julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Ulikitaka kiweje ? Watu hawagraduate? Hakuna research pale? Au ulichosoma hakipo mzee baba. Mbona kuna tu vyuo hatulingan na udom. Shida ya udom nini hasa ?? Au kwa vile imejengwa na j.kUDOM ulikuwa mradi wa upigaji wa fedha Za serikali.
Hakuna chuo kikuu duniani kisicho na mpangilio kama UDOM.