Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Kwa maana hiyo hata mradi wa Steiglers gorge ulikuwa tayari ufanywe na Brazil. Mradi wa Magufuli na wa eyapoti ya Chato na Daraja la mwanza kuelekea kwao.
usisahau watu wa kikwte walipinga mradi wa Bwawa la Nyerere kwamba linaharibu mazingira au umesahau? ilikuwa ni vita mpaka akina makamba waliondolewa wizara ya mazingira kwa sabotage waliokuwa wakiifanya walisema wamekata miti milioni 1 leo hii umeme unawaka mnasema kikwete kajenga, typical ya watu wavivu na dhulumati mbona hakuna anayebisha kwamba kikwete alijenga udom au mloganzila? ni kwa sababu iko wazi kwamba kikwete alijenga substandard udom ambayo haijakamilka mpaka leo, mbona hapiganii udom ikamilike anadakia sgr au kwa sababu sgr ni success?