Alisema wazee hawasikilizwiWao kama wazee wa chama waingilie kati, else hali ni mbaya na itazalisha kundi ambalo litataka linavenge, revenge
And that how vurugu zitakuwa kubwa
Huyu mzee janja2 sana.Akiwa msibani kwa Faustine Ndugulile Rais mstaafu Dr Kikwete amesema kwa CCM ya sasa kumtambulisha kiongozi wa Upinzani hadharani unaonekana Adui yaani Kirusi.
Kikwete amesema hayo wakati akimtambulisha mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee (Chadema)
Aidha Kikwete amesema baba yake Faustine yaani hayati Mzee Ndugulile alikuwa ni Rafiki yake na wamefanya Kazi pamoja Wizara ya Mambo ya nje.
Kikwete amesema alishiriki kumfanyia kampeni za WHO marehemu Faustine kwa kuongea na Viongozi mbalimbali wa Africa nao walikubali kutuunga mkono hata Senegal alipiga Simu kwa Waziri Mkuu naye akakubali Moja kwa Moja kuunga mkono Tanzania.
Pia Ummy Mwalimu alifanya Kazi Kubwa sana kuhakikisha Faustine anashinda.
Nawatakieni Dominica NJEMA πΉ
OkayHilo baraza la wazee liliasisiwa na mzee Rais mstaafu J. M. Kikwete.
NdugaiNi wa chama gani? [emoji23]
ChaChaNdu πππNdugai
Kifupi ni kwamba hata JK anashangazwa na yanayoendeleaHuyo aliyetambulishwa ni wa chama gani
Kumbuka baada ya kuwa na sifa unaingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea maana unakuwa sio mmoja.Kwa hiyo nafasi hiyo, aliipata kwa uwezo wake au ni mambo ya kisiasa Tena!
Any way,tuambieni yaliyo msibu hadi akafa
Ni ngumu kufika nafasi za juu kisiasa kama huna mizizi. Iwe upinzani au CCM. Kote kunahitaji background nzito.Kumbe marehemu ni wa kishua long time
Issue ya kupigiwa kura masta huwa inaambatana na kampeniKwa hiyo nafasi hiyo, aliipata kwa uwezo wake au ni mambo ya kisiasa Tena!
Any way,tuambieni yaliyo msibu hadi akafa
Huu ujumbe upo coded sana.Akiwa msibani kwa Faustine Ndugulile Rais mstaafu Dr Kikwete amesema kwa CCM ya sasa kumtambulisha kiongozi wa Upinzani hadharani unaonekana Adui yaani Kirusi.
Kikwete amesema hayo wakati akimtambulisha mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee (Chadema)
Aidha Kikwete amesema baba yake Faustine yaani hayati Mzee Ndugulile alikuwa ni Rafiki yake na wamefanya Kazi pamoja Wizara ya Mambo ya nje.
Kikwete amesema alishiriki kumfanyia kampeni za WHO marehemu Faustine kwa kuongea na Viongozi mbalimbali wa Africa nao walikubali kutuunga mkono hata Senegal alipiga Simu kwa Waziri Mkuu naye akakubali Moja kwa Moja kuunga mkono Tanzania.
Pia Ummy Mwalimu alifanya Kazi Kubwa sana kuhakikisha Faustine anashinda.
Nawatakieni Dominica NJEMA πΉ
Alichangia ushiriki wa kampeniKwahiyo ndio tuseme bila Kikwete Ndugulile asingepata nafasi WHO?
CCM ya sasa ni kama kina Lucas Mwashambwa, johnthebaptist, Mwijaku na wasanii wenzie. CCM ya zamani Makamba, Kikwete na wale wachache waliojificha!!Dr Kikwete amesema kwa CCM ya sasa kumtambulisha kiongozi wa Upinzani hadharani unaonekana Adui yaani Kirusi.
Mimi na Freeman tumeanzia TANU πCCM ya sasa ni kama kina Lucas Mwashambwa, @johnthebapist, Mwijaku na wasanii wenzie. CCM ya zamani Makamba, Kikwete na wale wachache waliojificha!!
Mwagito umenielewa nahisi......
Kabisa, hivi Mbeya kwa Sugu Chadema hata mtaa mmoja hawajapata na Magufuli ni marehemu!Kikwete hakuwa makini kama mwenyekiti wa ccm, ndio akampa nafasi bwm akatuletea jiwe akaharibu demokrasia ya nchi hii na upuuzi wa jiwe ndio umekuwa kanuni kuharibu uchaguzi Kila mwaka! Jiwe alikuwa Mpuuzi sana!
Chadema Wana ujinga mwingiKabisa, hivi Mbeya kwa Sugu Chadema hata mtaa mmoja hawajapata na Magufuli ni marehemu!
Chama cha ndugai
[/QUOTπππJob Ndugai & Late Magufuli.
Mzee yupo sahihi.Akiwa msibani kwa Faustine Ndugulile Rais mstaafu Dr Kikwete amesema kwa CCM ya sasa kumtambulisha kiongozi wa Upinzani hadharani unaonekana Adui yaani Kirusi.