Mzee Kikwete kwenye hili umekosea kiapo chako na historia itahukumu

Leo ndo umejionesha sasa picha yako halisi muwe mnaacha kujificha kwenye kivuli cha utabiri...Kimeisha kipindi cha Rais Mkristo tena kianze kipindi cha Rais Mkristo hapo ndo umejionesha sura yako....Lete mada zintonzinto achana na hii itakushusha hadhi.
 
hahahahahaha mkuu kumbe hii ndio shida, shida Iko kwenye ukristo na uislam, muwe mnasema mapema sasa...

JPM alivyokufa Katiba ilitaka Makamu wa Rais ndio awe Rais, ndio kilichofanyika mkuu, kumuweka mtu mwingine ilikuwa ni kuvunja Katiba.

Miaka mitano imeisha, Kwa Mila na desturi za CCM hakunaga Rais wa muhula mmoja, ukianza mitano maana yake inapaswa kupiga mitano mingine, ndio kilichofanyika, maana yake 2030 ni Christian mpaka 2040 kulingana na utaratibu wa CCM.

Kama kusingekuwa na dharula maana yake JPM angeachia kijiti 2025 na Muslim wangetake over mpaka 2035.. na kwakujulisha tu, plan zilikuwa after JPM next ni Mwinyi anarudi bara mpaka 2035, ndio game imechange basi mjiandae na Mwigulu 2030 mpaka 2040..

Ni Bora ungesema sasa marufuku Tanzania kuongozwa na mtu mwenye Dini maana Dini mbili zitatuletea vurumai hivyo Rais wa nchi na dini na wasaidizi wake wasiwe na dini na kila mtumishi wa Serikali asiwe na dini.

ndani ya mitaa ya Hodeidah Yemen.
sasa ukisema hakuna raisi wa miaka mitano, muhura wa kwanza samia alipigiwa kura na nani?
 
Ni kukosa tu Akili kumuamini mswahili wa Pwani anaweza okoa hili Taifa , historia na tamaduni zake inamkataa

Msitegemee kupata MKOMBOZI kutoka ukanda wa Pwani tena aliye muislam
 
Kwa Mila na desturi za CCM hakunaga Rais wa muhula mmoja, ukianza mitano maana yake inapaswa kupiga mitano mingine, ndio kilichofanyika, maana yake 2030 ni Christian mpaka 2040 kulingana na utaratibu wa CCM.
Tunaongozwa naKatiba ua kwa Mila na desturi za CCM?,hizo mila na desturiza CCM ni zipi...is abduction among them?
 
Ninakata tamaa sana mnapokata tamaa watu kama TumainEl, Tumia akili, Britannica na wengine humu jukwaani. Tumeamua kabisa kweli mpaka Mungu atende huko idarani kitu kama hiki kimewashinda, taifa linahenyeshwa na mtu mmoja tu. Hii ni hatari sana kwa taifa letu.
Mkuu hamna wa kutuokoa. Tar 29 ndo last card tusipotoka bhaaaasi kila mtu augulie kivyake!
 
hahahahahaha mkuu kumbe hii ndio shida, shida Iko kwenye ukristo na uislam, muwe mnasema mapema sasa...

JPM alivyokufa Katiba ilitaka Makamu wa Rais ndio awe Rais, ndio kilichofanyika mkuu, kumuweka mtu mwingine ilikuwa ni kuvunja Katiba.

Miaka mitano imeisha, Kwa Mila na desturi za CCM hakunaga Rais wa muhula mmoja, ukianza mitano maana yake inapaswa kupiga mitano mingine, ndio kilichofanyika, maana yake 2030 ni Christian mpaka 2040 kulingana na utaratibu wa CCM.

Kama kusingekuwa na dharula maana yake JPM angeachia kijiti 2025 na Muslim wangetake over mpaka 2035.. na kwakujulisha tu, plan zilikuwa after JPM next ni Mwinyi anarudi bara mpaka 2035, ndio game imechange basi mjiandae na Mwigulu 2030 mpaka 2040..

Ni Bora ungesema sasa marufuku Tanzania kuongozwa na mtu mwenye Dini maana Dini mbili zitatuletea vurumai hivyo Rais wa nchi na dini na wasaidizi wake wasiwe na dini na kila mtumishi wa Serikali asiwe na dini.

ndani ya mitaa ya Hodeidah Yemen.
Acha kutuletea vituko, yaani mwigulu ndo awe rais baada ya samia. Mwigulu anapenda urais lakini hana huo uwezo. Labda kama Tanzania ni nchi ambayo mtu yoyote anaweza kuwa rais mradi awe ccm!
 
Tunaongozwa naKatiba ua kwa Mila na desturi za CCM?,hizo mila na desturiza CCM ni zipi...is abduction among them?

Nazungumzia Mila na desturi za CCM kwenye kumpata mgombea URais wa CCM.

Katiba na Sheria ya nchi, inasema Rais akifia madarakani basi makamu anapaswa kumalizia muhula mpaka kipindi cha uchaguzi kufika, Katiba haijamkaza aliyekaimu madaraka baada ya Rais kufa kugombea kama atapata ridhaa ya chama chake.

CCM imejiwekea Utaratibu kwa Rais anayemaliza kipindi cha miaka mitano kuongezewa 5 mingine ili atimize 10yrs ndio kupitia vikao vyao walimpitisha Mama Samia.
Kama CCM ilivunja Utaratibu wake wanachama wake walipaswa kugomea mchakato pale Dodoma au kuweka mapingamizi kwenye chama chao huko.
Kama walishindwa kuweka mapingamizi maana yake walikubaliana na maamuzi na hawana lingine zaidi ya kumuunga mkono mgombea na kumpigia kampeni.
Tofauti na hapo ni unafiki tu na utoto.

ndani ya mitaa ya Hodeidah Yemen
 
Mkuu au kwakua Uko Yemen?

Hujaona mwanachama kafungua kesi Court, kupinga uteuzi wa Mama, Ba ikatupiliwa mbali, Na mwanachama kugutwa uanachama?

Kikwete amebagaza tu, utaratibu wa kumpata mgombea urais 2025
 
Pale Ndani kwanini wanachama wa CCM wenyewe walikubali na hawakupinga?..
Kwanini kesi imefunguliwa na mwanachama mmoja au wawili na sio kundi la wanachama likiwakilishwa na mwanasheria?..
Mbona hatuoni matawi ya CCM yakipinga huo Utaratibu zaidi ya kumuunga mkono mgombea wao?.

Kama Wana CCM wenyewe Kwa wingi hawawezi kutoka mbele na kupinga maana yake wamekubaliana/wanakubaliana na kila kitu.
Jambo lolote lakuongelewa pembeni pembeni haliwezi kuwa na uhalisia na sio lakuliamini, kama wana CCM wenyewe wameshindwa kuprotest juu ya hilo maana yake wamekubaliana ndio maana unawaona kila mahala wanamuunga mkono mgombea wao.

safarini Tandika Tanzania.
 
Umewaziba wazee wengine wote u aongea wewe tu tena unasem mkisusa sisi tunakula. Mimi nakutonya hii hamli ila kijasho cha meno kitakutoka na mahudhurio ya check up yataongezeka kwa stress utakutana nazo.

Yakumbuke maelekezo ya wazee wa chama ukatubu na kurekebisha kabla ya October huwo ndio ushauri wangu. Hili Taifa litakuwa mabegani kwako na hautoweza kulibeba hivyo mgongo utavunjika kwa uzito
Labda wanampelekea taarifa anazotaka kusikia...labda taarifa unazozisema hawampelekei!!!
 
Mzee wangu Jakaya Kikwete naomba nikwambie wewe pamoja na wengine mmelikosea taifa na kwa lolote litakuja tokea historia itahukumu.

Wewe ni Rais pekee ulie baki ktk marais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Wewe ndie rais pekee unaye pokea taarifa za siri kama mstaafu.

Unajuwa shida ya watanzania na shida za hili taifa unajuwa Tanzania ni taifa udini unatesa taifa na watu wanaweza umizana kutokana na udini.

Wewe kama mstaafu na ukiwa na akili zako zote timamu ulisahau wewe kwako fitina ni mwiko na kamwe huto pendelea mtu iwe kwa dini,undugu au ukabila hivi ndivyo uliapa.

Wewe ulikuwa wakwanza kusikika ukisema wachawi wamesha ondoka hivyo hakuna wakusumbua? Je wachawi hao ni akina nani?

Pili ulijuwa kabisa kwakuwa taifa limekutwa na msiba wakati Samia anashika taifa nyuma ya pazia zifanyike jitihada kumuandaa Rais ambaye ni Mkristo ili kuweka usawa ktk taifa ila wewe hukufanya hivyo ulisimamia agenda yako.

Ukijuwa Samia ulimpendekeza wewe awe makamu bado ukaja simama mpitisha kwa njia zako awe Rais kwa awamu nyingine mkuu watu hawana furaha na hao wanasifia pia wanafiki ukweli upo wazi taifa lina uzuni na watu sasa wanakuona kama wewe ndio chanzo.

Umewaziba wazee wengine wote u aongea wewe tu tena unasem mkisusa sisi tunakula. Mimi nakutonya hii hamli ila kijasho cha meno kitakutoka na mahudhurio ya check up yataongezeka kwa stress utakutana nazo.

Yakumbuke maelekezo ya wazee wa chama ukatubu na kurekebisha kabla ya October huwo ndio ushauri wangu. Hili Taifa litakuwa mabegani kwako na hautoweza kulibeba hivyo mgongo utavunjika kwa uzito.

Beba hili taifa na wazee wenzako kuliponya Taifa la Tanzania. Serengeti imekuwa sehem ya kijasusi kutoa taswira za siasa za Taifa hili embu rejelea wosia wa muwasisi wa Taifa hili uliponye Taifa. Amen

Mimi ................ naapa nitatenda kazi zangu za Urais wa Jamhuri ya Tanzania kwa uaminifu kwa kutimiza wajibu wa kazi hizo kwa bidii na moyo mkunjufu na kwamba nitawatendea haki watu wote kwa mujibu wa sheria, mila na desturi za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila woga, bila upendeleo, huba wala chuki.

Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie.
Shida zilianzia hapa
 
Ila sisi Watanzania tuna shida sana.Hatueleweki tunataka nini.Huyu kikwete sijui afanyeje kwa kweli!Akiongea watu hawataki,akikaa kimya watu hawataki!
 
Back
Top Bottom