thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma.
Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo.
Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia.
Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea, aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu nikaona kwenye uzinduzi wa hiyo Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM ,du!
Ukweli lazima usemwe, wazo lilikuwa awamu ya kwanza, awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa, na si vibaya hata kidogo.
Hili la kuhamia Dodoma kwa serikali, hakikuwa kipa umbele chenu.
Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia aliachiwa kitonga na kumalizia, hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.na pengine bila nguvu yake tusingekuwa tnazungumzia uzinduzi leo hii, Magufuli alipingwa sana na wanasiasa na makundi mbalimbali,lakini hakujali
Kama kuna anaebisha, tuanzie kuzichambua juhudi za awamu ya pili, tatu,na nne nini zilichofanya kuhusu Ikulu ya Dodoma,. , kila kitu kipo rekodedi.
Nikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi tu, Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma hauhusiki kabisa ulilipa kisogo.
Air time aliyokupa Mama Samia, umeitumia kujipigia promo tu, kwenye hamna.