Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Hii ni kweli.Faza ametusokota...🤣
TRA iliundwa na Mkapa ila mchakato wake ulianzia Serikali ya Mwinyi 😂
Nakubali. Ni kweli.kabisa Kuna miradi mingi sana iliasisiwa na Mkapa, Kikwete pia. Tena hii miradi inayokwenda na wakati mingi ni ya Kikwete...framework ziliwekwa na hayati Ally Mwinyi...Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
Hii ni kweli.
Ukikaa na wazee kama Rugunyamheto,Rutabanzibwa,Kamba, na Prof A. Mbele watakwambia kuhusu mipango aliyokuwa nayo B. Mkapa.
Ben ni baba wa mabadiliko.
Ile SAP angekuwa legelege,nchi isingekuwa hapa ilipo.
Kama huna D mbili huwezi kuelewaMbona mnamchukia bure huyu mtu. Mimi hua nashangaa maana sielewi.
Nchi kidogo itaponaAisee, kwanini?
Nampenda sanaa samia.Nakubali. Ni kweli.kabisa Kuna miradi mingi sana iliasisiwa na Mkapa, Kikwete pia. Tena hii miradi inayokwenda na wakati mingi ni ya Kikwete...framework ziliwekwa na hayati Ally Mwinyi...
Ni vile tu wakati huo haukuwa kama siku hizi, Rais alikuwa akifanya kitu hasemi sana .
Na pia Kuna watu inawauma sana Samia kufanikiwa kumaliza miradi. Walijua hataweza, Alhamdulilah ameweza
Kikwete ana matatizo makubwa sanaRais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
TRA ilianza 01 July 1996..Kamishna wa kwanza wa TRA Melkizedeck Sanare aliteuliwa na Rais Ali Hassan Mwinyi.
..ilikuwa ni kipindi cha mwisho cha serikali ya awamu ya pili.
..Nadhani Mkapa alikuja kuteua Bodi ya Wakurugenzi ya TRA wakati huo Waziri wa Fedha akiwa Prof.Simon Mbilinyi.
Yale mashirika ilikuwa lazima yauzwe, mengi yalishajifia miaka mingi kabla ya kuuzwaUkiondoa ishu ya EPA na kuuza mashirika ya umma kwa bei chee.
Hakuna rais bora ktk nchi yetu kama Mkapa
Mi nashindwa kuelewa hizi chuki zinatoka wapiMbona mnamchukia bure huyu mtu. Mimi hua nashangaa maana sielewi.
Tatizo kulifanyika ufisadi mkubwa Sana awamu yake kiasi kwamba alimsababishia Kikwete kusumbuka na kashifa na kesi za ufisadi huo.Ukiondoa ishu ya EPA na kuuza mashirika ya umma kwa bei chee.
Hakuna rais bora ktk nchi yetu kama Mkapa
Kwani 2025 anagombea?Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu