Mzee Kikwete: SGR iliasisiwa na Hayati Mkapa na Mimi wakati namkabidhi Madaraka hayati Magufuli nilimsihi aanze Utekelezaji wa mradi!

Hujamuelewa ndugu JokaKuu .
Ni kweli JK alikuta nchi ipo "stable" hazina,lakini kwa mujibu wa ndugu JokaKuu (ambapo ndio uhalisia),hiyo stability ilifanywa na Mkapa.
Kupitia TRA siyo!?..well TRA ni kazi ya mikononi ya mzee mwinyi,mkapa angekuta watanzania aliowakuta mwinyi sijui angemtoza nani Kodi,maana hawakuwa wakifanya biashara
 
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu

Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake

Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria

Source: ITV Habari
Hana analoweza kusema huyu Bwana mkubwa,MAGUFULI ameibua miradi mikubwa sana kiasi kwamba kama ww ulipita kwenye uongozi wa nchi hii kwa miaka 10 na ukaishia kuzurura tu nje ya nchi lazima ikuume tu.
 
Ufisadi ulikuwepo,Ila kumsimbua kikwete,Hilo sielewi kivipi,lakini mkapa alijimilikisha kiwira, kikwete akampora na kuirudisha ' serikalini ',mrabaha wa 3% kikwete kahangaika kidiplomasia mpaka kuweka sheria ya 16%

..kuna mambo Mkapa aliharibu mfano masuala ya mrahaba. Na kosa lake lilikuwa kusaini mikataba mingi ya uchimbaji dhahabu. Mkapa alitakiwa kusaini mikataba michache ili serikali ipate nafasi ya kujifunza.

..Doa lingine ktk serikali ya Mkapa lilikuwa ni mauaji ya waandamanaji waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar.

..Mkapa pia anastahili lawama kutokana na ubovu wa mfumo wetu wa demokrasia. Yeye ndiye Raisi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi, hivyo alipaswa kuendeleza marekebisho kutokea pale alipompokea Mzee Mwinyi.

..Kwa upande wa UCHUMI, Kikwete na Magufuli, na Samia, ni wafaidika wa misingi mizuri aliyoiweka Mkapa.

..Serikali ya awamu ya 3 ndiyo iliyowezesha tukasamehewa mikopo, hivyo badala ya kulipa mikopo, tunaweza kupeleka fedha kwenye miradi ya maendeleo. Pia kusamehewa mikopo ya awali kuliwezesha serikali ya Tanzania kuwa ktk nafasi ya kupata mikopo mipya hii tuliyoishudia wakati wa Kikwete, Magufuli, na sasa Samia.
 
Kulipa mikopo ilitokana na kutoza Kodi,kusamehewa madeni ni baada ya mkapa kuuza mashirika ya umma kwa Bei za kutupa,Hadi mabeberu wakampa uenyekiti wa taasisi ya kusambaza idea za soko huria,chachage yakamshinda,akaandika kitabu 'makuwadi wa soko huria',hakuna msingi wowote imara wa uchumi aloweka mkapa
 
Angeyasema hayo wakati Magufuli yupo hai.

Ujinga, ukabila, Udini, rushwa, kutokuwajibika, ufisadi, ubinafsi na unafiki vinafanya tz yetu isiendelee
Yapo documented,hata humu jf ukiyasachi utayapata,brt,sgr,jhp ni mipango ilikuwepo,vipindi vya urais vingekua miaka 15,hayo yangefanyika na mkapa na kikwete
 
Mkapa alikua na mazonge ya kupenda Mali akiwa madarakani,msemo wa kikwete 'kama rais aliyetangulia alifanya biashara ikulu,basi Mimi sitofanya biashara ikulu' lilikua dongo kwa mkapa
Utawala wa Rais Mkapa na tawala zingine zote zilizofuatia Zina uozo mkubwa sana wa masuala ya Ufisadi, ni Utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi peke yake ndio ambao hauna kashfa mbaya sana za Ufisadi. Mwinyi hakuwa na kashfa za Ufisadi kwa sababu ya Mwl. Nyerere. Nyerere alikuwa mkali Sana ktk kukemea Ufisadi na Uovu mwingine.

Mkapa alifanikiwa kupata nafasi ya ufanya Ufisadi baada Mwl. Nyerere kufariki dunia, ndio maana hata wapo baadhi ya Watu wengine wanaamini ya kwamba 'kuna mkono wa Rais Mkapa' kwenye kifo Cha Nyerere, hata mtoto mmojawapo wa familia ya Nyerere aliwahi kutamka hadharani madai kama haya, sikumbuki Jina lake.
 
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu

Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake

Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria

Source: ITV Habari
Huyo bwana ni Mkuda sana sana,amejaa husda tu.
 
Kwahiyo mkapa alivyo asisi na yeye alifanya nini mpaka akamkabidhi Samia? Mzee yule daa
 
Kulipa mikopo ilitokana na kutoza Kodi,kusamehewa madeni ni baada ya mkapa kuuza mashirika ya umma kwa Bei za kutupa,Hadi mabeberu wakampa uenyekiti wa taasisi ya kusambaza idea za soko huria,chachage yakamshinda,akaandika kitabu 'makuwadi wa soko huria',hakuna msingi wowote imara wa uchumi aloweka mkapa

..madeni tulisamehewa kutokana na serikali ya Mkapa kuonyesha jitihada ya kuyalipa, nidhamu ya kukusanya kodi, na kampeni ya kutaka madeni ya nchi masikini yafutwe.

..hoja yangu ni kwamba, Mkapa aliwezesha kusamehewa madeni, na kurudisha imani ya wakopeshaji kwa Tanzania. Huo ndio msingi uliowawezesha Kikwete, Magufuli, na Samia, kutenga mapato ya ndani, au kupata mikopo, kwa ajili ya maendeleo.
 
Kikwete kumtaja Mkapa kafanya diplomasia tu kama kawaida yake. Ukweli ni kuwa Kikwete alikuwa tayari kishamaliza mapatano na China na alikuwa anangoja financing tu.

Hata hapa JF liliwahi kuandikwa kuwa mkataba ulikuwa uwe wa 7.4 billion Dollars, alipoingia magufuli akabadili na kuwapa Waturuki, lakini ukweli ni kuwa hata Upembuzi yakinifu ulikuwa tayari umeshafanywa.

Jikumbushe:

Kwa maana hiyo hata mradi wa Steiglers gorge ulikuwa tayari ufanywe na Brazil. Mradi wa Magufuli na wa eyapoti ya Chato na Daraja la mwanza kuelekea kwao.
 
Back
Top Bottom