Nguvu ya wazee iliasisiwa na Nyerere. Kwankulitambua Hilo Magufuli akaamua kuwapunguza nguvu na kuwato katika sehemu ya maamuzi magumu ya chama. Akàanzisha kilichoitwa Baraza la ushauri la wazee.
Hilo baraza la wazee liliasisiwa na mzee Rais mstaafu J. M. Kikwete.
 
Back
Top Bottom