Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

Hauna kingine cha kuongezea? Kikwete si ndiye mwanamtandao ambapo Rostam anayehusishwa na ufisadi Papa karudishwa kwa ushauri wake? Kikwete aliyewahi kusema fedha za ESCROW siyo Mali ya Umma na zilibebwa kwa sandarusi?
Tunashuhudia Ukristo ukididimizwa na Uislam kupaishwa kwa ushauri wa JMKikwete?
Udini uliopo sasa haijawahi kushuhudiwa.Mafisadi Papa yote ni Islamic ni/au Magabacholi.
No Reforms No Elections is inevitable.
TEH TEH TEH

UNANIKUMBUSHA WIZI WA ESCROW AMBAO HATA KANISA KATOLIKI LILIPATA MGAO NA MAASKOFU WAKE??

KWA TAARIFA YAKO SIASA ZA NCHI HII KIKWETE KAANZA TOKA ENZI ZA NYERERE NA AMEFANYA MENGI SANA NDANI YA NCHI HII,KILICHOWAJAA MAKAFIRI NI CHUKI NA WIVU TUH,TUNAKUULIZA KIKWETE KAKUFANYIA KIBAYA KIPI HADI MUANZE KUMWIMBA HUKO KWENYE KWAYA ZENU KANISANI HUNA JIBU
 
Wewe kakufanya/kakupa nini Hadi umsifie kwa kiwango hicho?Wizi wa ESCROW Account ulifanyika na wanamtandao,kanisa halikupewa mgao maana siyo wanufaika wa ufisadi ule.
 
Friends and Our Enemies,

Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.

Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.

Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.

Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.

Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?

Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.

Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.

Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.

Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.

Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?

Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Vilevile amshauli mama azidi kuuza rasilimali zetu bure kwa Rostaman Aziz
 
Kikwete mwenyewe kasoma shule zao hao Maaskofu mpaka akawa Rais...ndio mana wamtetea ila yeye hakutetea Uislam wakati wake Sheikh
 
Ni wakati.umefika Kwa Serikali iwache kabisa kucheeka na hawa maaskofu na haswa kabisa katoliki. Kinachowauma hivi sasa wao hawafuatwi na misukule take waliiweka Ikulu Kwa ushauri na hawapati Siri za serikali. Kwa hivyo wanashindwa kuendesha serikali wanavyotaka wao. La kusikitisha warioba ni.mstaafu na kila Leo yupo Kwenye media kuwaganupupu wake he Yule hawamuoni... Hawasemi kitu Kwa Sababu mkiriato mwenziwao .na inapokuwa hawatai Waseem lakini udini unawasaumbua na wanajionanyankuwa Wana nguvu kupika Maelezo kumbe hawana kitu. Serikali isicheke na hawa matapeli kwani utakuja kutokea ya Rwanda. Na nashauri srikali ipite Ile MOU na makanisa yote.
 
Issue hapo ni udini au ni utaifa ???

Maana kama ingekuwa ni udini nadhani tungekuwa tukiwaona waislam wakinufaika lakini ukilitazama hata Hilo tabaka la hao waislam Hali zao Bado ni duni sana so Uwepo wa viongozi wakiislam Wala hauwanufaishi kwa chochote zaidi na zaidi hao viongozi Wana jinufaisha wao wenyewe tu,

Na kama viongozi wa kanisa wakati watu wanapambana na wazungu katika kulikomboa Taifa kutoka katika ukoloni halafu viongozi hao wa kanisa walikuwa Hawa waungi mkono walikuwa wanawaunga mkono wakoloni , Aiseee kama uhuru wenyewe tulio upata ndio huu unao wanufaisha viongozi wakisiasa Wakubwa pekee tu na kuwaacha Wananchi wakiwa na umaskini wa kutupwa ,

Basi Mimi naona Viongozi hao wa kanisa walikuwa sahihi kabisa maana uhuru ulippiganiwa na tukaupata Bado haujawa uhuru wenye msaada Kwa Wananchi wa hili Taifa , Bali umekuwa ni uhuru wa wajanja wachache na matapeli kuweza kuliibia hili Taifa
Umeandika vya maana sana, huo uhuru ni upi?
 
Apumzike tu! Hana nafasi yo yote katika Chama wala katika Utumishi wa Umma!
 
Wewe kakufanya/kakupa nini Hadi umsifie kwa kiwango hicho?Wizi wa ESCROW Account ulifanyika na wanamtandao,kanisa halikupewa mgao maana siyo wanufaika wa ufisadi ule.
kanisa lilichukuwa mgao wake wa escow mapema tuh,tundu lisu alisema moja kwa moja list ya wanufaika

kwa ufupi huwezi kulitoa kanisa na wizi ndani ya nchi hii
 
Maaskofu wakae wakitambua kuwa nchi hii siyo mali ya mfumo kristo,hawana sauti wala mamlaka za kupangia viongozi nini cha kufanya nchi hii.
Ona nguruwe hili! Hakuna mahali po pote katika katiba hii mbovu inasema Rais mstaafu atakuwa mshauri wa Rais aliyepo madarakani!
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Rais wetu mstaafu dkt Kikwete ni Hazina yetu ilyo naki. Ni hazina kwa nchi za Afrika mashariki na kati.
Tunamuombea Mungu azidi kumlinda na maadui. Mungu ampe maisha marefu.
 
Hakuna mtu anayepinga Kikwete kulitumikia taifa kama rais mstaafu kinachopingwa ni uharamia wanaoufanya kama kumpitisha Samia juu kwa juu kuwa mgombea wakati hakusitahili.
 
Friends and Our Enemies,

Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.

Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.

Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.

Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.

Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?

Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.

Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.

Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.

Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.

Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?

Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Kataa wahuni, wahuni sio watu wazuri.
 
Rais wetu mstaafu dkt Kikwete ni Hazina yetu ilyo naki. Ni hazina kwa nchi za Afrika mashariki na kati.
Tunamuombea Mungu azidi kumlinda na maadui. Mungu ampe maisha marefu.
Kataa wahuni, wahuni sio watu wazuri.
 
Naona umepata mgao wako wa vinyama toka arabuni sasa unakuja kupumulia humu. 😀 😀
Hapana utakukuwa umekunya embe dodo lilooza baada ya dozi ya mafuta ya upako ukiwa umevaa chupi toka nchi takatifu ya Israel
 
Au wewe Bi Salma Rashid? Umepita bila ya kupingwa
 
Back
Top Bottom