thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,270
- 9,116
Mzee ana wasiwasi,. Makamba sijamuona alikuwepo?Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma,
Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa,nafsi yangu inaniambia hivyo.
Alianza Hussein Mwinyi,akafuata Dr Mpango,kisha rais Samia.
Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea,aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu.nikaona uzinduzi wa Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM
Ukweli lazima usemwe,wazo lilikuwa awamu ya kwanza,awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa,hili la kuhamia Dodoma kwa serikali hakikuwa kipa umbele chenu
Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia akakuta kitonga na kumalizia,hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.
Kama kuna anaebisha,tuanzie kuzichambua juhudi za awamu za pili,tatu,na nne nini zilifanya,kila kitu kipo rekodedi,
Nikuombe mzee wangu Jakaya,hebu jaribu kutulia,usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi,. jaribu kuwa kama kina Dr sheiin,Mzee Mwinyi,ni watulivu sana,hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma huhusiki kabisa ulilipa kisogo,. Air time aliyokupa Mama Samia,umeitumia kujipigia promo tu,
JF isingekuwa na privacy kubwa we jamaa ungetekwa afu ungepotezwa hapa duniani[emoji16]Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma,
Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa,nafsi yangu inaniambia hivyo.
Alianza Hussein Mwinyi,akafuata Dr Mpango,kisha rais Samia.
Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea,aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu.nikaona uzinduzi wa Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM
Ukweli lazima usemwe,wazo lilikuwa awamu ya kwanza,awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa,hili la kuhamia Dodoma kwa serikali hakikuwa kipa umbele chenu
Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia akakuta kitonga na kumalizia,hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.
Kama kuna anaebisha,tuanzie kuzichambua juhudi za awamu za pili,tatu,na nne nini zilifanya,kila kitu kipo rekodedi,
Nikuombe mzee wangu Jakaya,hebu jaribu kutulia,usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi,. jaribu kuwa kama kina Dr sheiin,Mzee Mwinyi,ni watulivu sana,hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma huhusiki kabisa ulilipa kisogo,. Air time aliyokupa Mama Samia,umeitumia kujipigia promo tu,
UDOM ulikuwa mradi wa upigaji wa fedha Za serikali.[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] mkwere kaingiza mambo ya UDOM utafikri na yenyewe ni ikulu
Bado hajaruhusiwa na mtaalam wa nyota sheikh Yahya Jr, anaendelea kutibiwa huko.Makamba sijamuona alikuwepo?
Anasema ilikua ni maandalizi ya kuhamia Dom... Naibu Waziri Dugange na wabunge wamemwelewa.😊[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] mkwere kaingiza mambo ya UDOM utafikri na yenyewe ni ikulu
Hata CDM walipinga mno magu kuhamishia ikulu dodoma na samia alipoapishwa watu wengi hasa mafisadi kama akina nape walipamba ili samia abatilishe huo mchakatoNilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma,
Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa,nafsi yangu inaniambia hivyo.
Alianza Hussein Mwinyi,akafuata Dr Mpango,kisha rais Samia.
Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea,aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu.nikaona uzinduzi wa Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM
Ukweli lazima usemwe,wazo lilikuwa awamu ya kwanza,awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa,hili la kuhamia Dodoma kwa serikali hakikuwa kipa umbele chenu
Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia akakuta kitonga na kumalizia,hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.
Kama kuna anaebisha,tuanzie kuzichambua juhudi za awamu za pili,tatu,na nne nini zilifanya,kila kitu kipo rekodedi,
Nikuombe mzee wangu Jakaya,hebu jaribu kutulia,usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi,. jaribu kuwa kama kina Dr sheiin,Mzee Mwinyi,ni watulivu sana,hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma huhusiki kabisa ulilipa kisogo,. Air time aliyokupa Mama Samia,umeitumia kujipigia promo tu,
Unachokataa kitu gan? Si imesemwa pale wazo la kuhamia lipo toka 1971.na ilikua iwe chimwaga.lakin jk akasema aliamua chimwag iwe chuo .badala yake mipango sasa iwe chamwimo.of which wala sio ajabu.aliyefata kakuta kiwanja kipo chamwino kwaa maaana anaona kwenye faili folio ngap ilikua chimwaga ila utekelezaji sasa utakua chamwino. Haya kama hakufanya kitu unakataa pia kwamba hakuweka preliminaries za ujenzi.heka 60 za mwanzo alileta nani? Em acha ucdm[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] mkwere kaingiza mambo ya UDOM utafikri na yenyewe ni ikulu
Huu ubaguzi tunauendekeza humu JF sidhani kama miongoni mwa marais wanakuwa na akili hizi za kubaguana.Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma,
Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa,nafsi yangu inaniambia hivyo.
Alianza Hussein Mwinyi,akafuata Dr Mpango,kisha rais Samia.
Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea,aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu.nikaona uzinduzi wa Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM
Ukweli lazima usemwe,wazo lilikuwa awamu ya kwanza,awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa,hili la kuhamia Dodoma kwa serikali hakikuwa kipa umbele chenu
Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia akakuta kitonga na kumalizia,hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.
Kama kuna anaebisha,tuanzie kuzichambua juhudi za awamu za pili,tatu,na nne nini zilifanya,kila kitu kipo rekodedi,
Nikuombe mzee wangu Jakaya,hebu jaribu kutulia,usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi,. jaribu kuwa kama kina Dr sheiin,Mzee Mwinyi,ni watulivu sana,hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma huhusiki kabisa ulilipa kisogo,. Air time aliyokupa Mama Samia,umeitumia kujipigia promo tu,
Kajamaa kalizingua kweli na habari zake za kuala Lumpur.. basi bwana huyu Jamaa kwa kujipenyeza hata shughuli isiyoyake hatari, hata wazee wasela wapo kumbeNilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma,
Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa,nafsi yangu inaniambia hivyo.
Alianza Hussein Mwinyi,akafuata Dr Mpango,kisha rais Samia.
Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea,aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu.nikaona uzinduzi wa Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM
Ukweli lazima usemwe,wazo lilikuwa awamu ya kwanza,awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa,hili la kuhamia Dodoma kwa serikali hakikuwa kipa umbele chenu
Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia akakuta kitonga na kumalizia,hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.
Kama kuna anaebisha,tuanzie kuzichambua juhudi za awamu za pili,tatu,na nne nini zilifanya,kila kitu kipo rekodedi,
Nikuombe mzee wangu Jakaya,hebu jaribu kutulia,usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi,. jaribu kuwa kama kina Dr sheiin,Mzee Mwinyi,ni watulivu sana,hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma huhusiki kabisa ulilipa kisogo,. Air time aliyokupa Mama Samia,umeitumia kujipigia promo tu,
Sukumagang liking'ang'anizia legacy ya Mwendazake! Kwahiyo UDOM na Kikwete Hall ni kazi ya JPM?Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma.
Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo.
Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia.
Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea, aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu nikaona uzinduzi wa Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM
Ukweli lazima usemwe,wazo lilikuwa awamu ya kwanza,awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa,hili la kuhamia Dodoma kwa serikali hakikuwa kipa umbele chenu
Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia akakuta kitonga na kumalizia,hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.
Kama kuna anaebisha, tuanzie kuzichambua juhudi za awamu za pili, tatu,na nne nini zilifanya, kila kitu kipo rekodedi.
Nikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi. Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma huhusiki kabisa ulilipa kisogo. Air time aliyokupa Mama Samia, umeitumia kujipigia promo tu.
Wenye akili fupi hawatakuelewaHuu ubaguzi tunauendekeza humu JF sidhani kama miongoni mwa marais wanakuwa na akili hizi za kubaguana.
Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, JPM na Samia wote wanatekeleza ilani moja ya CCM, inakera kuona wafuasi wao tunatoana macho humu jukwaani kwa hoja za chuki na pengine wivu.
Ndo walivyo watu wa kule! Pata picha mjane husingiziwa mchawi na kucharangwa mapanga ili kumdhulumu ardhi!Huu ubaguzi tunauendekeza humu JF sidhani kama miongoni mwa marais wanakuwa na akili hizi za kubaguana.
Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, JPM na Samia wote wanatekeleza ilani moja ya CCM, inakera kuona wafuasi wao tunatoana macho humu jukwaani kwa hoja za chuki na pengine wivu.
Atulie tu,na yeye kuna maeneo mengi tu kafanya vizuriMzee ana wasiwasi,. Makamba sijamuona alikuwepo?