Mzee Kikwete, dunia ni ya utandawazi kila jambo litajieleza. Legacy yako ipo tu

Ukweli lazima usemwe,haijalishi unaumiza upande upi,
History inaandikwa,isijae upotoshaji,

Hata hao unaowaita wanateleza ilani ya CCM kuna tofauti ya maono baina yao

Ndio maana mzee Kikwete alisema sasa hivi wanaccm hawaachiani glass za maji,
Unahalalisha chuki ambazo hazikusaidii kwa namna yoyote ile. Wote wanakabidhiwa ilani moja ya CCM na wana jukumu la kuitekeleza kurasa moja baada ya nyingine.
 
Chuki ilianzishwa na wale walioshangilia kifo cha Magufuli na hakuna kiongozi yoyte alietoka hadharani kukemea sana waligonga glass na cheers,tulia dawa iingie
 
Unachokataa kitu gan? Si imesemwa pale wazo la kuhamia lipo toka 1971.na ilikua iwe chimwaga.lakin jk akasema aliamua chimwag iwe chuo .badala yake mipango sasa iwe chamwimo.of which wala sio ajabu.aliyefata kakuta kiwanja kipo chamwino kwaa maaana anaona kwenye faili folio ngap ilikua chimwaga ila utekelezaji sasa utakua chamwino. Haya kama hakufanya kitu unakataa pia kwamba hakuweka preliminaries za ujenzi.heka 60 za mwanzo alileta nani? Em acha ucdm
Acha upunguani wewe dogo
 
Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma.

Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo.

Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia.

Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea, aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu nikaona uzinduzi wa Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM.

Ukweli lazima usemwe,wazo lilikuwa awamu ya kwanza, awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa, na si vibaya hata kidogo.

Hili la kuhamia Dodoma kwa serikali, hakikuwa kipa umbele chenu.

Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia kakuta kitonga na kumalizia, hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.na pengine bila nguvu yake tusingekuwa tnazungumzia uzinduzi leo hii,alipingwa sana na wanasiasa na makundi mbalimbali,lakini hakujali

Kama kuna anaebisha, tuanzie kuzichambua juhudi za awamu za pili, tatu,na nne nini zilichofanya kuhusu Ikulu ya Dodoma,. , kila kitu kipo rekodedi.

Nikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi. Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma hauhusiki kabisa ulilipa kisogo.

Air time aliyokupa Mama Samia, umeitumia kujipigia promo tu, kwenye hamna.
Hili suala la legacy mbona linakua mjadala kila kukicha? JPM yapo amelifanyia Taifa na watanzania wanajua!! So sioni mantiki ya kuipagania legacy wakat kila awamu inajulikana nn ilifanya!!
 
Unachokataa kitu gan? Si imesemwa pale wazo la kuhamia lipo toka 1971.na ilikua iwe chimwaga.lakin jk akasema aliamua chimwag iwe chuo .badala yake mipango sasa iwe chamwimo.of which wala sio ajabu.aliyefata kakuta kiwanja kipo chamwino kwaa maaana anaona kwenye faili folio ngap ilikua chimwaga ila utekelezaji sasa utakua chamwino. Haya kama hakufanya kitu unakataa pia kwamba hakuweka preliminaries za ujenzi.heka 60 za mwanzo alileta nani? Em acha ucdm
Jinsia yako mkuu?
 
Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma.

Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo.

Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia.

Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea, aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu nikaona uzinduzi wa Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM.

Ukweli lazima usemwe,wazo lilikuwa awamu ya kwanza, awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa, na si vibaya hata kidogo.

Hili la kuhamia Dodoma kwa serikali, hakikuwa kipa umbele chenu.

Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia kakuta kitonga na kumalizia, hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.na pengine bila nguvu yake tusingekuwa tnazungumzia uzinduzi leo hii,alipingwa sana na wanasiasa na makundi mbalimbali,lakini hakujali

Kama kuna anaebisha, tuanzie kuzichambua juhudi za awamu za pili, tatu,na nne nini zilichofanya kuhusu Ikulu ya Dodoma,. , kila kitu kipo rekodedi.

Nikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi. Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma hauhusiki kabisa ulilipa kisogo.

Air time aliyokupa Mama Samia, umeitumia kujipigia promo tu, kwenye hamna.
Uzinduzi wa Leo wameutia doa tupu.
 
Na ndio maana hata tuzo zimetoka 2 tu, kwa Nyerere na Magufuli. Samia kuna muda anaamua kujizima data tu ila anajua kila kitu.
Mama na huyo mwamba ni Pete na kidole hata Katika huo ufunguzi amemsifia sifia na kumpa kipaumbele mpaka basi kuliko kumsifia alieweka mkazo wahilo suala . Yes hajampa ila Wanajuana hao!
 
Back
Top Bottom