Mzee Kikwete, dunia ni ya utandawazi kila jambo litajieleza. Legacy yako ipo tu

Mzee Kikwete, dunia ni ya utandawazi kila jambo litajieleza. Legacy yako ipo tu

😀😀

Pale Kitonga Anderson Mwanyato alijenga Hotel kwa ajili ya Wasafiri Watige Comfort Hotel

Yaani Kabla ya kupanda Mlima mnakula kabisa

Na ukitoka bara ukishuka tu Mlima unakutana na Chakula kinakusubiri

Wahehe wamejaliwa akili na maarifa

Swela mwagito Chalamila
Yule Mama wa Kisomali pale Ilula alimhujumu hadi Comfort imebaki magofu.
 
Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma.

Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo.

Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia.

Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea, aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu nikaona kwenye uzinduzi wa hiyo Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM ,du!

Ukweli lazima usemwe,wazo lilikuwa awamu ya kwanza, awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa, na si vibaya hata kidogo.

Hili la kuhamia Dodoma kwa serikali, hakikuwa kipa umbele chenu.

Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia kakuta kitonga na kumalizia, hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.na pengine bila nguvu yake tusingekuwa tnazungumzia uzinduzi leo hii,alipingwa sana na wanasiasa na makundi mbalimbali,lakini hakujali

Kama kuna anaebisha, tuanzie kuzichambua juhudi za awamu ya pili, tatu,na nne nini zilichofanya kuhusu Ikulu ya Dodoma,. , kila kitu kipo rekodedi.

Nikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi. Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma hauhusiki kabisa ulilipa kisogo.

Air time aliyokupa Mama Samia, umeitumia kujipigia promo tu, kwenye hamna.
Jk mwenyewe aliwahi kusema waswahili pwani hawakutaka mji mkuu kuhama.
 
Huu ubaguzi tunauendekeza humu JF sidhani kama miongoni mwa marais wanakuwa na akili hizi za kubaguana.

Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, JPM na Samia wote wanatekeleza ilani moja ya CCM, inakera kuona wafuasi wao tunatoana macho humu jukwaani kwa hoja za chuki na pengine wivu.
Dhalimu ndio aliwafundisha hizo chuki.
 
Unachokataa kitu gan? Si imesemwa pale wazo la kuhamia lipo toka 1971.na ilikua iwe chimwaga.lakin jk akasema aliamua chimwag iwe chuo .badala yake mipango sasa iwe chamwimo.of which wala sio ajabu.aliyefata kakuta kiwanja kipo chamwino kwaa maaana anaona kwenye faili folio ngap ilikua chimwaga ila utekelezaji sasa utakua chamwino. Haya kama hakufanya kitu unakataa pia kwamba hakuweka preliminaries za ujenzi.heka 60 za mwanzo alileta nani? Em acha ucdm
Mkuu, watu wamekula yamini kuhakikisha kuwa kikwete anachafuka kwa kila namna. Samia, taratiibu wanamshindwa sasa. Hawapo kwa ajili ya kuelewa mantiki, wapo kwa ajili kupindishapindisha habari tu ili kutimiza lengo lao la kumchafua kikwete. Hata mfanye nini, atabaki amewazidi tu milele.
 
Kuna watu wana ideology za kipuuzi sana. Hawawezi kusifia kazi nzuri za JPM bila kushambulia wengine.

Kusema awamu zilizopita hazikufanya kitu na bila awamu ya 5 pasingekwa na kitu ni UPOTOSHAJI wa kijinga.

JPM ameingia ikulu baada ya kazi nzuri ya uwaziri chini ya maraisi watangulizi. Sasa kama hakuna kilichofanyika ni kazi zipi alikuwa anafanya akiwa waziri mpaka CV ikaonekana?

NYERERE ANA SEHEMU YAKE, MWINYI ANA SEHEMU YAKE, MKAPA ANA SEHEMU YAKE, KIKWETE ANA SEHEMU YAKE, MAGUFULI ANA SEHEMU YAKE NA SAMIA ATAKUWA NA SEHEMU YAKE.
 
Wewe kima kwelikweli, nani anakushikia akili,mwenzako anaishi kama digidigi wewe unaleta utani?, pathetic
 
Kuna watu wana ideology za kipuuzi sana. Hawawezi kusifia kazi nzuri za JPM bila kushambulia wengine.

Kusema awamu zilizopita hazikufanya kitu na bila awamu ya 5 pasingekwa na kitu ni UPOTOSHAJI wa kijinga.

JPM ameingia ikulu baada ya kazi nzuri ya uwaziri chini ya maraisi watangulizi. Sasa kama hakuna kilichofanyika ni kazi zipi alikuwa anafanya akiwa waziri mpaka CV ikaonekana?

NYERERE ANA SEHEMU YAKE, MWINYI ANA SEHEMU YAKE, MKAPA ANA SEHEMU YAKE, KIKWETE ANA SEHEMU YAKE, MAGUFULI ANA SEHEMU YAKE NA SAMIA ATAKUWA NA SEHEMU YAKE.
Umepaniki,soma uzi uuelewe kwanza, mnapenda kupaka matope wengine,ikija kwenu inakuwa nongwa ,
Kale katabia Ka mambo mazuri yenye mafanikio ya Magufuli mnaunganisha awamu Zote,
Likija suala baya mnajitenga nalo,linaachwa kwa Magufuli
 
Nimeielewa mada vizuri sana. Na hili ndilo tatizo la watengeneza illussion zisizokuwepo.

Hii tabia ndo imekomaa mpaka kupelekea sherehe za vifo.

Na inavyoonekana haitokoma mpaka tufe tuishe waje wenye akili mbadala.
 
Jakaya mwambieni,anachemka sana kutaka makamera kila muda, watanzania werevu kwa sasa,hawadanganyiki tena,akubali muda wake wa uongozi umepita
 
Back
Top Bottom