The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 852
- 1,978
Sawa endelea kufurahia mirija....ila tambua kila marefu yana nchaUtakufa na umaskini wako huku roho ikikunjamana kama ya mchawi. 😀 😀 😀
Nyie si mafisadi tunawajua.Kwa jpm hukukesha bar mkuu. Mbona sisi tulikesha bar.
Watu walikiwa wanapata gawio. Hela yenu inakuwa pale pale..kuna UPIGAJI mkubwa na UCHELEWESHAJI katika mradi SGR.
Nilimsikia kadogosa juzi kalizungumzia hilo kwa msisiyizo mkubwa sana,kwamba malengo na faida ya SGR ni mizigo sasa sijui alikuwa anawapa ujumbe mamlaka na sijui kama watanzania walimuelewa pale msukuma wa watu.Sgr inapaswa kufika Mwanza na Kigoma ili kuleta faida kwa nchi, kuishia Dom haina faida wala maana yoyote.
Halafu lengo mama la SGR ni kubeba mizigo ya nchi jirani na kuvuna pesa zao kuijenga tz kiuchumi na kuwapunguzia raia mzigo wa tozo na kodi ili tusihamie Burundi, lengo mama sio kubeba abiria kina Mr Tabasamu, kubeba Abiria hiyo ni bonus tu na ni ujuha na ushamba kushangilia vitu vidogo maana tukibweteka reli ikaishia njiani kilio na kusaga meno viko mbele kama wenzetu wa Kenya!!
SGR Ikiishia Dodoma au Mwanza tu bila kufika Kigoma yanayoendelea Kenya yatafika huku maana Reli yao ya SGR iliishia njiani Naivasha kutokana na ufisadi wa kutisha na sasa mkopo waliokopa kuijenga unadaiwa na China huku wananchi wakitakiwa kuulipa kwa kukamuliwa tozo na kodi kubwa wakati SGR haileti faida iliyotarajiwa na si wao walioiba pesa za mradi.
Huu si wakati wa kupongezana na kusifia yaani ngoma bado mbichi sana, hadi siku ile SGR imefika Mwanza na Kigoma na kubeba mizigo ya nchi jirani, hapo ndo sasa Bimkubwa apewe maua kedekede, mgolole, mkuki, ngao, shuka, nyimbo na mapambio.
Mbona jpm alikuwa fisadi namba moja sema hakuna chombo cha habari kilichoruhusiwa kuripoti ufisadi wake.Nyie si mafisadi tunawajua.
Mnatakiwa mpigwe mawe wezi ninyi
Ripoti wewe weka na ushahidiMbona jpm alikuwa fisadi namba moja sema hakuna chombo cha habari kilichoruhusiwa kuripoti ufisadi wake.
Haidlsaidii. Alificha fedha china basi inatoshaRipoti wewe weka na ushahidi
Hatudili na wafu tunadili na wezi walio haiHais
Haidlsaidii. Alificha fedha china basi inatosha
Reference mkuu ili watu wengine wasirudie. Eti mtetezi wa wanyonge.........over my dead body!!Hatudili na wafu tunadili na wezi walio hai
Watu kama nyie mkifa ni faida sana kwa taifaRefe
Reference mkuu ili watu wengine wasirudie. Eti mtetezi wa wanyonge.........over my dead body!!
Unataka kufahamu mkataba upi umesainiwa lini na nani?
Na bwana la Nyerere alitenga yeye fedha, kuhamia Dodoma yeye alilipia ramani, na daraja la Tanzanite aliacha mchoro, na lile la Busisi alimwambia JPM aanze ujenzi mara moja...Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
Wanataka tusahau kabisa ubinafsishaji wa ATC, Tanesco, na ReliUongo mtupu ndiye aliyeshirikiana na wahindi kuua reli yetu kisa biashara ya usafirishaji na mafuta
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
Aliahaingia mkataba na wachina? Huu ni uongoNi kweli kwa JK alishaingia mkataba na Wachina wajenge yeye Magufuli akafuta. Kwa hilk amesema kweli Bw. Jk
SawaAliahaingia mkataba na wachina? Huu ni uongo
Labda useme alikua na wazo la kuwapa mkataba wachina
MmmmmmhUyu mzee akifa nitakesha bar nanunulia watu bia