Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
Alishindwa kumtetea mwanae Manji wakati anaonewa, why should we admire him??JK ndiyo mzee wetu aliyebakia, hatuwezi kumpinga.
Mzee wa mSOGA, we admire him!
Sema JK ni mwanadamu wa kipekee sana. Watu wa aina yake huwa wanaishi maisha marefu sana.Jana ilifanyika dua ya kumuombea mfanyabiashara hayati Yusuph Manji katika viwanja vya Karimjee na mmoja wapo ya watu mashuhuri waliokuwepo ni Jakaya Kikwete, Rais mstaafu wa awamu ya nne.
Katika hadhara hiyo, JK akapata wasaa kuongea, anasema kwake yeye Manji alikuwa kama mwanae na alimlea kwani aliachiwa usia na baba yake Manji la jukumu la malezi ya Yusuph.
JK akaongeza zaidi, kuna wakati Yusuph alinipigia(kipindi hiko nimeshatoka madarakani) akawa analalamika kuwa wanamuonea wanambambikia makesi na mambo mengineyo.
Nikamshauri akae kimya kwani nilijua siku moja yatapita tu, Yusuph alikuwa ana urafiki mkubwa sana na mwanangu Miraji.
Ndiyo mzee aliyebakiawhy should we admire him??
Hawezi sema alimteteaje,Ila si uliona kesi ziliisha TU ghaflaAlishindwa kumtetea mwanae Manji wakati anaonewa, why should we admire him??
Hawajawahi piga trilioni 2 za nchiWahindi wana magumashi kuliko magumashi ya Magufuli
Aliposema “yatapita”, alifahamu ni baada ya muda gani?Na watapita /wapite wote
Na wakapitanaeNa watapita /wapite wote
Warioba?Ndiyo mzee aliyebakia
Kipindi kike mgao mkali wa umeme walimfuata,mzee mgao mkali Sana na mvua hazinyeshi,akawaambia ningekua mvua ningenyesha kidatu,mtera mpaka yajaeSema JK ni mwanadamu wa kipekee sana. Watu wa aina yake huwa wanaishi maisha marefu sana.
Jamaa hajawahi kujali maneno ya watu no matter how serious the issues are.
Corona bana,acheni kusingizia watuNa wakapitanae
Sio kweliSema JK ni mwanadamu wa kipekee sana. Watu wa aina yake huwa wanaishi maisha marefu sana.
Jamaa hajawahi kujali maneno ya watu no matter how serious the issues are.
Jamaa ana kifua.Sema JK ni mwanadamu wa kipekee sana. Watu wa aina yake huwa wanaishi maisha marefu sana.
Jamaa hajawahi kujali maneno ya watu no matter how serious the issues are.
Akiwa Rais wa nchi??Kipindi kike mgao mkali wa umeme walimfuata,mzee mgao mkali Sana na mvua hazinyeshi,akawaambia ningekua mvua ningenyesha kidatu,mtera mpaka yajae