Mzee Kikwete kukemea Udini peke yake haitoshi tunataka Msimamo wako juu ya Mkataba mbovu wa Bandari

Tena hakuna wakulaumiwa kama huyu baba ndio aliyemtoa chambo mwenzake.Kabaki ooh tusichanganye dini na siasa,zaidi ya hapo hana la kusema maana anajua ataaibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…