Kuna watu wana ideology za kipuuzi sana. Hawawezi kusifia kazi nzuri za JPM bila kushambulia wengine.
Kusema awamu zilizopita hazikufanya kitu na bila awamu ya 5 pasingekwa na kitu ni UPOTOSHAJI wa kijinga.
JPM ameingia ikulu baada ya kazi nzuri ya uwaziri chini ya maraisi watangulizi. Sasa kama hakuna kilichofanyika ni kazi zipi alikuwa anafanya akiwa waziri mpaka CV ikaonekana?
NYERERE ANA SEHEMU YAKE, MWINYI ANA SEHEMU YAKE, MKAPA ANA SEHEMU YAKE, KIKWETE ANA SEHEMU YAKE, MAGUFULI ANA SEHEMU YAKE NA SAMIA ATAKUWA NA SEHEMU YAKE.