Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
NimesahauUmesahau kuweka alama ya ? Au tusome kama ilivyo?
Hivyo siowote ni wabaya ila virusi vilivyo miongoni mwao?Akiwa msibani kwa Faustine Ndugulile Rais mstaafu Dr Kikwete amesema kwa CCM ya sasa kumtambulisha kiongozi wa Upinzani hadharani unaonekana Adui yaani Kirusi.
Kikwete amesema hayo wakati akimtambulisha mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee (Chadema)
Aidha Kikwete amesema baba yake Faustine yaani hayati Mzee Ndugulile alikuwa ni Rafiki yake na wamefanya Kazi pamoja Wizara ya Mambo ya nje.
Kikwete amesema alishiriki kumfanyia kampeni za WHO marehemu Faustine kwa kuongea na Viongozi mbalimbali wa Africa nao walikubali kutuunga mkono hata Senegal alipiga Simu kwa Waziri Mkuu naye akakubali Moja kwa Moja kuunga mkono Tanzania.
Pia Ummy Mwalimu alifanya Kazi Kubwa sana kuhakikisha Faustine anashinda.
Nawatakieni Dominica NJEMA 🌹
Kama bwana mdogo unakumbuka vyema, CCM walikua hawawezi kuvaa sare za chama Chao sio kutokana na kuchukiwa na CHADEMA. Nasema hivi nikikumbusha kwamba Mimi sio mwanachama wa CHADEMA na sijawahi kuwa.Chadema mmesahau mara hii mlivyokuwa mnatuzomea na kuturushia makopo tulivyokatiza mtaani na sare zetu za kijani? Ilifikia hatua tukashindwa kuvaa sare zetu, those days kwenu ilkuwa sherehe sasa ime-backfire mmeanza mayowe!!
Yuko sahihi,tumefikishwa hapa na awamu ya 5 na hali hii inaendelezwa na awamu ya 6.Akiwa msibani kwa Faustine Ndugulile Rais mstaafu Dr Kikwete amesema kwa CCM ya sasa kumtambulisha kiongozi wa Upinzani hadharani unaonekana Adui yaani Kirusi.
Kikwete amesema hayo wakati akimtambulisha mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee (Chadema)
Aidha Kikwete amesema baba yake Faustine yaani hayati Mzee Ndugulile alikuwa ni Rafiki yake na wamefanya Kazi pamoja Wizara ya Mambo ya nje.
Kikwete amesema alishiriki kumfanyia kampeni za WHO marehemu Faustine kwa kuongea na Viongozi mbalimbali wa Africa nao walikubali kutuunga mkono hata Senegal alipiga Simu kwa Waziri Mkuu naye akakubali Moja kwa Moja kuunga mkono Tanzania.
Pia Ummy Mwalimu alifanya Kazi Kubwa sana kuhakikisha Faustine anashinda.
Nawatakieni Dominica NJEMA 🌹
Wasiwasi upo kwa Team MsogaAkiwa msibani kwa Faustine Ndugulile Rais mstaafu Dr Kikwete amesema kwa CCM ya sasa kumtambulisha kiongozi wa Upinzani hadharani unaonekana Adui yaani Kirusi.
Kikwete amesema hayo wakati akimtambulisha mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee (Chadema)
Aidha Kikwete amesema baba yake Faustine yaani hayati Mzee Ndugulile alikuwa ni Rafiki yake na wamefanya Kazi pamoja Wizara ya Mambo ya nje.
Kikwete amesema alishiriki kumfanyia kampeni za WHO marehemu Faustine kwa kuongea na Viongozi mbalimbali wa Africa nao walikubali kutuunga mkono hata Senegal alipiga Simu kwa Waziri Mkuu naye akakubali Moja kwa Moja kuunga mkono Tanzania.
Pia Ummy Mwalimu alifanya Kazi Kubwa sana kuhakikisha Faustine anashinda.
Nawatakieni Dominica NJEMA 🌹
Kimsingi hakuna Rais ambae anaweza penda kupangiwa Cha kufanya ,elewa hivyo 😁😁Kikwete hayupo tena na mama
Na huu ndio ukweli,unategemea nini mpaka hapo? Kwamba Samia hataki Madaraka?Magufuli aliua nguvu ya wazee kwenye maamuzi ya chama. Nguvu ya wazee iliasisiwa na Nyerere. Kwankulitambua Hilo Magufuli akaamua kuwapunguza nguvu na kuwato katika sehemu ya maamuzi magumu ya chama. Akàanzisha kilichoitwa Baraza la ushauri ambalo halina meno. Kama mnavyojua ushauri ni ama ukubaliwe au ukataliwe. Baada ya kuwanyima nguvu akaanza kuwang'ong'a hadharani wazi wazi akijua hakuna WA kumfanya chilochote. Akaingiza kundi la wajinga na watumia nguvu kwenye chama kuliko hoja huku wakiimarisha ndoa Yao na vyombo vya Dola sambamba na mabadiliko lukuki ya Sheria za usalama na ulinzi!
Uadui miongoni mwa watanzania kwa misingi ya chama iliasisiwa na huyo na Wala hakiwezekani kupingwa. Kikwete alipeleka maendeleo kwa maeneo yalichagua upinzani kama njia ya wlkwashawishi wananchi wakuunge mkono na chama chake. Magufuli aliweka bayana kwamba hawezi na hatopeleka maendeleo Kwa watu wenye itikadi tofauti na chama chake. Alienda mbali kuwafananisha na magunzi na kutaka hadharani. Hii ilichochea na kurasimisha ukatili na uadui dhidi ya upinzani.
Itakuwa mama alichoka kupewa maelekezoKimsingi hakuna Rais ambae anaweza penda kupangiwa Cha kufanya ,elewa hivyo 😁😁
Wapinzani hamuwezi kujikausha mkitegemea mbeleko ya JK.Huu ujumbe upo coded sana.
Yajayo YANAFURAHISHA
Chadomo ya mitandaoni ndio wapigakura wa Mbeya?Kabisa, hivi Mbeya kwa Sugu Chadema hata mtaa mmoja hawajapata na Magufuli ni marehemu!
Kwan huymjui nafasi ya juu yyte lazma ume MR / MRS careoffKumbe Ndungulile ni ukoo wa panya (mtoto wa mnufaika wa ccm)??
Jaman mm jiwe sikumpenda kwa vijimambo vyake bt kwa sasa inatosha tumpumzishe kwa shutma za kweli na za kutungaKikwete hakuwa makini kama mwenyekiti wa ccm, ndio akampa nafasi bwm akatuletea jiwe akaharibu demokrasia ya nchi hii na upuuzi wa jiwe ndio umekuwa kanuni kuharibu uchaguzi Kila mwaka! Jiwe alikuwa Mpuuzi sana!
Imefikia muda hata bora tusingesoma bora tungekua waasi tu watu tunaumia hatutoboi hapoNdio nilichosema, kwani napi ana nini cha maana hadi kuwa katika top levels za maamuzi ya nchi zaidi ya kuwa baba yake yupo kwenye network? Watu wanatambulishana baba yake nilifanya naye kazi, nilisoma naye, nilikuwa naye JKT, au JWTZ tukiwa maafisa wadogo, ninasali naye, alinipokea wkt naanza kazi, alinipa nyumba ya kupanga bure, alikuwa ananipa lift wakati naanza maisho so nampambania mwanae. Kumbuka huyuhuyu Jk alisema Manji alikabidhiwa na baba yake na anapokuja US anafikia kwa baba yake, so ujue ukwasi wa manji ulioteketezwa na jiwe pia ulitokana na network then yeye na makamba wakasema baba yake napi alimkabidhi yeye na makambaz. So tungekuwa its ethnic network inafanya kazi kula mafao ya nchi. Wewe na maarifa yako kaanzishe shamba au genge la mbogamboga kule, wafanya maamuzi ni wenye surname za mongela, kikwete, mkapa, msuya, natepe, marwa, mboma, pinda, msekwa nk, pia maofisini kote uliza wakurugenzi na wakubwa wote ni nani ndo utajua
Halafunsio Dr per say kuna waendesha boda hapa kibada wanamzidi ila ndo hvo mafuriko yalimpandisha kobe juu ya muembeNami nilikuwa nashangaa sana.
CV ya Ndugulile ni ya kawaida sana, bila godfather asingeweza kufika hatua hiyo kamwe
Kwanini uadui wa kisiasa uanaongezeka nchini?Akiwa msibani kwa Faustine Ndugulile Rais mstaafu Dr Kikwete amesema kwa CCM ya sasa kumtambulisha kiongozi wa Upinzani hadharani unaonekana Adui yaani Kirusi.
Kikwete amesema hayo wakati akimtambulisha mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee (Chadema)
Aidha Kikwete amesema baba yake Faustine yaani hayati Mzee Ndugulile alikuwa ni Rafiki yake na wamefanya Kazi pamoja Wizara ya Mambo ya nje.
Kikwete amesema alishiriki kumfanyia kampeni za WHO marehemu Faustine kwa kuongea na Viongozi mbalimbali wa Africa nao walikubali kutuunga mkono hata Senegal alipiga Simu kwa Waziri Mkuu naye akakubali Moja kwa Moja kuunga mkono Tanzania.
Pia Ummy Mwalimu alifanya Kazi Kubwa sana kuhakikisha Faustine anashinda.
Nawatakieni Dominica NJEMA 🌹
Mwisho wa siku maccm yenzake yakanywa damu yake.CCM na CHADEMA ni matapeli, Magufuli aligundua hilo akawapelekea moto.
Na unatakiwa kuongezeka ila uhai wa majambaz wa ccm uwe mfupi zaidi.Kwanini uadui wa kisiasa uanaongezeka nchini?