Mzee Kikwete: Unapokuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais basi unakuwa na nguvu sana

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Akizungumzia namna yeye binafsi alivyohakikisha Dr Magufuli anakuwa Rais wa JMT mwaka 2015 JK anasema " unajua unapokuwa mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa "

Maana yake alichanganya uenyekiti na urais wake kuhakikisha Magufuli anapeperusha bendera ya CCM.

Kikwete aliweka hili bayana ili kuwaumbua wanafiki waliodai hampendi Magufuli.

Ramadhan Kareem!
 
Wewe hlkijua nguvu ya chairman wa CCM?!
Kikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata.

Jiwe nafsi ilimsuta na kumuuma sana akaamua kumpoza festledi wa awamu ya nne kwa ubunge na kumuachia mamia ya container zake
 
Kikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata. Jiwe nafsi ilimsuta na kumuuma sana akaamua kumpoza festledi wa awamu ya nne kwa ubunge na kumuachia mamia ya container zake
Kama ni kweli basi mama hakuonesha adabu Kwa jiwe.
 
CCM ya Magufuli wajifunze nidhamu haraka na waamke kutoka kwenye kilevi cha awamu ya tano.

Mama anakwenda kuwa mwenyekiti, wakimzingua atawazingua kwelikweli na 2025 wengi wao ubunge watausikia redioni tu.
 
Bungeni kumeelezwa kwamba kuna matangazo ya kumtaja Kikwete, Nape, Kinana na Ndugai kuhusika na matatizo ya Magufuli. Tunapowasifu watu, kila mtu anakuja na fact yake.
 
Mbunge nani kaeleza hayo?
 
Kikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata.

Jiwe nafsi ilimsuta na kumuuma sana akaamua kumpoza festledi wa awamu ya nne kwa ubunge na kumuachia mamia ya container zake
Ushahidi ingependeza sana
 
Mtaani kuna tetesi kuwa msoga kahusika kwenye journey ya mchato kurudi kwenye mbao.
 
Nimesikiliza maoni ya aliyewahi kuwa Rais wa JMT Mh. Jakaya Kikwete kuwa hatarajii chama cha chake kuweza kutenganisha nafasi ya urais na ile ya uenyekiti wa CCM kwa watu wawili tofauti. Ninaheshimu mno mawazo yake, isipokuwa kutenganisha nafasi hizi ni jambo ambalo linazungumzika.

Mimi naona kama ilivyokuwa kwa Rais kuwa "prominent member" wa Bunge la JMT ndivyo ambavyo inawezekana pia kuwa hivyo ndani ya chama chake. Na kwa kufanya hivyo itamfanya Rais ajikite zaidi na kutekeleza vyema majukumu yake aliyokabidhiwa kikatiba.

Chama chake kinaweza kuweka utaratibu wa kikatiba kuwa vikao vyote nyeti vya maamuzi ni yeye peke akiwa kama 'prominent member" ndiye ambaye atakuwa na "exclusive rights" ya kuidhinisha maamuzi ya mwisho.
 
Sasa kuwa na hiyo "prominent member" na "exlusive rights" si ndio uenyekiti wenyewe? au zaidi ya uenyekiti.

Naona kuna kamchezo mnataka kukafanya kumnyima huyo mama uenyekiti bila sababu za msingi, hii inathibitisha hata ule urais hakuupata kirahisi, ndio maana kila siku mama wa watu anasisitiza mimi ni Rais mwenye jinsia ya kike.
 
Nimesikiliza maoni ya aliyewahi kuwa Rais wa JMT Mh. Jakaya Kikwete kuwa hatarajii chama cha chake kuweza kutenganisha nafasi ya urais na ile ya uenyekiti wa CCM kwa watu wawili tofauti. Ninaheshimu mno mawazo yake, isipokuwa kutenganisha nafasi hizi ni jambo ambalo linazungumzika.

Mimi naona kama ilivyokuwa kwa Rais kuwa "prominent member" wa Bunge la JMT ndivyo ambavyo inawezekana pia kuwa hivyo ndani ya chama chake. Na kwa kufanya hivyo itamfanya Rais ajikite zaidi na kutekeleza vyema majukumu yake aliyokabidhiwa kikatiba.

Chama chake kinaweza kuweka utaratibu wa kikatiba kuwa vikao vyote nyeti vya maamuzi ni yeye peke akiwa kama 'prominent member" ndiye ambaye atakuwa na "exclusive rights" ya kuidhinisha maamuzi ya mwisho.
CCM inamhitaji zaidi Rais kuliko Rais anavyoihitaji CCM hasa nyakati za uchaguzi.

Suala la kutenganisha hizo kofia mbili litawafanya CCM wapate kazi ya ziada ya kufuata matakwa ya wananchi wakati wao hawataki.
 
Hyo haipo ,na haitakuja kutokea boss!!! Mwenyekiti wa chama atakuwa na nguvu kuliko raisi....chama kikihtaji msaada na Raisi asifanye, mwenyekiti anamtupia lawama Kwa wajumbe.
 
Back
Top Bottom