Mzee Kikwete kwenye hili umekosea kiapo chako na historia itahukumu

Leo ndo umejionesha sasa picha yako halisi muwe mnaacha kujificha kwenye kivuli cha utabiri...Kimeisha kipindi cha Rais Mkristo tena kianze kipindi cha Rais Mkristo hapo ndo umejionesha sura yako....Lete mada zintonzinto achana na hii itakushusha hadhi.
 
sasa ukisema hakuna raisi wa miaka mitano, muhura wa kwanza samia alipigiwa kura na nani?
 
Ni kukosa tu Akili kumuamini mswahili wa Pwani anaweza okoa hili Taifa , historia na tamaduni zake inamkataa

Msitegemee kupata MKOMBOZI kutoka ukanda wa Pwani tena aliye muislam
 
Kwa Mila na desturi za CCM hakunaga Rais wa muhula mmoja, ukianza mitano maana yake inapaswa kupiga mitano mingine, ndio kilichofanyika, maana yake 2030 ni Christian mpaka 2040 kulingana na utaratibu wa CCM.
Tunaongozwa naKatiba ua kwa Mila na desturi za CCM?,hizo mila na desturiza CCM ni zipi...is abduction among them?
 
Mkuu hamna wa kutuokoa. Tar 29 ndo last card tusipotoka bhaaaasi kila mtu augulie kivyake!
 
Acha kutuletea vituko, yaani mwigulu ndo awe rais baada ya samia. Mwigulu anapenda urais lakini hana huo uwezo. Labda kama Tanzania ni nchi ambayo mtu yoyote anaweza kuwa rais mradi awe ccm!
 
Tunaongozwa naKatiba ua kwa Mila na desturi za CCM?,hizo mila na desturiza CCM ni zipi...is abduction among them?

Nazungumzia Mila na desturi za CCM kwenye kumpata mgombea URais wa CCM.

Katiba na Sheria ya nchi, inasema Rais akifia madarakani basi makamu anapaswa kumalizia muhula mpaka kipindi cha uchaguzi kufika, Katiba haijamkaza aliyekaimu madaraka baada ya Rais kufa kugombea kama atapata ridhaa ya chama chake.

CCM imejiwekea Utaratibu kwa Rais anayemaliza kipindi cha miaka mitano kuongezewa 5 mingine ili atimize 10yrs ndio kupitia vikao vyao walimpitisha Mama Samia.
Kama CCM ilivunja Utaratibu wake wanachama wake walipaswa kugomea mchakato pale Dodoma au kuweka mapingamizi kwenye chama chao huko.
Kama walishindwa kuweka mapingamizi maana yake walikubaliana na maamuzi na hawana lingine zaidi ya kumuunga mkono mgombea na kumpigia kampeni.
Tofauti na hapo ni unafiki tu na utoto.

ndani ya mitaa ya Hodeidah Yemen
 

Mkuu au kwakua Uko Yemen?

Hujaona mwanachama kafungua kesi Court, kupinga uteuzi wa Mama, Ba ikatupiliwa mbali, Na mwanachama kugutwa uanachama?

Kikwete amebagaza tu, utaratibu wa kumpata mgombea urais 2025
 
Mkuu au kwakua Uko Yemen?

Hujaona mwanachama kafungua kesi Court, kupinga uteuzi wa Mama, Ba ikatupiliwa mbali, Na mwanachama kugutwa uanachama?

Kikwete amebagaza tu, utaratibu wa kumpata mgombea urais 2025

Pale Ndani kwanini wanachama wa CCM wenyewe walikubali na hawakupinga?..
Kwanini kesi imefunguliwa na mwanachama mmoja au wawili na sio kundi la wanachama likiwakilishwa na mwanasheria?..
Mbona hatuoni matawi ya CCM yakipinga huo Utaratibu zaidi ya kumuunga mkono mgombea wao?.

Kama Wana CCM wenyewe Kwa wingi hawawezi kutoka mbele na kupinga maana yake wamekubaliana/wanakubaliana na kila kitu.
Jambo lolote lakuongelewa pembeni pembeni haliwezi kuwa na uhalisia na sio lakuliamini, kama wana CCM wenyewe wameshindwa kuprotest juu ya hilo maana yake wamekubaliana ndio maana unawaona kila mahala wanamuunga mkono mgombea wao.

safarini Tandika Tanzania.
 
Labda wanampelekea taarifa anazotaka kusikia...labda taarifa unazozisema hawampelekei!!!
 
Shida zilianzia hapa
 
Ila sisi Watanzania tuna shida sana.Hatueleweki tunataka nini.Huyu kikwete sijui afanyeje kwa kweli!Akiongea watu hawataki,akikaa kimya watu hawataki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…