Mzee Kikwete leo Mbagala umenena vyema kuwa miradi mingi ya awamu hii uliiasisi wewe japo wa gesi ya Mtwara hujauongelea

Huo ndiyo ukweli...

Nashangaa vile nguvu kubwa inavyotumika kutuaminisha ati kila kitu ni kwa juhudu za awamu hii, bila kutaja awamu zilizopita...

Cc: mahondaw
 
Sasa mbona jiwe anajitapa kuwa ni miradi yake?
 
Bahati mbaya ni kwamba, hata nyinyi hamjawahi kuelewa kuwa mnaishi katika ndoto ambazo hazina uwezekano wa kutoea.
Kusifia kwako au kutosifia kwako hakutabaadilisha uhalisia wa mambo.
We Ndo unajua hvyo kwamba kusifia kwetu au kutokusifia hakutabadilisha chochote ila bahati mbaya Magu yeye hajui hilo Ndo maana kila Sikh anahangaika na upinzani na ukimkosoa tu utakiona cha mtema kuni
 
Hamkosoi,mnajararibu kukwamisha,wakati mwingine kinawafaa hicho cha mtemakuni!
 
Kikwete bado ana hadhi ya Urais..
 
Sijawahi ona viongozi wenye kiburi na dharau kama.awamu ya tano.

1. Samia.
2. Majaliwa
3. Meko
 
Acha kulinganisha JK na vitu vya ajabu ajabu
JK sio anasifiwa bali anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ili kumnanga jiwe. JPM ni namba moja kwako maana unafaidika na madaraka yake.
 
Hiyo miradi yote ninya JK.. sema jingine
 
Mwoga sana.. akienda muda huu ataenda na escort ya platuni nzima ya ngerengere[emoji1]
Mkuu humtendei haki JPM amekuwa Mtwara mwaka huu mara ngapi? Hata kabla ya kampeni alikuwa kule kama sikosei alilaumiwa kuhongwa jogoo akitokea ntwara.
 
Japo wengi wameshamzungumzia nami noma haya machache

Jana nilimsikilza kwa makin sana Jk pale Mbagala Zakheim
Ameeleza yeye kuwa muasisi mkuu wa baaďhi ya taasisi ikiwemo REA(Rural energy agency)iliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria ya bunge la jamhuri wa muungano wa Tanzania sheria ya 8 ya mwaka 2005. (act of parliment 8, 2005)
Chini ya wizara ya *Nishati na madini* wAziri kwa kipindi hicho alikuwa Dr.Ibrahim msabaha

ambapo kwa sasa wizara hizo zmekuwa separated ipo
Wizara ya Madini ambayo wazir wake ni DOTO BITEKO yule Mbunge wa Bukombe .

WIZARA ya NISHATI ambayo waziri wake n DR.MEDARD KALEMANI mbunge wa CHATO. Vyanzo vya kuaminika vinasema huyu kawa mwanasheria pale wizara ya Madini na nishati kwa miaka mingi sana hadi Kuwa wazir kamili hv karibun.

Alielezea waasisi wa network za barabara akiwemo Mzee mwinyi na utekelezaji wa Mkapa na yeye mwenyew miaka hio katika ile programe inayoitwa [emoji1541]
I.R.P(intergrated roads programmes)kwani kipindi hicho kulikuwa na hali mbaya sana za barabara nchini kutokana na Hio(I.R.P) programme ikanza kufanyiwa utekelezaji kwa awamu zote za chama hichi cha upinzani Cha C.C.M

Kwa juu juu kweli alielezea juu ya watu kusema kuhusu kujenga kwao akahusisha Barabara ya Msata to bagamoyo na kusema hv vitu vpo kwa maslahi ya wote.

Alielezea yeye kuwa muasisi ktk utekelezaji wa shule nyngi za sekondari , barabara

*Kumbe yey ndio muasisi wa elimu bure bwana*

Pamoja na yote hakuzungumzia chochote kuhusiana na Umeme wa gesi ya mtwara *kunani kusini*?

*Nataka kusema nini*
Kimuktadha Mzee wetu huyu Mwenye hekima nyingi alitaka awajuze Rika zote wajue Wapi *tulipotoka ,tulipo na tuendako* kwa nia njema tu ili sote tutoke kwenye ile Jela ya kutojijua.

Kama nchi ni muhimu sana kuwa na first priorities ktk masuala yake .huku tukifungamanisha michango positive ya watu wengne hata kama mnatofautiana kiitikadi,kikanda,kidini etc.

Chama hichi cha upinzani cha C.C.M kimejisahau kuwa siasa n ushawishi !

Kule kusini inaonekana kumekaa vibaya sana kwa hichi chama cha upinzani Ccm. Nafkria agenda ya korosho,achana na hzo vurugu za huko kijij cha Nanyamba.

Moja ya kazi za Serikali n kuboresha watu na Miundombinu ndo maana hadi Leo nchi zilizoendelea zinajenga infrastructures .hvyo basi n kweli maendelo n watu na vitu ..yaan anaanza kuendelea mtu then ndo vitu. Eg mtu kapata mshahara then anajenga nyumba,anawekeza kwenye kilimo cha manufaa etc , *U got me![emoji3166]
Kuna watu ukiwasikiliza wanataka kutuaminisha kuwa serikali zilizopita azijawahi fanya chochote cha maana.

Vijana wengi siku hz hatuna tabia za kuchakura kutafuta Maarifa ya ukweli juu ya hii nchi tumebaki ushabiki tu .
Sawa hali n ngumu [emoji854] hata kama unapewa (Buku 5 na kofia,t-shirt za chama bure ) basi jaribu kujua japo ukweli tu .

*Pscychologically Fact*
Jana ukiwa unamtazama JK kikwete kwa utulivu unagundua kabisa,
He was at pains kumwongelea Magufuli, unamwona kabisa nafsi inamsuta,hajapoteza ushawishi but body language yake betraying him a lot .

Bado Sina uhakika na uhusika wake wa moja kwa moja katika MaJukwaa ya Kampeni za chama cha upinzani CCM mwaka huu .

*NB*
*MAENDELEO HAYANA VYAMA VS MSIPONICHAGULIA HAWA SIWAPI MAENDELEO*

Hebu njoon mnisaidie kushangaa [emoji15] juu ya huo Msemo hapo Juu [emoji2][emoji1540]
 
Kufunga maduka ya bidhaa jeshini.. ongeza nanhii mkuuu kama ipo kwenye ilani yetu.
Kujenga uwanja chato ilikuwa ni ilani ya chama? Au kutokuongeza mishahara, bidhaa kupanda bei au Kodi kwa wafanyabiasha ilikuwa ni ilani yenu
 
Jamaa kinacho mponza ni kwamba anafanya kazi ili asifiwe.
 
*Kuhusu Jakaya kikwete Jana MBAGALA*
kwa uchache [emoji1541]

Jana nilimsikilza kwa makin sana Jk pale Mbagala Zakheim
Ameeleza yeye kuwa muasisi mkuu wa baaďhi ya taasisi ikiwemo REA(Rural energy agency)iliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria ya bunge la jamhuri wa muungano wa Tanzania sheria ya 8 ya mwaka 2005. (act of parliment 8, 2005)
Chini ya wizara ya *Nishati na madini* wAziri kwa kipindi hicho alikuwa Dr.Ibrahim msabaha

ambapo kwa sasa wizara hizo zmekuwa separated ipo
Wizara ya Madini ambayo wazir wake ni DOTO BITEKO yule Mbunge wa Bukombe .

WIZARA ya NISHATI ambayo waziri wake n DR.MEDARD KALEMANI mbunge wa CHATO. Vyanzo vya kuaminika vinasema huyu kawa mwanasheria pale wizara ya Madini na nishati kwa miaka mingi sana hadi Kuwa wazir kamili hv karibun.

Alielezea waasisi wa network za barabara akiwemo Mzee mwinyi na utekelezaji wa Mkapa na yeye mwenyew miaka hio katika ile programe inayoitwa [emoji1541]
I.R.P(intergrated roads programmes)kwani kipindi hicho kulikuwa na hali mbaya sana za barabara nchini kutokana na Hio(I.R.P) programme ikanza kufanyiwa utekelezaji kwa awamu zote za chama hichi cha upinzani Cha C.C.M

Kwa juu juu kweli alielezea juu ya watu kusema kuhusu kujenga kwao akahusisha Barabara ya Msata to bagamoyo na kusema hv vitu vpo kwa maslahi ya wote.

Alielezea yeye kuwa muasisi ktk utekelezaji wa shule nyngi za sekondari , barabara

*Kumbe yey ndio muasisi wa elimu bure bwana*

Pamoja na yote hakuzungumzia chochote kuhusiana na Umeme wa gesi ya mtwara *kunani kusini*?

*Nataka kusema nini*
Kimuktadha Mzee wetu huyu Mwenye hekima nyingi alitaka awajuze Rika zote wajue Wapi *tulipotoka ,tulipo na tuendako* kwa nia njema tu ili sote tutoke kwenye ile Jela ya kutojijua.

Kama nchi ni muhimu sana kuwa na first priorities ktk masuala yake .huku tukifungamanisha michango positive ya watu wengne hata kama mnatofautiana kiitikadi,kikanda,kidini etc.

Chama hichi cha upinzani cha C.C.M kimejisahau kuwa siasa n ushawishi !

Kule kusini inaonekana kumekaa vibaya sana kwa hichi chama cha upinzani Ccm. Nafkria agenda ya korosho,achana na hzo vurugu za huko kijij cha Nanyamba.

Moja ya kazi za Serikali n kuboresha watu na Miundombinu ndo maana hadi Leo nchi zilizoendelea zinajenga infrastructures .hvyo basi n kweli maendelo n watu na vitu ..yaan anaanza kuendelea mtu then ndo vitu. Eg mtu kapata mshahara then anajenga nyumba,anawekeza kwenye kilimo cha manufaa etc , *U got me![emoji3166]
Kuna watu ukiwasikiliza wanataka kutuaminisha kuwa serikali zilizopita azijawahi fanya chochote cha maana.

Vijana wengi siku hz hatuna tabia za kuchakura kutafuta Maarifa ya ukweli juu ya hii nchi tumebaki ushabiki tu .
Sawa hali n ngumu [emoji854] hata kama unapewa (Buku 5 na kofia,t-shirt za chama bure ) basi jaribu kujua japo ukweli tu .

*Pscychologically Fact*
Jana ukiwa unamtazama JK kikwete kwa utulivu unagundua kabisa,
He was at pains kumwongelea Magufuli, unamwona kabisa nafsi inamsuta,hajapoteza ushawishi but body language yake betraying him a lot .

Bado Sina uhakika na uhusika wake wa moja kwa moja katika MaJukwaa ya Kampeni za chama cha upinzani CCM mwaka huu .

*NB*
*MAENDELEO HAYANA VYAMA VS MSIPONICHAGULIA HAWA SIWAPI MAENDELEO*

Hebu njoon mnisaidie kushangaa [emoji15] juu ya huo Msemo hapo Juu [emoji2][emoji1540]
 
Sa si Bora haijachimbwa haipotei IPO tu.
 
Kuandika tu shida.β˜ΊοΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½
Whatever the case, I no longer need any https://jamii.app/JFUserGuide*n discussion with a punk slut as you are. So stop quoting me and mind your own business.
 
Hapo kakomoa ili asiitwe tena
Hapana, hata ile syle iliyotumika haikuwa ya kistaarabu. Hivi kweli JPM ni wa kumtuma JK? JK ni Rais mstaafu, ni yeye aliyemwachia kiti, leo amekuwa wa kusema nitamtuma? Naona kama huo ni ulevi wa madaraka? JPM anatakiwa kujua kwamba JK ni kaka yake na pia alishakuwa kwenye nafasi hiyo ambayo leo anadhani yeye ni mkubwa sana. Pale kiustaarabu angesema hataweza kwenda Mbagala, ila atamwomba au alishamwomba kaka yake JK akamsaidie. JPM alitakiwa kufahamu pia kwamba anayeomba kura ni yeye siyo JK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…