Mzee Kikwete: SGR iliasisiwa na Hayati Mkapa na Mimi wakati namkabidhi Madaraka hayati Magufuli nilimsihi aanze Utekelezaji wa mradi!

Mzee atulie tu ale pension, haya mengine vijana watamkosea heshima.

JPM ndio alianzisha mtiti wa SGR ya umeme yeye aliacha mezani ya diesel power.
JPM alijitoa Mhanga akamalizana na issue ya stieggler ili amaliza hizi hadithi za umeme.
JPM alitoa amri moja pale busisi daraja linakwenda kukamilika.
JPM alijitoa mhanga akalifufua shirika la ndege lililokufa na kubaki na madeni kibao kwa kununua madege kibao.

Hizi nyingine porojo tu, tumpe heshima yake marehemu JPM.
 
TRA iliundwa na Mkapa ila mchakato wake ulianzia Serikali ya Mwinyi 😂

..Kamishna wa kwanza wa TRA Melkizedeck Sanare aliteuliwa na Rais Ali Hassan Mwinyi.

..ilikuwa ni kipindi cha mwisho cha serikali ya awamu ya pili.

..Nadhani Mkapa alikuja kuteua Bodi ya Wakurugenzi ya TRA wakati huo Waziri wa Fedha akiwa Prof.Simon Mbilinyi.
 
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu

Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake

Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria

Source: ITV Habari
Nakubali. Ni kweli.kabisa Kuna miradi mingi sana iliasisiwa na Mkapa, Kikwete pia. Tena hii miradi inayokwenda na wakati mingi ni ya Kikwete...framework ziliwekwa na hayati Ally Mwinyi...
Ni vile tu wakati huo haukuwa kama siku hizi, Rais alikuwa akifanya kitu hasemi sana .

Na pia Kuna watu inawauma sana Samia kufanikiwa kumaliza miradi. Walijua hataweza, Alhamdulilah ameweza
 
Hii ni kweli.
Ukikaa na wazee kama Rugunyamheto,Rutabanzibwa,Kamba, na Prof A. Mbele watakwambia kuhusu mipango aliyokuwa nayo B. Mkapa.
Ben ni baba wa mabadiliko.
Ile SAP angekuwa legelege,nchi isingekuwa hapa ilipo.

..sasa mbona mawaziri wake waliomsaidia ktk wizara ya fedha, kwa maana, Daniel Yona, na Basil Mramba, wakaishia kwenye kushtakiwa kwa ufisadi?
 
Kazee kwa kupenda sifa haka, khaa!
Na miufisadi yake hiyo kangefanikisha nini cha maana?
Kama wazo lilianzishwa na Mkapa, ujenzi ukaanzishwa na Magufuli, Samia anaendeleza, sasa yeye alifanya nini cha maana hapo?
 
Nakubali. Ni kweli.kabisa Kuna miradi mingi sana iliasisiwa na Mkapa, Kikwete pia. Tena hii miradi inayokwenda na wakati mingi ni ya Kikwete...framework ziliwekwa na hayati Ally Mwinyi...
Ni vile tu wakati huo haukuwa kama siku hizi, Rais alikuwa akifanya kitu hasemi sana .

Na pia Kuna watu inawauma sana Samia kufanikiwa kumaliza miradi. Walijua hataweza, Alhamdulilah ameweza
Nampenda sanaa samia.
Naipenda Tanzania 🇹🇿 yangu
 
Hahaha watu kwa kujipakulia minyamaaa...kila kitu utasikia tulianzisha sie .... anashindwa kusema tu Chuma ndio aliethubutu mzee wa maamuzi magumu akaamua ijengwe iwe kwa kukopa kwa cash kwa kuiba ila reli ijengwe ni Chuma tu JPM wengine wote mlikua siasa tupu na kucheka cheka.
 
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu

Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake

Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria

Source: ITV Habari
Kikwete ana matatizo makubwa sana
 
..Kamishna wa kwanza wa TRA Melkizedeck Sanare aliteuliwa na Rais Ali Hassan Mwinyi.

..ilikuwa ni kipindi cha mwisho cha serikali ya awamu ya pili.

..Nadhani Mkapa alikuja kuteua Bodi ya Wakurugenzi ya TRA wakati huo Waziri wa Fedha akiwa Prof.Simon Mbilinyi.
TRA ilianza 01 July 1996

Kabla ya Hapo haikuwa na Commissioner General ila walikuwepo makamishna 3 Income tax, Sales tax na Customs ambao waliwajibika direct Kwa Waziri wa Fedha
 
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu

Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake

Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria

Source: ITV Habari
Kwani 2025 anagombea?
 
Back
Top Bottom