badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,450
- 2,761
Ni lini mara yako ya mwisho kufika moshi town?Mzee ukitoa DOM, DAR, MWANZA & CHATO.
Ni Mkoa gani umepata Maendeleo enzi za MAGUFULI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lini mara yako ya mwisho kufika moshi town?Mzee ukitoa DOM, DAR, MWANZA & CHATO.
Ni Mkoa gani umepata Maendeleo enzi za MAGUFULI?
Kwenye magosi tuHata mzee wa rondo mlikuwa mnamsifia hivyo hivyo mara kachero mbobezi mara sijui nini kafa kaishia kuzikwa na watu wasiozidi 200 sasa mtu unajiuliza umaarufu wake ulikuwa wapi?
Kwahiyo Kikwete bado anagombana na marehemu?Uzwaga huu. Kikwete katika maelezo yake kisa Cha kuitaja UDOM alikuwa ana link namna walivyojadili ikuluvikajengwe wapi. Acheni Siasa za Maji taka.
Tuwaache wazee wetu wastaafu wapumzike sio Kila siku kuwalinganisha Kwa mitazamo ya kuwagombanisha
Thubutu labda useme miwiliKikwete alikuwa anamuonea wivu Magufuli kwa mafanikio yake. Miaka kumi ya Kikwete ni mitano ya Magufuli
Kajamaa huwa kanatamani miaka irudi nyuma ili aweze kusahihisha makosa yakeThubutu labda useme miwili
Wanajidanganya sana hawa.Hata mzee wa rondo mlikuwa mnamsifia hivyo hivyo mara kachero mbobezi mara sijui nini kafa kaishia kuzikwa na watu wasiozidi 200 sasa mtu unajiuliza umaarufu wake ulikuwa wapi?
Haa kumbe tuzo zimetoka mbiliNa ndio maana hata tuzo zimetoka 2 tu, kwa Nyerere na Magufuli. Samia kuna muda anaamua kujizima data tu ila anajua kila kitu.
Yaani sijui watu wanashindania nini.....mbaya zaidi wanawasifu watu kaam vile walitoa pesa zao mfukoni wakatelezeza hiyo miradi na si Kodi zetu.Huu ubaguzi tunauendekeza humu JF sidhani kama miongoni mwa marais wanakuwa na akili hizi za kubaguana.
Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, JPM na Samia wote wanatekeleza ilani moja ya CCM, inakera kuona wafuasi wao tunatoana macho humu jukwaani kwa hoja za chuki na pengine wivu.
Mapato ya ndani boss aisee......yakatosha kujenga hiyo miradi?Kazi kwelikweli,mmoja yeye alikuwa bingwa wa trip, mwingine alijikita kuijenga nchi yake kwa mapato ya ndani
Ila kuna kuzidiana mkuu hata darasni hamuwezi ote kuwa sawa means kuna wakwanza hadi wa mwishoKuna watu wana ideology za kipuuzi sana. Hawawezi kusifia kazi nzuri za JPM bila kushambulia wengine.
Kusema awamu zilizopita hazikufanya kitu na bila awamu ya 5 pasingekwa na kitu ni UPOTOSHAJI wa kijinga.
JPM ameingia ikulu baada ya kazi nzuri ya uwaziri chini ya maraisi watangulizi. Sasa kama hakuna kilichofanyika ni kazi zipi alikuwa anafanya akiwa waziri mpaka CV ikaonekana?
NYERERE ANA SEHEMU YAKE, MWINYI ANA SEHEMU YAKE, MKAPA ANA SEHEMU YAKE, KIKWETE ANA SEHEMU YAKE, MAGUFULI ANA SEHEMU YAKE NA SAMIA ATAKUWA NA SEHEMU YAKE.
Mkuu lakini hili tatizo kwa nini limeanza awamu ya tano? Kuna shida kwa wafuasi wa awamu ya tano najiuliza nini kilipangwa mpk hali iko hivi?Kuna watu wana ideology za kipuuzi sana. Hawawezi kusifia kazi nzuri za JPM bila kushambulia wengine.
Kusema awamu zilizopita hazikufanya kitu na bila awamu ya 5 pasingekwa na kitu ni UPOTOSHAJI wa kijinga.
JPM ameingia ikulu baada ya kazi nzuri ya uwaziri chini ya maraisi watangulizi. Sasa kama hakuna kilichofanyika ni kazi zipi alikuwa anafanya akiwa waziri mpaka CV ikaonekana?
NYERERE ANA SEHEMU YAKE, MWINYI ANA SEHEMU YAKE, MKAPA ANA SEHEMU YAKE, KIKWETE ANA SEHEMU YAKE, MAGUFULI ANA SEHEMU YAKE NA SAMIA ATAKUWA NA SEHEMU YAKE.
Sijaona kosa la JK kwenye siku ya jana basi tu watu wakiamua kukupak matope...huyo anayejitambua yuko wapi sasa bwaaaaUle ujumbe wa mstaafu kuwashwa uliekezwa kwake ila huwa hajitambui huyo
Weka ushahidi mkuu maneno tu tunaamini vipi?HAKUNA awamu ya kipumbavu kama ya Kikwete, kwanza nchi ilimshinda kuongoza na watu wengi sana walitekwa na kutupwa Mabwepande wakiwa wameng'olewa kucha na pliers ama kuminywa pumbu mpaka zinabondeka kama chapati kisa tu umemkosoa. Wafanyakazi serikalini walikuwa hawafanyi kazi, ujambazi na wizi ulizidi mijini, uuzwaji madawa ya kulevya ulishamiri huku mwanaye (Ridhiwani) akiwa kinara wa hiyo biashara mpaka akalitia taifa hasara kwenda kumtoa gerezani China alipokamatwa na makontena ya madawa. Leo hii nchi imefirisiwa na Wachina kwa ajili ya uzembe wa Kikwete kusaini mikataba ya kijinga kukubaliana na conditions alizopewa na Wachina ili kumuokoa mwanaye. Kikwete si mtu ambaye anatakiwa kuonekana hadharani, hafai kwa chochote. Kwa kweli tunahitaji katiba mpya ili tuwakamate na kuwanyonga viongozi wapuuzi na wezi wa mali ya umma.
NdioHaa kumbe tuzo zimetoka mbili
Hapana boss, hatuna kipimo cha kuwashindanisha mafundi wanaojenga nyumba moja.Ila kuna kuzidiana mkuu hata darasni hamuwezi ote kuwa sawa means kuna wakwanza hadi wa mwisho
Leo hii nipo hapo, na hakuna lolote la maana.Ni lini mara yako ya mwisho kufika moshi town?
Lile shetani lenu la Chato ndo linatamani kama lirudi kuja kutumaliza kabisaKajamaa huwa kanatamani miaka irudi nyuma ili aweze kusahihisha makosa yake
Ukweli Magufuli alimprovu wrong pakubwa mno Jakaya Kikwete, Kikwete hakuitumia dhamana ya urais kujenga nchi bali alikuwa anazurula hovyo akiacha uhalifu mkubwa ndani ya serikali ukiendelea,hili linamuumiza sana
Lakini na yeye Mpoto kaupata ujumbe sawia,watu wamemsuuza haswa kwenye page yake kule Instagram mpaka amelimit comment.Kumbe nawewe umeona eeehhh hahaa! Mi mwenyewe alipoanza kuflow sifa za wa awali nikasubiria sifa kemkem za jiwe yani kwa nature ya mjomba nilijua kwa Mwamba angeuaaaaaaa haaaa dakika Mbili nyingi ni shwaaaa kahamia kwa mama [emoji23][emoji23]!
Maelezo yako yameonyesha upande wako kwenye huu mtifuanoYaani sijui watu wanashindania nini.....mbaya zaidi wanawasifu watu kaam vile walitoa pesa zao mfukoni wakatelezeza hiyo miradi na si Kodi zetu.
Najiuliza tu Kuna mbegu gani imepandwa ya kuharibu mema yote ya serikali zilizopita mpk hii moja ndio iwe imefanya kila kitu ndani ya miaka mitano