Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
Shoga baba yako falaa mmoja tu wewe kama wewe ulikua unamahaba nae uyo muuaji na muasisi wa mauaji ni wewe usitulazimishe tumpende haya yote yanayoendelea ni sababu yake huyo marehemu wenu wanaume machawa kama nyie kutwa kuchezewa mitaro na kupakatwa kusifia harakati na juhudi chanzo ni huyo marehemu wenuWewe utakuwa shoga au fisadi.
Shithole mkubwa wewe! Utakuwa unapakatwa wewe shoga wa MoshiShoga baba yako falaa mmoja tu wewe kama wewe ulikua unamahaba nae uyo muuaji na muasisi wa mauaji ni wewe usitulazimishe tumpende haya yote yanayoendelea ni sababu yake huyo marehemu wenu wanaume machawa kama nyie kutwa kuchezewa mitaro na kupakatwa kusifia harakati na juhudi chanzo ni huyo marehemu wenu
Wao wameng'ang'ana Kila siku eti ni mbunge wa Chadema.....bure kbs 😃😃Bora waseme ni mbunge wa NCHI(viti maalumu) 🤣
Pumbavu we
Acheni kuvhafua watuMeneja kampeni wa Sugu kule Nyasa Bilionea Mungai alimuhonga msimamizi wa Uchaguzi Mh Mrema BIA 19 Ili mchungaji Msigwa afanyiwe figisu na Sugu atangazwe Mshindi 😂😂
Naona Mzee Amesahau ile ccm ya kichaa magu imesharudi. Hawaoni akina Bashite ulingoni! Wale ni watekaji na wauaji.Akiwa msibani kwa Faustine Ndugulile Rais mstaafu Dr Kikwete amesema kwa CCM ya sasa kumtambulisha kiongozi wa Upinzani hadharani unaonekana Adui yaani Kirusi.
Kikwete amesema hayo wakati akimtambulisha mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee (Chadema)
Aidha Kikwete amesema baba yake Faustine yaani hayati Mzee Ndugulile alikuwa ni Rafiki yake na wamefanya Kazi pamoja Wizara ya Mambo ya nje.
Kikwete amesema alishiriki kumfanyia kampeni za WHO marehemu Faustine kwa kuongea na Viongozi mbalimbali wa Africa nao walikubali kutuunga mkono hata Senegal alipiga Simu kwa Waziri Mkuu naye akakubali Moja kwa Moja kuunga mkono Tanzania.
Pia Ummy Mwalimu alifanya Kazi Kubwa sana kuhakikisha Faustine anashinda.
Nawatakieni Dominica NJEMA 🌹
Ruzuku hamchukui?Chama cha ndugai
Marehemu pia alisoma huko Zimbabwe, so inaonekana Baba yake alikuwa kwenye balozi yetu pale Harare. So alikuwa yeye na familia yake.Ethnic networks, ukiona kobe juu ya mti ujue kapandishwa. Watoto wa kapuku's watasota sana aisee! That's the fact
Mwenye Tivii ameshtuka kuwa yeye ndiye mwenye mali. Kanyang'anya rimoti yenyewe.Si tuliambiwa rimoti ipo msoga au imekuaje tena🐼
UmeongopaMagufuli aliua nguvu ya wazee kwenye maamuzi ya chama. Nguvu ya wazee iliasisiwa na Nyerere. Kwankulitambua Hilo Magufuli akaamua kuwapunguza nguvu na kuwato katika sehemu ya maamuzi magumu ya chama. Akàanzisha kilichoitwa Baraza la ushauri ambalo halina meno. Kama mnavyojua ushauri ni ama ukubaliwe au ukataliwe. Baada ya kuwanyima nguvu akaanza kuwang'ong'a hadharani wazi wazi akijua hakuna WA kumfanya chilochote. Akaingiza kundi la wajinga na watumia nguvu kwenye chama kuliko hoja huku wakiimarisha ndoa Yao na vyombo vya Dola sambamba na mabadiliko lukuki ya Sheria za usalama na ulinzi!
Uadui miongoni mwa watanzania kwa misingi ya chama iliasisiwa na huyo na Wala hakiwezekani kupingwa. Kikwete alipeleka maendeleo kwa maeneo yalichagua upinzani kama njia ya wlkwashawishi wananchi wakuunge mkono na chama chake. Magufuli aliweka bayana kwamba hawezi na hatopeleka maendeleo Kwa watu wenye itikadi tofauti na chama chake. Alienda mbali kuwafananisha na magunzi na kutaka hadharani. Hii ilichochea na kurasimisha ukatili na uadui dhidi ya upinzani.
Justify!Umeongopa
Aliyewaondoa wazee ni JK huyo huyo, alibadili katiba ya ccm na kuwaondoa kwa kisingizio kuwa wapate muda mwingi wa kupumzika. Maamuzi yakabaki kwake na watu wake, Wala usimsingizie mtu mwingine.
Justify!Umeongopa
Aliyewaondoa wazee ni JK huyo huyo, alibadili katiba ya ccm na kuwaondoa kwa kisingizio kuwa wapate muda mwingi wa kupumzika. Maamuzi yakabaki kwake na watu wake, Wala usimsingizie mtu mwingine.
Tusaidie na hili Kwa referenceChadema ndo waanzilishi wa chuki za kiitikadi sasahivi wanalipia gharama ya walichokianzisha.
Na huu ndio ujinga wa WaTz wengi. Mtu anaona sawa CHaDeMa kudhulumiwa, lakini timu yake ya Yanga au Simba ikiumizwa na maamuzi ya makosa ya Refa, basi ni kelele kutwa nzima!Ni rahisi sana kusema wana ujinga wakati chama kikuu refa wao, taratibu wanatunga wao, wanateua wasimamiz wao? Wanashindwaje kutumia huo mwanya kujipatia ushindi?
Upinzan unapigana kwenye mazingira ambayo wamefungwa mikono nyuma
Wewe ni mgeni? Katiba ya ccm iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2012 iliondoa wazee, ilileta maneno sana wakati huo lakini jk alitoa sababu kuwa wazee wapate muda mwingi kupumzikaJustify!
Na unikumbushe vizuri pia ujasiri aliokua nao Ally Happy juu ya Hawa wazee kuwataka kunyamaza na zama zao zimeisha. Nisaidie mkuu kwa faida yangu na wengi
Chadema mmesahau mara hii mlivyokuwa mnatuzomea na kuturushia makopo tulivyokatiza mtaani na sare zetu za kijani? Ilifikia hatua tukashindwa kuvaa sare zetu, those days kwenu ilkuwa sherehe sasa ime-backfire mmeanza mayowe!!Tusaidie na hili Kwa reference
aliwahi kusema mama asipomuomba ushauri yeye na wastaafu wenzake watakaa kimya tu, mama atajua mwenyeweKikwete hayupo tena na mama
Umesahau kuweka alama ya ? Au tusome kama ilivyo?Kikwete hayupo tena na mama
sijajua wewe ni sheikh, imaam wa msikiti, maalim au ni ustaadh tu. Naona unachomeka mawaidha ya dini kunako comment, inshaallah tumekuelewaMtume alisema:
(Tirmidhi, Hadith No. 2459)