Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

Exactly
 
Lini umemskia biden akimshauri trump tangu amalize muda wake? Msoga kuna mashamba ya mananasi ajikite huko afungue na kiwanda cha juice ya nanasi watu wapate ajira kodi zilipwe.we chawa vepe?
 
TOKEA LINI KANISA KATOLIKI LIKAWA NA UZALENDO NA TAIFA HILI??

HAPO NI UDINI TUH HAKUNA LOLOTE,KANISA LISEME NI KOSA GANI KIKWETE KALIFANYA HADI AGEUKE KUWA MJADALA HUKO KANISANI KWAO??

AJABU BADALA YA KUTUMIA MUDA WAO KUFANYA IBADA WAMEKAA KUMJADILI MTU AMBAE HAJAWAFANYA KTU CHOCHOTE,SEMA WEWE HAPA KWA USHAHID,KOSA LA KIKWETE NI LIPI??

ACHENI CHUKI ZISIZO NA MPANGO
 
Lini umemskia biden akimshauri trump tangu amalize muda wake? Msoga kuna mashamba ya mananasi ajikite huko afungue na kiwanda cha juice ya nanasi watu wapate ajira kodi zilipwe.we chawa vepe?
ULITAKIWA USEME LINI OBAMA ALISHAWAHI MSHAURI AU SHIRIKIANA NA BIDEN...

TRUMP NA BIDEN NA REPUBLICAN VS DEMOCRATS WANAWEZAJE KUIVA CHUNGU KIMOJA??ACHENI UJUAJI
 
Kwamba Taifa halina plan zake mpaka tutegemee ushauri kwa wastaafu? Acheni kutetea ujinga.
Mmekaa huko kujazana chuki na hasira, wengine hadi mnafikia hatua ya kusema nchi inaongozwa na Kikwete. Rais wa nchi ni Samia. Kikwete ni rais mstaafu.

Mnata ka Kikwete asishiriki kwenye masuala ya nchi hii kwa kosa gani? Ukitaka uzoefu wa uongozi utoke wapi?
 
Kumbe Watu Wajinga kama Wewe Mnazidi kuzaliwa na kuzaliana Eeeeeeee? Hivyo unajua Maana ya kustahafu Wewe? Wakati Mwingine Ficha Ujinga Wako Mbele ya WATU Mkuu
 
Ukiona hivyo Kikwete kawashika pabaya kwa hiyo wanatapa tapa. Mzee wa Msoga kaza Uzi usilegeze hata kidogo tupo na wewe.
 
Wastaafu watulie tukibadili katiba nabwao wawe kama watumishi wengine ndio watakua wazalendo
 
Hauna kingine cha kuongezea? Kikwete si ndiye mwanamtandao ambapo Rostam anayehusishwa na ufisadi Papa karudishwa kwa ushauri wake? Kikwete aliyewahi kusema fedha za ESCROW siyo Mali ya Umma na zilibebwa kwa sandarusi?
Tunashuhudia Ukristo ukididimizwa na Uislam kupaishwa kwa ushauri wa JMKikwete?
Udini uliopo sasa haijawahi kushuhudiwa.Mafisadi Papa yote ni Islamic ni/au Magabacholi.
No Reforms No Elections is inevitable.
 
Naona umepata mgao wako wa vinyama toka arabuni sasa unakuja kupumulia humu. πŸ˜€ πŸ˜€
Bila hata mgao kwa kijana alie 40s aliona how nyerere mwinyi mkapa walivokua wanapanda ndege hapa na kule mfano Burundi msumbiji Sudan how comes kikwete asitumike watwambie sadaka zimegoma wamepigwa pink wamekuwa kama mbogo
 
Kwakua wanaimba tu taarabu kanisani acha waendelee kuimba hukohuko ila wakiingia barabarani na waumini wao kichapo chake kitakua heavy
Tena lazma nirud kwenye utumishi nivae mbati hahaaa tena wavae madera vile vile
 
WIZI HATA MAASKOFU NA KANISA LINASHIRIKI,SO WAACHE KUPIGA KELELE...

WALISHIRIKI HADI KUPATA MGAO WA FEDHA ZA ESCROW,LEO WANATAKA KUSEMA NINI KANISA TUKALIEWA??

WAACHE SHOBO KABISA
 
Wewe ninan hadi uulize maaskofu. Unajua kanuni za uongoz au unajisemea tu kama kasuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…