Mzee Kikwete: Manji alinambia wanamuonea, nikamshauri akae kimya kwani yatapita tu

Mzee Kikwete: Manji alinambia wanamuonea, nikamshauri akae kimya kwani yatapita tu

Jana ilifanyika dua ya kumuombea mfanyabiashara hayati Yusuph Manji katika viwanja vya Karimjee na mmoja wapo ya watu mashuhuri waliokuwepo ni Jakaya Kikwete, Rais mstaafu wa awamu ya nne.

Katika hadhara hiyo, JK akapata wasaa kuongea, anasema kwake yeye Manji alikuwa kama mwanae na alimlea kwani aliachiwa usia na baba yake Manji la jukumu la malezi ya Yusuph.

JK akaongeza zaidi, kuna wakati Yusuph alinipigia(kipindi hiko nimeshatoka madarakani) akawa analalamika kuwa wanamuonea wanambambikia makesi na mambo mengineyo.

Nikamshauri akae kimya kwani nilijua siku moja yatapita tu, Yusuph alikuwa ana urafiki mkubwa sana na mwanangu Miraji.
Hivi huyu mzee ,kila anaekufa yupo na mafaili yake ,vipi huwa anatupanga , wenda siku moja nikampunguzia adhabu tukikutana kule nikiwa mnyampala dadaki , alafu wakuu Miraji ametajwa sana ila sio Ridhiwani mwenye picha ya Miraji tunaomba , but za Uvunguni Miraji yupo na siri kali za baba yake kuliko Ridhiwani ,wazee wahuni sana
 
Huyo alikua Waziri tangu 1993-2005,akawa rais, kabla alikua jeshini,nyuma huko alikua kiongozi wa yanga,akawa kiongozi wa ccm singida,tabora,lindi, Zanzibar,kakutana na wengi maishani na anajua mengi kuhusu nchi yako,tofauti kabisa na mkemia
 
Hivi huyu mzee ,kila anaekufa yupo na mafaili yake ,vipi huwa anatupanga , wenda siku moja nikampunguzia adhabu tukikutana kule nikiwa mnyampala dadaki , alafu wakuu Miraji ametajwa sana ila sio Ridhiwani mwenye picha ya Miraji tunaomba , but za Uvunguni Miraji yupo na siri kali za baba yake kuliko Ridhiwani ,wazee wahuni sana
Kama unataka kumjua Miraji nenda Instagram tafuta jina Kikwete utampata
 
Sawa kweli umechukia lakini sio sawa kumwaga mitusi hapa.
JK ama amekosea au anatudanganya

Mwanae alikuwa anamlalamikia kuwa anaonewa yeye asichukue hatua yoyote badala yake anasema akae kimya tu
Ulitaka achukue hatua gani? Kumfukuza Makonda ama kumshitaki?

Bottom line, alisema yatapita na kweli yakapita kwa muda mfupi.

Hapo ndo ulitakiwa ujiulize alikuwa anamaanisha nini na kwanini alijiamini?
 
Marehemu na ukizingatia ni tajiri hasemwi.vibaya.

Makopakopa yoootee, tukae kimya
 
Back
Top Bottom