inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kupitia TRA siyo!?..well TRA ni kazi ya mikononi ya mzee mwinyi,mkapa angekuta watanzania aliowakuta mwinyi sijui angemtoza nani Kodi,maana hawakuwa wakifanya biasharaHujamuelewa ndugu JokaKuu .
Ni kweli JK alikuta nchi ipo "stable" hazina,lakini kwa mujibu wa ndugu JokaKuu (ambapo ndio uhalisia),hiyo stability ilifanywa na Mkapa.
Una uhakika unazijua akili!?..tumuache Nyerere,mkapa alionesha akili gani kwenye utawala wake!?Ni nyerere na mkapa ndio maraisi waliokawa na akili nyingi sana
Magufuli hawezi kuwa na maono ya kuleta sgr na bwawa la umeme,uwezo huo hakuwa nao,ni kutembelea kwenye idea za waluomtangulia tuMzee alipenda mabembea na kuzurura nje ya Nchi,
Sangap awaze SGR?
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️📌📌📌👏👏Uyu mzee akifa nitakesha bar nanunulia watu bia
Hana analoweza kusema huyu Bwana mkubwa,MAGUFULI ameibua miradi mikubwa sana kiasi kwamba kama ww ulipita kwenye uongozi wa nchi hii kwa miaka 10 na ukaishia kuzurura tu nje ya nchi lazima ikuume tu.Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
Hivi kampuni ya Usafirishaji wa Mafuta iliyokuwa ikiitwa kwa Jina la Dhandho Hauliers Company Ltd iliishia wapi vile?Wahindi Wamefanya biashara gani hiyo? Nyinyi si ndio mnawaabudu posta?
Alifisadika pia. Mgodi wa Kiwira...Ukiondoa ishu ya EPA na kuuza mashirika ya umma kwa bei chee.
Hakuna rais bora ktk nchi yetu kama Mkapa
Kiwanda Cha Sukari Cha Kilombero II?Alifisadika pia. Mgodi wa Kiwira...
Ufisadi ulikuwepo,Ila kumsimbua kikwete,Hilo sielewi kivipi,lakini mkapa alijimilikisha kiwira, kikwete akampora na kuirudisha ' serikalini ',mrabaha wa 3% kikwete kahangaika kidiplomasia mpaka kuweka sheria ya 16%
Mkapa alikua na mazonge ya kupenda Mali akiwa madarakani,msemo wa kikwete 'kama rais aliyetangulia alifanya biashara ikulu,basi Mimi sitofanya biashara ikulu' lilikua dongo kwa mkapaKiwanda Cha Sukari Cha Kilombero II?
Alifisadika pia. Mgodi wa Kiwira...
Kulipa mikopo ilitokana na kutoza Kodi,kusamehewa madeni ni baada ya mkapa kuuza mashirika ya umma kwa Bei za kutupa,Hadi mabeberu wakampa uenyekiti wa taasisi ya kusambaza idea za soko huria,chachage yakamshinda,akaandika kitabu 'makuwadi wa soko huria',hakuna msingi wowote imara wa uchumi aloweka mkapa..kuna mambo Mkapa aliharibu mfano masuala ya mrahaba. Na kosa lake lilikuwa kusaini mikataba mingi ya uchimbaji dhahabu. Mkapa alitakiwa kusaini mikataba michache ili serikali ipate nafasi ya kujifunza.
..Doa lingine ktk serikali ya Mkapa lilikuwa ni mauaji ya waandamanaji waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar.
..Mkapa pia anastahili lawama kutokana na ubovu wa mfumo wetu wa demokrasia. Yeye ndiye Raisi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi, hivyo alipaswa kuendeleza marekebisho kutokea pale alipompokea Mzee Mwinyi.
..Kwa upande wa UCHUMI, Kikwete na Magufuli, na Samia, ni wafaidika wa misingi mizuri aliyoiweka Mkapa.
..Serikali ya awamu ya 3 ndiyo iliyowezesha tukasamehewa mikopo, hivyo badala ya kulipa mikopo, tunaweza kupeleka fedha kwenye miradi ya maendeleo. Pia kusamehewa mikopo ya awali kuliwezesha serikali ya Tanzania kuwa ktk nafasi ya kupata mikopo mipya hii tuliyoishudia wakati wa Kikwete, Magufuli, na sasa Samia.
Yapo documented,hata humu jf ukiyasachi utayapata,brt,sgr,jhp ni mipango ilikuwepo,vipindi vya urais vingekua miaka 15,hayo yangefanyika na mkapa na kikweteAngeyasema hayo wakati Magufuli yupo hai.
Ujinga, ukabila, Udini, rushwa, kutokuwajibika, ufisadi, ubinafsi na unafiki vinafanya tz yetu isiendelee
Unamfananisha na Braza Men Dully Sykes?Mr.Misifa.
Utawala wa Rais Mkapa na tawala zingine zote zilizofuatia Zina uozo mkubwa sana wa masuala ya Ufisadi, ni Utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi peke yake ndio ambao hauna kashfa mbaya sana za Ufisadi. Mwinyi hakuwa na kashfa za Ufisadi kwa sababu ya Mwl. Nyerere. Nyerere alikuwa mkali Sana ktk kukemea Ufisadi na Uovu mwingine.Mkapa alikua na mazonge ya kupenda Mali akiwa madarakani,msemo wa kikwete 'kama rais aliyetangulia alifanya biashara ikulu,basi Mimi sitofanya biashara ikulu' lilikua dongo kwa mkapa
Huyo bwana ni Mkuda sana sana,amejaa husda tu.Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
Kwahiyo mkapa alivyo asisi na yeye alifanya nini mpaka akamkabidhi Samia? Mzee yule daaRais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
Kulipa mikopo ilitokana na kutoza Kodi,kusamehewa madeni ni baada ya mkapa kuuza mashirika ya umma kwa Bei za kutupa,Hadi mabeberu wakampa uenyekiti wa taasisi ya kusambaza idea za soko huria,chachage yakamshinda,akaandika kitabu 'makuwadi wa soko huria',hakuna msingi wowote imara wa uchumi aloweka mkapa