Mzee Kikwete, dunia ni ya utandawazi kila jambo litajieleza. Legacy yako ipo tu

K
Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma.

Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo.

Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia.

Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea, aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu nikaona kwenye uzinduzi wa hiyo Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM ,du!

Ukweli lazima usemwe, wazo lilikuwa awamu ya kwanza, awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa, na si vibaya hata kidogo.

Hili la kuhamia Dodoma kwa serikali, hakikuwa kipa umbele chenu.

Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia aliachiwa kitonga na kumalizia, hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.na pengine bila nguvu yake tusingekuwa tnazungumzia uzinduzi leo hii, Magufuli alipingwa sana na wanasiasa na makundi mbalimbali,lakini hakujali

Kama kuna anaebisha, tuanzie kuzichambua juhudi za awamu ya pili, tatu,na nne nini zilichofanya kuhusu Ikulu ya Dodoma,. , kila kitu kipo rekodedi.

Nikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi tu, Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma hauhusiki kabisa ulilipa kisogo.

Air time aliyokupa Mama Samia, umeitumia kujipigia promo tu, kwenye hamna.
Kila jambo lina wakati wake! Ndio maana kuna sehemu yeye aliona ni priority kwa kipindi hicho!

Ndio maana wewe hukuongea wala kuandika kipindi kilichopita muds huu ndio muuafaka kwa wewe kuwashawashwa!
 
Siasa ni kujipa promo na kwa style yake hiyo kafika hapo alipofika

JK huwa ni mtu wa kujiongeza na imemsaidia, mnataka abadilishe style yake ya Siasa at 70 tena kwa kushauriwa na watu wasio na mafanikio yoyote ya kujilinganisha nae?

Jipe Maua yako mwenyewe ukiwa hai na nguvu usisubiri kupewa ukiwa ndani ya sanduku
 
Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma.

Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo.

Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia.

Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea, aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu nikaona kwenye uzinduzi wa hiyo Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM ,du!

Ukweli lazima usemwe, wazo lilikuwa awamu ya kwanza, awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa, na si vibaya hata kidogo.

Hili la kuhamia Dodoma kwa serikali, hakikuwa kipa umbele chenu.

Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia aliachiwa kitonga na kumalizia, hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.na pengine bila nguvu yake tusingekuwa tnazungumzia uzinduzi leo hii, Magufuli alipingwa sana na wanasiasa na makundi mbalimbali,lakini hakujali

Kama kuna anaebisha, tuanzie kuzichambua juhudi za awamu ya pili, tatu,na nne nini zilichofanya kuhusu Ikulu ya Dodoma,. , kila kitu kipo rekodedi.

Nikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi tu, Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma hauhusiki kabisa ulilipa kisogo.

Air time aliyokupa Mama Samia, umeitumia kujipigia promo tu, kwenye hamna.
Nchi ina wimbi kubwa sana la wajinga wanaojiita gt! Hata kama humpendi lakini jakaya aliongea kwa niaba ya maraisi wastaafu pale. Mwinyi umri umeenda anaweza akaenda nje ya mada.
Yote kwa yote kuhamishia serikali Dodoma lilikuwa la kipuuzi sana. Ni mzigo na gharama kubwa kwa walipa kodi wa nchi hii! Nchi masikini inajengaje ikulu ya gharama vile?
 
Hakuna kupoteza muda hapo. Ujenzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma ulianzishwa na JPM.
Hawa wengine hawana hata aibu kuwadanganya Watanzania kwamba na wao walijenga.
Aibu yao.
 
Yaani marehemu kauwawa kisha waliobaki wanashindana nae kumzima kwa kujipachika kwenye kazi alizozfanya kwa ujasiri mkubwa sana,

Aibu hawana kabisa
 
Nchi ina wimbi kubwa sana la wajinga wanaojiita gt! Hata kama humpendi lakini jakaya aliongea kwa niaba ya maraisi wastaafu pale. Mwinyi umri umeenda anaweza akaenda nje ya mada.
Yote kwa yote kuhamishia serikali Dodoma lilikuwa la kipuuzi sana. Ni mzigo na gharama kubwa kwa walipa kodi wa nchi hii! Nchi masikini inajengaje ikulu ya gharama vile?
Wewe na huyo mswahili wapuuzi, afterall mleta uzi hajaonyesha chuki kwa Jakaya bali katoa maoni yake kulingana na hali na tafakari yake
 
Siasa ni kujipa promo na kwa style yake hiyo kafika hapo alipofika

JK huwa ni mtu wa kujiongeza na imemsaidia, mnataka abadilishe style yake ya Siasa at 70 tena kwa kushauriwa na watu wasio na mafanikio yoyote ya kujilinganisha nae?

Jipe Maua yako mwenyewe ukiwa hai na nguvu usisubiri kupewa ukiwa ndani ya sanduku
Promo kwenye hakuna,unajipa promo halafu unazodolewa?,ujinga mtupu,zama hazigandi,watanganyika wamezinduka
 
Wewe na huyo mswahili wapuuzi, afterall mleta uzi hajaonyesha chuki kwa Jakaya bali katoa maoni yake kulingana na hali na tafakari yake
Kama unafiri kikwete ni mswahili na asiye na hadhi basi unakosea sana na kushusha kabisa uwezo wako mdogo wa kufikir uliobaki!
 
Chuki ilianzishwa na wale walioshangilia kifo cha Magufuli na hakuna kiongozi yoyte alietoka hadharani kukemea sana waligonga glass na cheers,tulia dawa iingie
Kifo cha yule mzee ilikua kuponywa kwa taifa, Watu kushangilia haikua ni chuki waliponywa na mateso
 
Promo kwenye hakuna,unajipa promo halafu unazodolewa?,ujinga mtupu,zama hazigandi,watanganyika wamezinduka
Yeye kishamaliza Siasa zake na kila alichotaka kwny Siasa kapata …sasa kuzinduka kwako kunamkosesha nini?
 
Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma.

Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo.

Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia.

Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea, aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu nikaona kwenye uzinduzi wa hiyo Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM ,du!

Ukweli lazima usemwe, wazo lilikuwa awamu ya kwanza, awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa, na si vibaya hata kidogo.

Hili la kuhamia Dodoma kwa serikali, hakikuwa kipa umbele chenu.

Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia aliachiwa kitonga na kumalizia, hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.na pengine bila nguvu yake tusingekuwa tnazungumzia uzinduzi leo hii, Magufuli alipingwa sana na wanasiasa na makundi mbalimbali,lakini hakujali

Kama kuna anaebisha, tuanzie kuzichambua juhudi za awamu ya pili, tatu,na nne nini zilichofanya kuhusu Ikulu ya Dodoma,. , kila kitu kipo rekodedi.

Nikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi tu, Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma hauhusiki kabisa ulilipa kisogo.

Air time aliyokupa Mama Samia, umeitumia kujipigia promo tu, kwenye hamna.
Chuki itakuua ndugu.Hakuna Raisi aliyefanya maendeleo kama Kikwete.Huyo mungu wenu kaliingizia hasara sana hili taifa.Kulikuwa na haja gani ya kujenga ikulu nyingine wakati ikulu ipo?Jk aliunganisha mikoa yote kwa barabara za lami,eti nyie sifa mnampa mungu wenu magu!Ni barabara gani aliijenga magu katika utawala wake inayounganisha mkoa hadi mkoa?Acheni chuki nyie sg
 
Kama baba yako mbakaji anavyotamani kurudi lakini ndio hivyo anajiozea tu huko
Pole, linakuuma mwenyewe liMunguMtu lako. Anzisheni kanisa lenu ili mmwabudie vizuri Baradhuli yule
 
Chuki itakuua ndugu.Hakuna Raisi aliyefanya maendeleo kama Kikwete.Huyo mungu wenu kaliingizia hasara sana hili taifa.Kulikuwa na haja gani ya kujenga ikulu nyingine wakati ikulu ipo?Jk aliunganisha mikoa yote kwa barabara za lami,eti nyie sifa mnampa mungu wenu magu!Ni barabara gani aliijenga magu katika utawala wake inayounganisha mkoa hadi mkoa?Acheni chuki nyie sg
Maendeleo yapi?,
1,kushamili kwa biashara ya dawa za kulevya?,
2,wafanyakazi hewa?,
3,ujambazi kushamili
4,mauaji ya alibno?
5,kuleta vyandarua toka marekani?
6,kusaini mikataba ya kinyonyaji?
8,kusafiri kila mara kutembeza bakuri?

Acha ujinga wako
 
Unachokataa kitu gan? Si imesemwa pale wazo la kuhamia lipo toka 1971.na ilikua iwe chimwaga.lakin jk akasema aliamua chimwag iwe chuo .badala yake mipango sasa iwe chamwimo.of which wala sio ajabu.aliyefata kakuta kiwanja kipo chamwino kwaa maaana anaona kwenye faili folio ngap ilikua chimwaga ila utekelezaji sasa utakua chamwino. Haya kama hakufanya kitu unakataa pia kwamba hakuweka preliminaries za ujenzi.heka 60 za mwanzo alileta nani? Em acha ucdm
Kama angekua na preminaries za ujenzi, basi angeanza upandaji angalau wa miti kuanzia 2007-2014 na sasa Chamwino yote ingekua kijani. Hakuna chochote Jakaya Mrisho Kikwete alichofanya zaidi ya porojo. Ona sasa ikulu sasa hivi "in the middle of nowhere"

Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom