Mzee Kikwete: SGR iliasisiwa na Hayati Mkapa na Mimi wakati namkabidhi Madaraka hayati Magufuli nilimsihi aanze Utekelezaji wa mradi!

Kwa maana hiyo hata mradi wa Steiglers gorge ulikuwa tayari ufanywe na Brazil. Mradi wa Magufuli na wa eyapoti ya Chato na Daraja la mwanza kuelekea kwao.

usisahau watu wa kikwte walipinga mradi wa Bwawa la Nyerere kwamba linaharibu mazingira au umesahau? ilikuwa ni vita mpaka akina makamba waliondolewa wizara ya mazingira kwa sabotage waliokuwa wakiifanya walisema wamekata miti milioni 1 leo hii umeme unawaka mnasema kikwete kajenga, typical ya watu wavivu na dhulumati mbona hakuna anayebisha kwamba kikwete alijenga udom au mloganzila? ni kwa sababu iko wazi kwamba kikwete alijenga substandard udom ambayo haijakamilka mpaka leo, mbona hapiganii udom ikamilike anadakia sgr au kwa sababu sgr ni success?
 
Kikwete hana "watu" wake.

Nilifikiri utasema yeye kapinga, ningekushangaa sana, mradi auanzishe mwenyewe halafu usema anaupinga?

Kama hauelewi Kikwete kafanya maamuzi magumu sana, ya mazingira na kisiasa za kimataifa. Kaamuwa maji yatolewe Victoria kuletwa mikoa mingine, kaamuwa barabara zijengwe kukatiza serengeti, kaamuwa Steigler gorge ijengwe. Yeye ndiye aliyeiunganisha mashariki na Magharibi ya tanzania kwa barabara ya lami.

Hayo yote kwa ushahidi kamili, habari zipo bado kwenye mtandao.
 
kuna msemo kwamba “history is written by the victors/winners” kwa maana nyingine mshindi ndiye hutafsiri (upya) na kuiandika historia upya jinsi impendezavyo yeye …
 
Hiyo tafsiri yako haiko sawa kabisa.

Tafsiri sahihi "Historia huandikwa na washindi".
 
Hakika huu ndio ukweli wenyewe!! Uishi miaka mingi mzee wa MSOGA aka Born in town!!
The father of national!!

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu

Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake

Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria

Source: ITV Habari

Wakati wa Kikwete Mradi wa SGR ndiyo ulianza rasmi. JK akasaini na Wachina kwa bei kubwa na pesa ya kujenga ilitakiwa itolewe na Exim Bank ya China. Ila alipoingia BWANA MKUBWA akageuza kibao. JK na kundi lake walikuwa wanatupiga. Bwana Mkubwa akatangaza tenda upya, Mchina akashindwa na Mturkey ..... Exim Bank wakachomoa kutoa pesa, kwa vile kampuni ya Kichina haikupata tenda. BWANA MKUBWA akasema tutajenga kwa pesa yetu wenyewe. Hii nchi ni Tajiri sana......... Biashara ikaanza!!
 
Rais mchapakazi, Yeye na Mkapa ndio waliojenga SGR na Samia amekuja kuzindua tu. Tuwashukuru kwa moyo wa uzalendo.
Kwanza dhana ya kupokezana kijiti katika uongozi wa nchi haina mshindi. Pili, uwe basi na shukrani kuheshimu mchango wa viongozi; SGR yenyewe haijakamilika unasemaje Mhe. Rais Samia kaja kuizindua? Unajua aliichukua ikiwa ktik asilimia ngap hadi hivi sasa tumefika Dodoma? Tupongeze panapostahili.🙏🙏🙏
 
Nakubali. Ni kweli.kabisa Kuna miradi mingi sana iliasisiwa na Mkapa, Kikwete pia. Tena hii miradi inayokwenda na wakati mingi ni ya Kikwete...framework ziliwekwa na hayati Ally Mwinyi...
Ni vile tu wakati huo haukuwa kama siku hizi, Rais alikuwa akifanya kitu hasemi sana .

Na pia Kuna watu inawauma sana Samia kufanikiwa kumaliza miradi. Walijua hataweza, Alhamdulilah ameweza
Wewe ndo inakuuma kwa nini miradi hii mikubwa na ya heshima kuanzishwa na usiyempenda?
 
Hakuna raisi bora kuwahi kutokea nchi hii kumzidi kikwete,kwasababu hata uhuru ni yeye ndie alifunga safari hapa mpaka uingereza kuomba uhuru ila ndio hivyo tu mzee ni mwanadiplomasia mno akaamua tu amchomekee nyerere
Bange mbichi khatare sana
 
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu

Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake

Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria

Source: ITV Habari
Kikkwete anakaribia kufa
 
Wewe ndo inakuuma kwa nini miradi hii mikubwa na ya heshima kuanzishwa na usiyempenda?
Hapana, huelewi maana ya kuanzishwa, huwezi kuanza kujenga bila ramani. Na ramani huanza na wazo. Kikwete nasema, wazo kipindi cha Mkapam ramani ya kwanza kaichoresha kagame, shirika la Kamarekani. Magufuli kafikish asilimia 30 ya kipande cha Morogoro Dr Morogoro tu, mama samia kakimalizia hicho na kakimalizia kipande kikubwa zaidi cha Moro Dom na kwengine kote kishaanza kwa hatua mbali mbali.

Msijitowe ufahamu, kisa nini cha kujitowa ufahamu? Chuki za kijinga au ubaguzi?
 
Bado umeshindwa kujiheshimu?

Kwa sababu wewe ulichoandika ndio kujitoa ufahamu, Ramani tangu lini iwe kitu halisi?

Hivi hujui kwamba unaweza kutembea na wazo kwamba, ungetamani ufikie Uprof na bado ukafa usifikie wazo hilo?

Sisi tutakusifu na kukuheshimu pindi wazo litakapoleta uhalisia

Yaani kwa akili yako unataka tusifie ramani? Huo ndo ujinga

Unataka tumsifu aliyeishia kuchora ramani SGR badala ya aliteifanyia kazi ramani? Unajua hiyo ramani ilichorwa miaka mingapi hadi JPM akaja kuwa ndie mwanzilishi wa kuchukua hatua kivitendo kujenga SGR?

Hatuwezi kuwasifu wenye ramani ilihali kunawatu wamejenga, heshima ni kwa wanaojenga? Huwezi itwa baba mwenye ramani badala ya baba mwenye nyumba
 
Back
Top Bottom