Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona jiwe anajitapa kuwa ni miradi yake?REA, Shule za Sekondari, Barabara za Lami nk ni baadhi ya miradi uliyoiasisi au kuiendeleza ulipokuwa Raisi wetu. Mungu akubariki kwa kuwa mkweli.
Tulifika mahala tukaaminishwa kwa nguvu za ajabu kuwa awamu zilizopita hazikufanya kitu!
Nilimsikia mgombea mmoja akisema kuanzia wakoloni hadi maraisi wa awamu zilizopita nao walijenga barabara, miradi kadhaa nk. Kuwa, kazi ya serikali inayokusanya kodi ni kuleta maendeleo ya vitu na watu.
Hivyo, kwa kijana anayekuwa, ni vyema ajue tulikotoka tuliko na tunakoenda kwa usahihi bila kujisifu.
Nimefurahi pia kusikia kuwa wewe ndo ulitoa wazo la elimu bure kwa shule za msingi na sekondari na kuweka kwenye ilani ya uchaguzi ya Chama Chetu. Lakini ukisikiliza miziki ya Diamond na wasanii wengine utafikiri kila kitu kimebuniwa na kuwekwa kilipo na awamu ya tano.
Hongera sana Mh. Dr. Kikwete kwa kuweka wazi mambo haya japo hukugusia Mradi Umeme wa Gesi ya Mtwara kuwa uliishia wapi.
Naamini iko siku utaweka wazi tujue kwani tulishaamini tungepata umeme wa nafuu kuliko ilivyo sasa.
We Ndo unajua hvyo kwamba kusifia kwetu au kutokusifia hakutabadilisha chochote ila bahati mbaya Magu yeye hajui hilo Ndo maana kila Sikh anahangaika na upinzani na ukimkosoa tu utakiona cha mtema kuniBahati mbaya ni kwamba, hata nyinyi hamjawahi kuelewa kuwa mnaishi katika ndoto ambazo hazina uwezekano wa kutoea.
Kusifia kwako au kutosifia kwako hakutabaadilisha uhalisia wa mambo.
Ok whore.Totally hopeless.
Hamkosoi,mnajararibu kukwamisha,wakati mwingine kinawafaa hicho cha mtemakuni!We Ndo unajua hvyo kwamba kusifia kwetu au kutokusifia hakutabadilisha chochote ila bahati mbaya Magu yeye hajui hilo Ndo maana kila Sikh anahangaika na upinzani na ukimkosoa tu utakiona cha mtema kuni
Kuandika tu shida.☺️😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽Ok whore.
1.5 T iko wapi? CCM ndio mfumo wao kupiga fedha za ummaMagufuli katekeleza anastahili pongezi we baki na huyo rais wa miga.
REA, Shule za Sekondari, Barabara za Lami nk ni baadhi ya miradi uliyoiasisi au kuiendeleza ulipokuwa Raisi wetu. Mungu akubariki kwa kuwa mkweli.
Tulifika mahala tukaaminishwa kwa nguvu za ajabu kuwa awamu zilizopita hazikufanya kitu!
Nilimsikia mgombea mmoja akisema kuanzia wakoloni hadi maraisi wa awamu zilizopita nao walijenga barabara, miradi kadhaa nk. Kuwa, kazi ya serikali inayokusanya kodi ni kuleta maendeleo ya vitu na watu.
Hivyo, kwa kijana anayekuwa, ni vyema ajue tulikotoka tuliko na tunakoenda kwa usahihi bila kujisifu.
Nimefurahi pia kusikia kuwa wewe ndo ulitoa wazo la elimu bure kwa shule za msingi na sekondari na kuweka kwenye ilani ya uchaguzi ya Chama Chetu. Lakini ukisikiliza miziki ya Diamond na wasanii wengine utafikiri kila kitu kimebuniwa na kuwekwa kilipo na awamu ya tano.
Hongera sana Mh. Dr. Kikwete kwa kuweka wazi mambo haya japo hukugusia Mradi Umeme wa Gesi ya Mtwara kuwa uliishia wapi.
Naamini iko siku utaweka wazi tujue kwani tulishaamini tungepata umeme wa nafuu kuliko ilivyo sasa.
JK sio anasifiwa bali anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ili kumnanga jiwe. JPM ni namba moja kwako maana unafaidika na madaraka yake.
Are you sure? Watanzania punguzeni unafiki, watu walikuwa wanakaa Ubungo kwenye foleni kwa masaa, Tazara et. achilia mbali kila mgonjwa mwenye connection alikuwa anakwenda kutibiwa nje kwa pesa za Serikali hasa viongozi wakati Watanzania wengi walipoteza maisha bila kuwa na tiba ya uhakika. Leo hii kila moja anapata matibabu ya uhakika hapa hapa.
Kila kona ya duka Dar ilikuwa na generator lake sijui ile polution tu iliua wangapi? JPM ni moto wa kuotea mbali mwacheni tu. Endeleeni na huyo mlevi wa Konyagi huko anakowapeleka anakufahamu mwenyewe peke yake.
Mkuu humtendei haki JPM amekuwa Mtwara mwaka huu mara ngapi? Hata kabla ya kampeni alikuwa kule kama sikosei alilaumiwa kuhongwa jogoo akitokea ntwara.
Kujenga uwanja chato ilikuwa ni ilani ya chama? Au kutokuongeza mishahara, bidhaa kupanda bei au Kodi kwa wafanyabiasha ilikuwa ni ilani yenu
Fanya ufanyavyo Jakaya ataendelea kuwa raisi bora kabisa zaidi ya huyu mpenda sifa ambae anawaona waliomtangulia hawajafanya lolote,
Alifanya mengi hasa ukilinganisha na deni la taifa lililoongezeka kwenye utawala wake,nakuhakikishia kama Jakaya angekopakopa hovyo kama jiwe angefanya makubwa zaidi ya jiwe huku wananchi tusingeishi maisha ya hovyo kama sasa.
Mpaka sasa hakuna utawala umekopa nje kama wa awamu ya tano huku ukituaminisha kwamba unawachukia sana mabeberu.
Nakukumbusha wakati unachekelea hizo ndege,ufanye na tathmini ya deni la taifa limekuwa kwa kiasi gani kwenye utawala huu ukilinganisha na watangulizi wake.
Sa si Bora haijachimbwa haipotei IPO tu.Jomba usisikilize uongo wa Magufuli... nakuhakikishia HAKUNA gesi iliyouzwa!!! Kwa mfano wengine wanasema kawauzia Wachina! Think yourself... makampuni yaliyokuwa yanayotafuta gesi ni pamoja na Total, BP, Exxon , na Petrobras! Na hawa wametumia billions of TZS kufanya gas exploration.
Now tell me... ni kampuni gani ingekuwa tayari kutumia billions of TZS halafu gesi waliyoigundua apewe Mchina?!
Juzi juzi tu hapa nilikuwa na mwana mmoja ambae kampuni yao imetumia au ipo mbioni kutumia zaidi ya TZS Trilion tatu kufanya uwekezaji pale Lindi jirani na sehemu itakojengwa gas processing plant, na wameshatumia billions of TZS kulipia maeneo!
Hata hivyo, bado wanarudishwa nyuma na serikali!!
Huku kusua sua kunatokana na Magu... kama alivyofanya kwenye mradi wa Bandari ya Bagamoyo hadi Wachina walipokosa uvumilivu na kuongea hadharani kwamba yanayosemwa na serikali na mawakala wao kuhusu Bandari ya Bagamoyo ni uongo!!
Ni baada ya huko kusua sua ndipo ile consortium iliyokuwa imepanga kuwekeza USD 30 Billion kwenye gas processing plant, wakaamua kufungasha virago na kwenda zao Msumbuji ambako wamewekeza kwenye 2 plants worth USD 60 Billions!!
And am telling you, ile gas ingekuwa imegundulika Chato, hivi sasa ingekuwa inachimbwa na wala hizi porojo kwamba gesi wameuziwa Wachina wala usingezisikia!
Narudia.... GAS HAIJAUZWA na HAIJACHIMBWA hata tone!!!!
Whatever the case, I no longer need any https://jamii.app/JFUserGuide*n discussion with a punk slut as you are. So stop quoting me and mind your own business.Kuandika tu shida.☺️😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Hivi nyie tuwaiteje kwani Kikwete mlisemaje mpaka mkasema Tanzania inahitaji Rais hodari na mkaenda mbali zaidi awe Dikteta leo Kikwete mzuri kwenu no pain no relief 5 tena kwa JPMKikwete ni Mwanasiasa hata ukisikiliza hotuba tu kuna tofauti kubwa sana na huyu mswaga Ng'ombe
View attachment 1603544
Hapana, hata ile syle iliyotumika haikuwa ya kistaarabu. Hivi kweli JPM ni wa kumtuma JK? JK ni Rais mstaafu, ni yeye aliyemwachia kiti, leo amekuwa wa kusema nitamtuma? Naona kama huo ni ulevi wa madaraka? JPM anatakiwa kujua kwamba JK ni kaka yake na pia alishakuwa kwenye nafasi hiyo ambayo leo anadhani yeye ni mkubwa sana. Pale kiustaarabu angesema hataweza kwenda Mbagala, ila atamwomba au alishamwomba kaka yake JK akamsaidie. JPM alitakiwa kufahamu pia kwamba anayeomba kura ni yeye siyo JK.Hapo kakomoa ili asiitwe tena