Mzee Kikwete, dunia ni ya utandawazi kila jambo litajieleza. Legacy yako ipo tu

Watatumia nguvu kubwa sana kufifisha legacy ya magufuli, ila jiwahakikishie legacy ya jpm ni kama lulu hata ukiitia kwenye matope itang'aa tu ukijaribu kumchafua magufuli utachafuka wewe.
The man was anointed by God na alifanya kazi takatifu. Sema vizuri havidumu saiz tungekuwa bado uchumi wa kati. Kama alipanda uchumi wa lower middle income huku dunia ikiws kwenye mdororo wa uchumi sababu ya corona. Bado kuna wajinga wachache wakaja na analysis kuwa zilikuwa juhudi za awam ya msoga, baada ya msiba tu hata kabla kaburi halijafifia tuta nchi ikarudi lower income, wale viwavi hawakuongea kama zile zilikuwa juhudi za msoga. Maana msoga yupo ameshika rimoti anabadili tu chaneli km mtoto
Huyo mtu anakumbukwa sana tu, shida yenu inakuja pale ambapo hamtaki kusikia na wengine......kwamba nyie mnataka atajwe yeye tu asubuhi, mchana, jioni na usiku wa manane. Wakitajwa na wengine pia, mmekasirika mnakuja na mimaneno yenu ya uzushi na chuki. Hapo ndipo mnapofeli.
 
Ukilinganisha na chuo gani?
Vp,unaifahamu mipango yoote ya muda mrefu kwa upande wa ujenzi na uendelezwaji wa UDOM uiweke hapa?
Pengine unayo ramani?
🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu watakutukana tu hapo, hutopata jibu.

Ili uwe mwenzao, we jiunge tu katika kulaumu na kuhisi wizi wa wengine huku ukitukuza utukufu wa mtu wao ambaye hakuwa na dosari yeyote ile.....alikuwa perfect kama malaika!
 
Huyo mtu anakumbukwa sana tu, shida yenu inakuja pale ambapo hamtaki kusikia na wengine......kwamba nyie mnataka atajwe yeye tu asubuhi, mchana, jioni na usiku wa manane. Wakitajwa na wengine pia, mmekasirika mnakuja na mimaneno yenu ya uzushi na chuki. Hapo ndipo mnapofeli.
JPM ndio alitakiwa kuwa center of the speech sababu ni maono yake na juhudi kubwa alizofanya zilileta matokeo. Hakupewa credit aliyokuwa anastahili hata kidogo. Sasa sijui walifanya hivyo ili kumkomoa au kutaka kumpotezea kidizaini ila ni vichekesho sana. Ni ajabu mno serikali kujenga chuki ya aina hio dhidi ya kiongozi ambaye alikuwa na misimamo thabiti ya kuleta mapinduzi kimikakati na uwajibikaji katika taifa kitu ambacho kilikuwa dhahiri kwa kila mtu.

Kilichofanyika ni sawa na muhubiri kutoa neno halafu akwepe kumtaja Yesu kristo au neno Mungu. Au kuandika biblia bila kuhusisha hayo maneno mawili yesu na Mungu.

Alilala hadi kwenye mawe kipindi ikulu inaanza kujengwa na wote tulimzodoa na raba zake za mchongo 😀
 
FB_IMG_1584981206478.jpeg

Huyu usimtaje 🤣🤣🤣 si vichekesho hivyo
 
HAKUNA awamu ya kipumbavu kama ya Kikwete, kwanza nchi ilimshinda kuongoza na watu wengi sana walitekwa na kutupwa Mabwepande wakiwa wameng'olewa kucha na pliers ama kuminywa pumbu mpaka zinabondeka kama chapati kisa tu umemkosoa. Wafanyakazi serikalini walikuwa hawafanyi kazi, ujambazi na wizi ulizidi mijini, uuzwaji madawa ya kulevya ulishamiri huku mwanaye (Ridhiwani) akiwa kinara wa hiyo biashara mpaka akalitia taifa hasara kwenda kumtoa gerezani China alipokamatwa na makontena ya madawa. Leo hii nchi imefirisiwa na Wachina kwa ajili ya uzembe wa Kikwete kusaini mikataba ya kijinga kukubaliana na conditions alizopewa na Wachina ili kumuokoa mwanaye. Kikwete si mtu ambaye anatakiwa kuonekana hadharani, hafai kwa chochote. Kwa kweli tunahitaji katiba mpya ili tuwakamate na kuwanyonga viongozi wapuuzi na wezi wa mali ya umma.
 
Ndiyo maana Waafrika hatuendelei, akionekana kiongozi wa maana hapa Afrika kaja na moto kama wa Magufuli LAZIMA wapuuzi serikalini watataka kummaliza ili wafanye yao kama wanavyofanya hivi sasa. Serikali inajitahidi sana kufuta legacy ya Magufuli lakini wanajidharau wenyewe kwani huku mitaani hakuna Mtanzania asiyejuwa kuwa CCM ndiyo imemmaliza JPM.
 
Jakaya alikuwa anajitahidi kweli kukolezea dhima yao kwamba awamu zote zimehusika kama simulizi ya kulazimisha ya zuhura ilivyoeleza naona makubaliano yalikuwa sio kuitukuza zaidi awamu ya tano badala ya kuzungumza ukweli kwamba awamu ya Kwanza ilianzisha awamu ya tano ikatekeleza Kwa vitendo sasa mambo ya kusema sijui walienda kuangalia mfano Kuala Lumpa sijui kujenga chuo kikuu huko ni kutaka kulazimisha kufuta legacy ya mwenzie.

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni.

Kwanza awamu ya nne haijawahi kuwaza hata kuhamishia serikali Dodoma huo ndio ukweli.

Na kama ingetokea Membe au Lowassa wangeshinda 2015 nakuhakakikishia serikali ingekuwa Dar bado.
Na ndiyo awamu ya kipumbavu kuliko zote kutokea hapa Tanzania.....huyu ndiye ilibidi afutwe kwenye historia ya Tanzania, alikuwa very useless.
 
HAKUNA awamu ya kipumbavu kama ya Kikwete, kwanza nchi ilimshinda kuongoza na watu wengi sana walitekwa na kutupwa Mabwepande wakiwa wameng'olewa kucha na pliers ama kuminywa pumbu mpaka zinabondeka kama chapati kisa tu umemkosoa. Wafanyakazi serikalini walikuwa hawafanyi kazi, ujambazi na wizi ulizidi mijini, uuzwaji madawa ya kulevya ulishamiri huku mwanaye (Ridhiwani) akiwa kinara wa hiyo biashara mpaka akalitia taifa hasara kwenda kumtoa gerezani China alipokamatwa na makontena ya madawa. Leo hii nchi imefirisiwa na Wachina kwa ajili ya uzembe wa Kikwete kusaini mikataba ya kijinga kukubaliana na conditions alizopewa na Wachina ili kumuokoa mwanaye. Kikwete si mtu ambaye anatakiwa kuonekana hadharani, hafai kwa chochote. Kwa kweli tunahitaji katiba mpya ili tuwakamate na kuwanyonga viongozi wapuuzi na wezi wa mali ya umma.
Povu lote hilo. Unalitoa kwa JK ambaye sio tu amekuzidi kwa kila kitu ww, ukoo wenu na kijiji chenu chote.
Unaumia bure tu.
JK ni habr nyingine kabisa. Chekibob, hazeeki, tabasamu km lote sio km lile shetani lenu la Chato liloanza kuzeeka ktk umri mdogo tu
 
Na ndiyo awamu ya kipumbavu kuliko zote kutokea hapa Tanzania.....huyu ndiye ilibidi afutwe kwenye historia ya Tanzania, alikuwa very useless.
Mfute wewe na ukoo wenu but hakuna historia ya Tanzania [emoji1241] bila JK ht umchukie vp
 
Povu lote hilo. Unalitoa kwa JK ambaye sio tu amekuzidi kwa kila kitu ww, ukoo wenu na kijiji chenu chote.
Unaumia bure tu.
JK ni habr nyingine kabisa. Chekibob, hazeeki, tabasamu km lote sio km lile shetani lenu la Chato liloanza kuzeeka ktk umri mdogo tu
Sikatai kuwa kanizidi kwa kila kitu ila ukweli lazima usemwe tu, the guy was useless
 
Povu lote hilo. Unalitoa kwa JK ambaye sio tu amekuzidi kwa kila kitu ww, ukoo wenu na kijiji chenu chote.
Unaumia bure tu.
JK ni habr nyingine kabisa. Chekibob, hazeeki, tabasamu km lote sio km lile shetani lenu la Chato liloanza kuzeeka ktk umri mdogo tu
Hata mzee wa rondo mlikuwa mnamsifia hivyo hivyo mara kachero mbobezi mara sijui nini kafa kaishia kuzikwa na watu wasiozidi 200 sasa mtu unajiuliza umaarufu wake ulikuwa wapi?
 
😀😀

Pale Kitonga Anderson Mwanyato alijenga Hotel kwa ajili ya Wasafiri Watige Comfort Hotel

Yaani Kabla ya kupanda Mlima mnakula kabisa

Na ukitoka bara ukishuka tu Mlima unakutana na Chakula kinakusubiri

Wahehe wamejaliwa akili na maarifa

Swela mwagito Chalamila
Bela katukage na lweene
 
Mkanye Jakaya Kikwete ambaye hakuwa kwenye ratiba ya kuongea leo,ikalazimishwa aongee,alichofanya ni kupambanua legacy yake kwa kueleza mambo ya UDOM na Kuala Lumpur,usiichezee legacy maazee
Zama zenu zimepita!! Acheni wenye CCM wafanye yao!!
 
Back
Top Bottom