Mzee Kikwete, dunia ni ya utandawazi kila jambo litajieleza. Legacy yako ipo tu

Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma.

Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo.

Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia.

Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea, aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu nikaona kwenye uzinduzi wa hiyo Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM ,du!

Ukweli lazima usemwe, wazo lilikuwa awamu ya kwanza, awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa, na si vibaya hata kidogo.

Hili la kuhamia Dodoma kwa serikali, hakikuwa kipa umbele chenu.

Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia aliachiwa kitonga na kumalizia, hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.na pengine bila nguvu yake tusingekuwa tnazungumzia uzinduzi leo hii, Magufuli alipingwa sana na wanasiasa na makundi mbalimbali,lakini hakujali

Kama kuna anaebisha, tuanzie kuzichambua juhudi za awamu ya pili, tatu,na nne nini zilichofanya kuhusu Ikulu ya Dodoma,. , kila kitu kipo rekodedi.

Nikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi tu, Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma hauhusiki kabisa ulilipa kisogo.

Air time aliyokupa Mama Samia, umeitumia kujipigia promo tu, kwenye hamna.
jamaa siku hizi ana wasuprise tu kwenye hafla kama hizo... haji kumbe anakuja
 
Retired ana kiherehere mnoo.

Enewei tumshukuru kwa kutupatia spika wa Bunge la Katiba Mwanamke
 
Dk Shein ndio rais aliyeijenga Zanzibar baada ya karume wa kwanza lakini huyu baba yupo mpole Sana mnyenyekevu mno hana mambo mengi,Mwenyezi Mungu ampe nguvu na umri mrefu wenye wingi wa rehema na Neema nyingi Kuna jengo la hodi la wanawake liliachwa kujengwa tangu karume wa kwanza yeye alimaza ndio rais pekee aliyetekekeza ndoto za Mzee Karume .
 
Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma.

Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo.

Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia.

Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea, aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu nikaona kwenye uzinduzi wa hiyo Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM ,du!

Ukweli lazima usemwe, wazo lilikuwa awamu ya kwanza, awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa, na si vibaya hata kidogo.

Hili la kuhamia Dodoma kwa serikali, hakikuwa kipa umbele chenu.

Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia aliachiwa kitonga na kumalizia, hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.na pengine bila nguvu yake tusingekuwa tnazungumzia uzinduzi leo hii, Magufuli alipingwa sana na wanasiasa na makundi mbalimbali,lakini hakujali

Kama kuna anaebisha, tuanzie kuzichambua juhudi za awamu ya pili, tatu,na nne nini zilichofanya kuhusu Ikulu ya Dodoma,. , kila kitu kipo rekodedi.

Nikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi tu, Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma hauhusiki kabisa ulilipa kisogo.

Air time aliyokupa Mama Samia, umeitumia kujipigia promo tu, kwenye hamna.
Mzee Dkt Kikwete kwanza nikiri mi ni shabiki wake kindakindaki kabisa, nampenda kwa hekima zake na utulivu alio nao. Kwa sasa suala la kumsifia Dkt Magufuli kila mmoja hajiamini kwa sababu ya hali ya hewa. Ila alichokiongelea kina msingi sana kuonesha bila yeye Dkt Kikwete UDOM isingekuwepo na hiyo chamwino pia uamuzi usingekuwa huo. Nampongeza sana kwa uamuzi alioufanya akiwa rais na hatimaye kupata ikulu mpya. Hasa hizo study tours.
 
Uzwaga huu. Kikwete katika maelezo yake kisa Cha kuitaja UDOM alikuwa ana link namna walivyojadili ikuluvikajengwe wapi. Acheni Siasa za Maji taka.

Tuwaache wazee wetu wastaafu wapumzike sio Kila siku kuwalinganisha Kwa mitazamo ya kuwagombanisha
 
Kabisa. Hata suala la kumtaja au kutokumtaja Dkt Magufuli zilikuwa propaganda tu.
 
Mimi nilisikia alimtaha mara mbili . Anyesbisha atuletee audio au video clip Kikwete hapa tusikie km hakumtaja Hayati Dr JPM.
Tuache Siasa mteremko vijana
 
Mama na huyo mwamba ni Pete na kidole hata Katika huo ufunguzi amemsifia sifia na kumpa kipaumbele mpaka basi kuliko kumsifia alieweka mkazo wahilo suala . Yes hajampa ila Wanajuana hao!
Washauri wa saamia kwa sasa wamebaki akina kikwete baada ya membe kutangulia na ndo màana nape anamsongo wa mawazo
 
Jakaya alikuwa anajitahidi kweli kukolezea dhima yao kwamba awamu zote zimehusika kama simulizi ya kulazimisha ya zuhura ilivyoeleza naona makubaliano yalikuwa sio kuitukuza zaidi awamu ya tano badala ya kuzungumza ukweli kwamba awamu ya Kwanza ilianzisha awamu ya tano ikatekeleza Kwa vitendo sasa mambo ya kusema sijui walienda kuangalia mfano Kuala Lumpa sijui kujenga chuo kikuu huko ni kutaka kulazimisha kufuta legacy ya mwenzie.

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni.

Kwanza awamu ya nne haijawahi kuwaza hata kuhamishia serikali Dodoma huo ndio ukweli.

Na kama ingetokea Membe au Lowassa wangeshinda 2015 nakuhakakikishia serikali ingekuwa Dar bado.
Wasile bata Dar na kila siku wanapishana angani saangapi wangehamia Dodoma ?
 
Sahihi,mama wa watu ni mcha mungu sana,tatizo kila eneo anaingiliwa,imagine leo hotuba ya rais Samia, i Mrisho Mpoto kaielezea history yote ya Ikulu mama akashindwa kusoma yake,

Huu ni ubaradhuli mkubwa sana wa wasaidizi wake baadhi
Kwani yeye ndiye aliambiwa atoe historia?
 
Alikuwa anadeshi tu ,halafu mpoto inaonekana wimbo ulihaririwa,yaani kwa Magufuli kapita kama mwewe,ila kwa Jakaya alipiga kambi,yaani watu wako hai ila wanaendelea kumfanyia dhulma hayati Magufuli,dhambi sana hii
Kibaya chajitembeza na kizuri cha jiuza hata ufanye nini!
 
Unachokataa kitu gan? Si imesemwa pale wazo la kuhamia lipo toka 1971.na ilikua iwe chimwaga.lakin jk akasema aliamua chimwag iwe chuo .badala yake mipango sasa iwe chamwimo.of which wala sio ajabu.aliyefata kakuta kiwanja kipo chamwino kwaa maaana anaona kwenye faili folio ngap ilikua chimwaga ila utekelezaji sasa utakua chamwino. Haya kama hakufanya kitu unakataa pia kwamba hakuweka preliminaries za ujenzi.heka 60 za mwanzo alileta nani? Em acha ucdm
Huu ni mkuki wa mbavuni![emoji2][emoji2][emoji2]
 
Jakaya alikuwa anajitahidi kweli kukolezea dhima yao kwamba awamu zote zimehusika kama simulizi ya kulazimisha ya zuhura ilivyoeleza naona makubaliano yalikuwa sio kuitukuza zaidi awamu ya tano badala ya kuzungumza ukweli kwamba awamu ya Kwanza ilianzisha awamu ya tano ikatekeleza Kwa vitendo sasa mambo ya kusema sijui walienda kuangalia mfano Kuala Lumpa sijui kujenga chuo kikuu huko ni kutaka kulazimisha kufuta legacy ya mwenzie.

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni.

Kwanza awamu ya nne haijawahi kuwaza hata kuhamishia serikali Dodoma huo ndio ukweli.

Na kama ingetokea Membe au Lowassa wangeshinda 2015 nakuhakakikishia serikali ingekuwa Dar bado.
Ekar 60 za awali alitenga Nyerere?.Kwa nini aliyezitenga hamtaki aingie kwenye mipango?.
Acheni uchawi.
 
Watatumia nguvu kubwa sana kufifisha legacy ya magufuli, ila jiwahakikishie legacy ya jpm ni kama lulu hata ukiitia kwenye matope itang'aa tu ukijaribu kumchafua magufuli utachafuka wewe.
The man was anointed by God na alifanya kazi takatifu. Sema vizuri havidumu saiz tungekuwa bado uchumi wa kati. Kama alipanda uchumi wa lower middle income huku dunia ikiws kwenye mdororo wa uchumi sababu ya corona. Bado kuna wajinga wachache wakaja na analysis kuwa zilikuwa juhudi za awam ya msoga, baada ya msiba tu hata kabla kaburi halijafifia tuta nchi ikarudi lower income, wale viwavi hawakuongea kama zile zilikuwa juhudi za msoga. Maana msoga yupo ameshika rimoti anabadili tu chaneli km mtoto
 
Back
Top Bottom