Mradi tu mpost uziMzee wangu Jakaya Kikwete naomba nikwambie wewe pamoja na wengine mmelikosea taifa na kwa lolote litakuja tokea historia itahukumu.
Wewe ni Rais pekee ulie baki ktk marais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Wewe ndie rais pekee unaye pokea taarifa za siri kama mstaafu.
Unajuwa shida ya watanzania na shida za hili taifa unajuwa Tanzania ni taifa udini unatesa taifa na watu wanaweza umizana kutokana na udini.
Wewe kama mstaafu na ukiwa na akili zako zote timamu ulisahau wewe kwako fitina ni mwiko na kamwe huto pendelea mtu iwe kwa dini,undugu au ukabila hivi ndivyo uliapa.
Wewe ulikuwa wakwanza kusikika ukisema wachawi wamesha ondoka hivyo hakuna wakusumbua? Je wachawi hao ni akina nani?
Pili ulijuwa kabisa kwakuwa taifa limekutwa na msiba wakati Samia anashika taifa nyuma ya pazia zifanyike jitihada kumuandaa Rais ambaye ni Mkristo ili kuweka usawa ktk taifa ila wewe hukufanya hivyo ulisimamia agenda yako.
Ukijuwa Samia ulimpendekeza wewe awe makamu bado ukaja simama mpitisha kwa njia zako awe Rais kwa awamu nyingine mkuu watu hawana furaha na hao wanasifia pia wanafiki ukweli upo wazi taifa lina uzuni na watu sasa wanakuona kama wewe ndio chanzo.
Umewaziba wazee wengine wote u aongea wewe tu tena unasem mkisusa sisi tunakula. Mimi nakutonya hii hamli ila kijasho cha meno kitakutoka na mahudhurio ya check up yataongezeka kwa stress utakutana nazo.
Yakumbuke maelekezo ya wazee wa chama ukatubu na kurekebisha kabla ya October huwo ndio ushauri wangu. Hili Taifa litakuwa mabegani kwako na hautoweza kulibeba hivyo mgongo utavunjika kwa uzito. Beba hili taifa na wazee wenzako kuliponya Taifa la Tanzania. Serengeti imekuwa sehem ya kijasusi kutoa taswira za siasa za Taifa hili embu rejelea wosia wa muwasisi wa Taifa hili uliponye Taifa. Amen
Tatizo siyo JK bali tatizo ni CCMMzee wangu Jakaya Kikwete naomba nikwambie wewe pamoja na wengine mmelikosea taifa na kwa lolote litakuja tokea historia itahukumu.
Wewe ni Rais pekee ulie baki ktk marais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Wewe ndie rais pekee unaye pokea taarifa za siri kama mstaafu.
Unajuwa shida ya watanzania na shida za hili taifa unajuwa Tanzania ni taifa udini unatesa taifa na watu wanaweza umizana kutokana na udini.
Wewe kama mstaafu na ukiwa na akili zako zote timamu ulisahau wewe kwako fitina ni mwiko na kamwe huto pendelea mtu iwe kwa dini,undugu au ukabila hivi ndivyo uliapa.
Wewe ulikuwa wakwanza kusikika ukisema wachawi wamesha ondoka hivyo hakuna wakusumbua? Je wachawi hao ni akina nani?
Pili ulijuwa kabisa kwakuwa taifa limekutwa na msiba wakati Samia anashika taifa nyuma ya pazia zifanyike jitihada kumuandaa Rais ambaye ni Mkristo ili kuweka usawa ktk taifa ila wewe hukufanya hivyo ulisimamia agenda yako.
Ukijuwa Samia ulimpendekeza wewe awe makamu bado ukaja simama mpitisha kwa njia zako awe Rais kwa awamu nyingine mkuu watu hawana furaha na hao wanasifia pia wanafiki ukweli upo wazi taifa lina uzuni na watu sasa wanakuona kama wewe ndio chanzo.
Umewaziba wazee wengine wote u aongea wewe tu tena unasem mkisusa sisi tunakula. Mimi nakutonya hii hamli ila kijasho cha meno kitakutoka na mahudhurio ya check up yataongezeka kwa stress utakutana nazo.
Yakumbuke maelekezo ya wazee wa chama ukatubu na kurekebisha kabla ya October huwo ndio ushauri wangu. Hili Taifa litakuwa mabegani kwako na hautoweza kulibeba hivyo mgongo utavunjika kwa uzito. Beba hili taifa na wazee wenzako kuliponya Taifa la Tanzania. Serengeti imekuwa sehem ya kijasusi kutoa taswira za siasa za Taifa hili embu rejelea wosia wa muwasisi wa Taifa hili uliponye Taifa. Amen
Kumbe shida ni Rais kuwa mwislam na ilitakiwa awe Mkirsto. Ndugu yangu kama ulivyo kili kuwa mzee ana pokea taarifa za siri, ni taarifa gani ambazo amezipokea? Je labda hizo taarifa ndio zilizo pelekea kushauri kilicho tokea?Mzee wangu Jakaya Kikwete naomba nikwambie wewe pamoja na wengine mmelikosea taifa na kwa lolote litakuja tokea historia itahukumu.
Wewe ni Rais pekee ulie baki ktk marais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Wewe ndie rais pekee unaye pokea taarifa za siri kama mstaafu.
Unajuwa shida ya watanzania na shida za hili taifa unajuwa Tanzania ni taifa udini unatesa taifa na watu wanaweza umizana kutokana na udini.
Wewe kama mstaafu na ukiwa na akili zako zote timamu ulisahau wewe kwako fitina ni mwiko na kamwe huto pendelea mtu iwe kwa dini,undugu au ukabila hivi ndivyo uliapa.
Wewe ulikuwa wakwanza kusikika ukisema wachawi wamesha ondoka hivyo hakuna wakusumbua? Je wachawi hao ni akina nani?
Pili ulijuwa kabisa kwakuwa taifa limekutwa na msiba wakati Samia anashika taifa nyuma ya pazia zifanyike jitihada kumuandaa Rais ambaye ni Mkristo ili kuweka usawa ktk taifa ila wewe hukufanya hivyo ulisimamia agenda yako.
Ukijuwa Samia ulimpendekeza wewe awe makamu bado ukaja simama mpitisha kwa njia zako awe Rais kwa awamu nyingine mkuu watu hawana furaha na hao wanasifia pia wanafiki ukweli upo wazi taifa lina uzuni na watu sasa wanakuona kama wewe ndio chanzo.
Umewaziba wazee wengine wote u aongea wewe tu tena unasem mkisusa sisi tunakula. Mimi nakutonya hii hamli ila kijasho cha meno kitakutoka na mahudhurio ya check up yataongezeka kwa stress utakutana nazo.
Yakumbuke maelekezo ya wazee wa chama ukatubu na kurekebisha kabla ya October huwo ndio ushauri wangu. Hili Taifa litakuwa mabegani kwako na hautoweza kulibeba hivyo mgongo utavunjika kwa uzito. Beba hili taifa na wazee wenzako kuliponya Taifa la Tanzania. Serengeti imekuwa sehem ya kijasusi kutoa taswira za siasa za Taifa hili embu rejelea wosia wa muwasisi wa Taifa hili uliponye Taifa. Amen
Yemen unafanya nini ha hahahahahahaha mkuu kumbe hii ndio shida, shida Iko kwenye ukristo na uislam, muwe mnasema mapema sasa...
JPM alivyokufa Katiba ilitaka Makamu wa Rais ndio awe Rais, ndio kilichofanyika mkuu, kumuweka mtu mwingine ilikuwa ni kuvunja Katiba.
Miaka mitano imeisha, Kwa Mila na desturi za CCM hakunaga Rais wa muhula mmoja, ukianza mitano maana yake inapaswa kupiga mitano mingine, ndio kilichofanyika, maana yake 2030 ni Christian mpaka 2040 kulingana na utaratibu wa CCM.
Kama kusingekuwa na dharula maana yake JPM angeachia kijiti 2025 na Muslim wangetake over mpaka 2035.. na kwakujulisha tu, plan zilikuwa after JPM next ni Mwinyi anarudi bara mpaka 2035, ndio game imechange basi mjiandae na Mwigulu 2030 mpaka 2040..
Ni Bora ungesema sasa marufuku Tanzania kuongozwa na mtu mwenye Dini maana Dini mbili zitatuletea vurumai hivyo Rais wa nchi na dini na wasaidizi wake wasiwe na dini na kila mtumishi wa Serikali asiwe na dini.
ndani ya mitaa ya Hodeidah Yemen.
Vipi ikiwa naye amekuwa kiziwi?Mzee wangu Jakaya Kikwete naomba nikwambie wewe pamoja na wengine mmelikosea taifa na kwa lolote litakuja tokea historia itahukumu.