Wewe na mstaafu wako mnawashwa! Mtu alishamaliza awamu zake sasaivi ana kiherehere kama mwijaku vile.Friends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
NakaziaNa wewe uelewe huyo JK wako yupo kwa ajili yake na familia yake si zaidi ya hapo wala hana msaada na wewe unayeishi kwa kupigania vinyama msikitini .
Kwani kuna mtu kamtaja Kikwete?Friends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Watu wasio na sauti mbona wamewastua sanaMaaskofu wakae wakitambua kuwa nchi hii siyo mali ya mfumo kristo,hawana sauti wala mamlaka za kupangia viongozi nini cha kufanya nchi hii.
Sisi Maimamu tunasema mgombea wetu ni SamiaNaona umepata mgao wako wa vinyama toka arabuni sasa unakuja kupumulia humu. 😀 😀
Maimamu au maamuma.Sisi Maimamu tunasema mgombea wetu ni Samia
KWANI UNADHANI HIYO LUGHA WALIYOTUMIA HAWAELEWEKI WANARUSHA JIWE WAPI??Kwani kuna mtu kamtaja Kikwete?
Kumshauri rais ampe mgodi wa makaa ya mawe kwa bei ya kutupa pacha wake Rostam Aziz ni maslahi ya taifa ? Kumshauri rais ampe mgodi wa Almasi wa Mwadui pacha wake Rostam Aziz ni Maslahi ya taifa we Pimbi?Friends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Naam !!Sisi Maimamu tunasema mgombea wetu ni Samia
HIZO NGONJERA ZA MWEHU POLE POLE,PELEKA HUKO HUKO FACEBOOK...JF KAMA HUNA FACTS HUWEZI ZUNGUMZA UPUUZI USIO NA MBELE WALA NYUMAKumshauri rais ampe mgodi wa makaa ya mawe kwa bei ya kutupa pacha wake Rostam Aziz ni maslahi ya taifa ? Kumshauri rais ampe mgodi wa Almasi wa Mwadui pacha wake Rostam Aziz ni Maslahi ya taifa we Pimbi?
Tangu ges ya mtwara itokee kwisha Habari yake 😅😅amebaki kuwa chawa asiyetambulika rasmiNaona umepata mgao wako wa vinyama toka arabuni sasa unakuja kupumulia humu. 😀 😀
ILA AKILI NI SAWASAWA NA MZIGO KWA KIWILIWILI, ZERO BRAIN 🧠 MKUBWA WEWE, madini mkubwa wewe 😄😄😄wasalimia maopopoma wote hapo MIKINDANI na Maposeni Bima 🤣🤣🤣Friends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Umeeleza vyema kabisa. Hatukumbuki kuzisikia hizi kauli miaka ile wakati Baba wa Taifa akitoa ushauri tena kwa kumbagaza kabisa Raisi aliekuwepo madarakani Mh Ali Hassan Mwinyi.Friends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Na SS huo mfumo unaousema ni kujilisha upepo ,watu masikini zaidi ni wapi kati waislamu na wakristo? Waliosoma zaidi ni wepi?naunga mkono hoja, Christians hawana power tanzagiza, its over, fikiria tu hili maraisi wastaafu ndiyo waamutzi wa mwisho nafikiri kama sikosei na wanaweza mkata mgombea uraisi (kama ugombea uraisi wa Lowasa ulivyoonyesha), kwenye hilo kundi hakuna raisi Christian hata mmoja anayeishi, na kundi linaundwa na maraisi wa wastaafu zanzibar na muungano, sasa zanzibar wapo wengi maraisi wanaoishi bado lkn wote Muslim, wa muungano kuna raisi mstaafu kikwete na aliyepo samia wote muslim.
what hope is there for Christians in tanzagiza? hii ni playbook against unaoitwa "mfumo Kristo" na sasa ni end game ...
Ndo ushangae walivyo wajingaIssue hapo ni udini au ni utaifa ???
Maana kama ingekuwa ni udini nadhani tungekuwa tukiwaona waislam wakinufaika lakini ukilitazama hata Hilo tabaka la hao waislam Hali zao Bado ni duni sana so Uwepo wa viongozi wakiislam Wala hauwanufaishi kwa chochote zaidi na zaidi hao viongozi Wana jinufaisha wao wenyewe tu,
Na kama viongozi wa kanisa wakati watu wanapambana na wazungu katika kulikomboa Taifa kutoka katika ukoloni halafu viongozi hao wa kanisa walikuwa Hawa waungi mkono walikuwa wanawaunga mkono wakoloni , Aiseee kama uhuru wenyewe tulio upata ndio huu unao wanufaisha viongozi wakisiasa Wakubwa pekee tu na kuwaacha Wananchi wakiwa na umaskini wa kutupwa ,
Basi Mimi naona Viongozi hao wa kanisa walikuwa sahihi kabisa maana uhuru ulippiganiwa na tukaupata Bado haujawa uhuru wenye msaada Kwa Wananchi wa hili Taifa , Bali umekuwa ni uhuru wa wajanja wachache na matapeli kuweza kuliibia hili Taifa
Wale jamaa style yao wanakuteka wanakulawiti uku unachukuliwa video halafu ndio wanakuachia unapewa condition zao, ndicho kilichomtokea hana namna zaidi ya kuwa vuvuzela.Tangu ges ya mtwara itokee kwisha Habari yake 😅😅amebaki kuwa chawa asiyetambulika rasmi
No wonder SS nimeelewaWale jamaa style yao wanakuteka wanakulawiti uku unachukuliwa video halafu ndio wanakuachia unapewa condition zao, ndicho kilichomtokea hana namna zaidi ya kuwa vuvuzela.
Ndio maana nikakuambia hujui shule ya uongoz. Unavyoingilia kaz za kiongoz aliyopo unamaanisha aliyepo ni mzigo hawez chochote. Na unamnyima haki ya kusimamia uongoz wake.NA HAO MAASKOFU NI NANI NDANI YA NCHI HII HADI WAJE KUMZUIA KIKWETE KUSHIRIKI SHUGHULI ZA NCHI??