The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 852
- 1,978
Ndo binadamu anaekula pande kubwa la keki ya taifa la TanzaniaNi kwa sababu alikuwa mwovu, huyu amekutenda nini hadi ufurahie kifo chake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo binadamu anaekula pande kubwa la keki ya taifa la TanzaniaNi kwa sababu alikuwa mwovu, huyu amekutenda nini hadi ufurahie kifo chake?
Miradi mikubwa sio maamuzi ya mtu mmoja ila kuitekeleza inataka mtu smart inaweza kuwa kuna hela ya kutosha ila aliepo ndo bongozozo ninachoamini miradi mikuwa aliyoanzisha magufuli asingezanisha kutekeleza bhasi hadi leo ingekuwa ipo kwenye makaratasi tuu maana mingine imeshaanza kufa.Ni kweli. He did not start anything out of nowhere. He just implemented projects which were in the shelves for a long time. Labda lile daraja la Busisi tu ndio maamuzi yake
Lakini Arifu maendeleo hayatakuja kwa kupiga story na kushinda kuombaomba misaada huko ughaibuni. JPM ameweka alama ya uthubutu ambayo ni nadra sana kwa sisi tulio wengi.Miradi mikubwa sio maamuzi ya mtu mmoja ila kuitekeleza inataka mtu smart inaweza kuwa kuna hela ya kutosha ila aliepo ndo bongozozo ninachoamini miradi mikuwa aliyoanzisha magufuli asingezanisha kutekeleza bhasi hadi leo ingekuwa ipo kwenye makaratasi tuu maana mingine imeshaanza kufa.
Sio mawazo mazuri mkuu, manake unaweza ukafa wewe kabla yake .Uyu mzee akifa nitakesha bar nanunulia watu bia
Shetani mponde mawe adui mwombee kifo...huyo mzee ni adui namba moja wa taifa hiliSio mawazo mazuri mkuu, manake unaweza ukafa wewe kabla yake .
Hata kama kufa ni lazima tujitahidi kuepuka kutabiriana vifo tumuachie Mungu mambo ya vifo
Tusimuombee kufa, sio jambo jema hata kidogo kuombea kifo kwa mwenzako hata kama alikujlkosea kitu gani.Ndo binadamu anaekula pande kubwa la keki ya taifa la Tanzania
hii roho ya huruma/kijamaa uliyonayo ndio inafanya nchi iwe masikini.Tusimuombee kufa, sio jambo jema hata kidogo kuombea kifo kwa mwenzako hata kama alikujlkosea kitu gani.
Kama Mkapa ndiye aliyeasisi kitu gani kilimshinda kutekeleza wakati kila mipango na rasilimali zilikuwa mezani?Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
Mjinga wewe! Na Magufuli alifanya kazi gani?Rais mchapakazi, Yeye na Mkapa ndio waliojenga SGR na Samia amekuja kuzindua tu. Tuwashukuru kwa moyo wa uzalendo.
Sipendi kabisa kumsikia Hilo jinaJK anapenda sana kutembea na hot news
Mheshimiwa... Hao wote uliowataja hapo ni wasomi na wanazuoni (Maprofesa) wakubwa eeh?Hii ni kweli.
Ukikaa na wazee kama Rugunyamheto,Rutabanzibwa,Kamba, na Prof A. Mbele watakwambia kuhusu mipango aliyokuwa nayo B. Mkapa.
Ben ni baba wa mabadiliko.
Ile SAP angekuwa legelege,nchi isingekuwa hapa ilipo.
Ahsante kwa kutuelimisha, sisi ambao hatukuwa kulifahamu hili ndugu JokaKuu 👍🙏..Kamishna wa kwanza wa TRA Melkizedeck Sanare aliteuliwa na Rais Ali Hassan Mwinyi.
..ilikuwa ni kipindi cha mwisho cha serikali ya awamu ya pili.
..Nadhani Mkapa alikuja kuteua Bodi ya Wakurugenzi ya TRA wakati huo Waziri wa Fedha akiwa Prof.Simon Mbilinyi.
Ni hatua kubwa sana! Haikuwa rahisi, ila alifunga macho na akaziba masikio kuhakikisha hili linakamilika! Kweli mheshimiwa Rais ni Mwanamke wa shoka..., anastahili pongezi na apewe heshima yake.Nakubali. Ni kweli.kabisa Kuna miradi mingi sana iliasisiwa na Mkapa, Kikwete pia. Tena hii miradi inayokwenda na wakati mingi ni ya Kikwete...framework ziliwekwa na hayati Ally Mwinyi...
Ni vile tu wakati huo haukuwa kama siku hizi, Rais alikuwa akifanya kitu hasemi sana .
Na pia Kuna watu inawauma sana Samia kufanikiwa kumaliza miradi. Walijua hataweza, Alhamdulilah ameweza
Nafkiri huenda palikuwa na maswala mengineyo nyuma tusiyoyajua (waswahili wanasema chini ya kapeti)..sasa mbona mawaziri wake waliomsaidia ktk wizara ya fedha, kwa maana, Daniel Yona, na Basil Mramba, wakaishia kwenye kushtakiwa kwa ufisadi?
Unaweza ukatupa visa vyao hapa tafadhali, wengine tulikuwa vijana wadogo bado mzee wanguHaya mambo ya kesi za ufisadi wa mawaziri, tena wa fedha achana nayo.
Unakumbuka kesi ya Prof C. Mahalu!!!!???
Ndugu JokaKuu unakumbuka I. Msabaha na "bangusilo"!!??
Ila watu wa pwani ndivyo walivyo... Hawaelemikagi hata wakienda shule.Huyo bwana ni Mkuda sana sana,amejaa husda tu.
Mbona tunakuwa washmab sana..Haya mawazo yote hata bwawa la Nyerer yamekuwepo mda mrefu,,sualal akili kupata pesa yakutekeleza ndo muhimu.Lakini kusema tujenge relief ya SGR harafu huna Hera na mwingine akaja akatumia akili kupata glfedha nakutekeleza mradi ninani Bora???Walidhani wazo lilitoka kwa Mwendazake kumbe tangia "Nzee Nkapa".
Sema Jiwe alithubutu kuianza SGR na Stegolaz(JNHPP). watangulizi wenzake walishindwa.
Mbona tunakuwa washmab sana..Haya mawazo yote hata bwawa la Nyerer yamekuwepo mda mrefu,,sualal akili kupata pesa yakutekeleza ndo muhimu.Lakini kusema tujenge relief ya SGR harafu huna Hera na mwingine akaja akatumia akili kupata glfedha nakutekeleza mradi ninani Bora???
Haha wazo la mkapa halafu yeye akaangalia Tu miaka 10 akamaliza bila kufanya chochote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzee anazeeka vibaya sana
Mbona tunakuwa washmab sana..Haya mawazo yote hata bwawa la Nyerer yamekuwepo mda mrefu,,sualal akili kupata pesa yakutekeleza ndo muhimu.Lakini kusema tujenge relief ya SGR harafu huna Hera na mwingine akaja akatumia akili kupata glfedha nakutekeleza mradi ninani Bora???