mbozimbozi kumwitu
Senior Member
- Mar 8, 2025
- 156
- 189
Ndugu hii nchi Kuna mambo mengi sana yanatokea ambayo yanaichafua nchi lkn sijawahi kusikia rais msitafu anasema
ExactlyFriends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Lini umemskia biden akimshauri trump tangu amalize muda wake? Msoga kuna mashamba ya mananasi ajikite huko afungue na kiwanda cha juice ya nanasi watu wapate ajira kodi zilipwe.we chawa vepe?Friends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
TOKEA LINI KANISA KATOLIKI LIKAWA NA UZALENDO NA TAIFA HILI??Issue hapo ni udini au ni utaifa ???
Maana kama ingekuwa ni udini nadhani tungekuwa tukiwaona waislam wakinufaika lakini ukilitazama hata Hilo tabaka la hao waislam Hali zao Bado ni duni sana so Uwepo wa viongozi wakiislam Wala hauwanufaishi kwa chochote zaidi na zaidi hao viongozi Wana jinufaisha wao wenyewe tu,
Na kama viongozi wa kanisa wakati watu wanapambana na wazungu katika kulikomboa Taifa kutoka katika ukoloni halafu viongozi hao wa kanisa walikuwa Hawa waungi mkono walikuwa wanawaunga mkono wakoloni , Aiseee kama uhuru wenyewe tulio upata ndio huu unao wanufaisha viongozi wakisiasa Wakubwa pekee tu na kuwaacha Wananchi wakiwa na umaskini wa kutupwa ,
Basi Mimi naona Viongozi hao wa kanisa walikuwa sahihi kabisa maana uhuru ulippiganiwa na tukaupata Bado haujawa uhuru wenye msaada Kwa Wananchi wa hili Taifa , Bali umekuwa ni uhuru wa wajanja wachache na matapeli kuweza kuliibia hili Taifa
ULITAKIWA USEME LINI OBAMA ALISHAWAHI MSHAURI AU SHIRIKIANA NA BIDEN...Lini umemskia biden akimshauri trump tangu amalize muda wake? Msoga kuna mashamba ya mananasi ajikite huko afungue na kiwanda cha juice ya nanasi watu wapate ajira kodi zilipwe.we chawa vepe?
Mmekaa huko kujazana chuki na hasira, wengine hadi mnafikia hatua ya kusema nchi inaongozwa na Kikwete. Rais wa nchi ni Samia. Kikwete ni rais mstaafu.Kwamba Taifa halina plan zake mpaka tutegemee ushauri kwa wastaafu? Acheni kutetea ujinga.
Vumilieni tu, hakuna namna. Huyo ndiye rais wa nchi na so far nchi inaenda poa kabisa. Mlitarajia nchi itakuja kumshinda, lakini bila shaka amewastaajabisha.Hawa wawekee Tu sinia la wali, punje mbili za tende na kipande cha patachichi umemalzaaaa
Kumbe Watu Wajinga kama Wewe Mnazidi kuzaliwa na kuzaliana Eeeeeeee? Hivyo unajua Maana ya kustahafu Wewe? Wakati Mwingine Ficha Ujinga Wako Mbele ya WATU MkuuHiyo ni juu yenu,mkitaka kusuka au kunyoa sisi haituhusu.
Mlidhani samia anaweza kuacha kumtumia kikwete kwa kuwa nyinyi mtachukia??au mlitaka kikwete amsusie nchi samia kama mstaafu akiombwa ushauri ili mambo yamwendee kombo kisha mpate la kumwangusha nalo??
Mtasubiri sana.
Ukiona hivyo Kikwete kawashika pabaya kwa hiyo wanatapa tapa. Mzee wa Msoga kaza Uzi usilegeze hata kidogo tupo na wewe.Hiyo ni juu yenu,mkitaka kusuka au kunyoa sisi haituhusu.
Mlidhani samia anaweza kuacha kumtumia kikwete kwa kuwa nyinyi mtachukia??au mlitaka kikwete amsusie nchi samia kama mstaafu akiombwa ushauri ili mambo yamwendee kombo kisha mpate la kumwangusha nalo??
Mtasubiri sana.
Hauna kingine cha kuongezea? Kikwete si ndiye mwanamtandao ambapo Rostam anayehusishwa na ufisadi Papa karudishwa kwa ushauri wake? Kikwete aliyewahi kusema fedha za ESCROW siyo Mali ya Umma na zilibebwa kwa sandarusi?Friends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Kikokotoo kiwashughulikie na wenza wao.Wastaafu watulie tukibadili katiba nabwao wawe kama watumishi wengine ndio watakua wazalendo
Bila hata mgao kwa kijana alie 40s aliona how nyerere mwinyi mkapa walivokua wanapanda ndege hapa na kule mfano Burundi msumbiji Sudan how comes kikwete asitumike watwambie sadaka zimegoma wamepigwa pink wamekuwa kama mbogoNaona umepata mgao wako wa vinyama toka arabuni sasa unakuja kupumulia humu. 😀 😀
Tena lazma nirud kwenye utumishi nivae mbati hahaaa tena wavae madera vile vileKwakua wanaimba tu taarabu kanisani acha waendelee kuimba hukohuko ila wakiingia barabarani na waumini wao kichapo chake kitakua heavy
WIZI HATA MAASKOFU NA KANISA LINASHIRIKI,SO WAACHE KUPIGA KELELE...Jizi , fisadi Papa. Hiki kinyamkera kinakuja shabia kwa misingi ya kidini. Chenyewe kinafuga ndevu, kikivaa na dera au kipedal pusha basi kimemaliza. Mwenzio kikwete anaaiba anasaidia familia yake. Wewe unavaa kobazi zimechoka na kufuga midevu ukiwa umepaka hinna. 😁
KUMBE WEWE HAUJUI,KUNA KIPINDI HUKO NYUMA HUYO KADINALI PENGO ALIKUWA HADI KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI ANASHIRIKI KWA MGONGO WA KANISA,NCHI HII IMEPITIA UPUUZI MWINGI SANA CHINI YA KANISAHivi huu mfumo ulikuwepo kumbe?
Tuhuma nzito sana hizi
Wewe ninan hadi uulize maaskofu. Unajua kanuni za uongoz au unajisemea tu kama kasukuFriends and Our Enemies,