johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe unaijua nguvu ya chairman wa CCM?!alitumia muda mwingi kuelezea tunayoyajua, akaacha kueleza tusiyoyajua
Kikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata.Wewe hlkijua nguvu ya chairman wa CCM?!
Kama ni kweli basi mama hakuonesha adabu Kwa jiwe.Kikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata. Jiwe nafsi ilimsuta na kumuuma sana akaamua kumpoza festledi wa awamu ya nne kwa ubunge na kumuachia mamia ya container zake
TehehehheheheehKama ni kweli basi mama hakuonesha adabu Kwa jiwe.
Kama ni kweli basi mama hakuonesha adabu Kwa jiwe.
Mbunge nani kaeleza hayo?Bungeni kumeelezwa kwamba kuna matangazo ya kumtaja Kikwete, Nape, Kinana na Ndugai kuhusika na matatizo ya Magufuli. Tunapowasifu watu, kila mtu anakuja na fact yake.
Ushahidi ingependeza sanaKikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata.
Jiwe nafsi ilimsuta na kumuuma sana akaamua kumpoza festledi wa awamu ya nne kwa ubunge na kumuachia mamia ya container zake
Mtaani kuna tetesi kuwa msoga kahusika kwenye journey ya mchato kurudi kwenye mbao.Kikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata.
Jiwe nafsi ilimsuta na kumuuma sana akaamua kumpoza festledi wa awamu ya nne kwa ubunge na kumuachia mamia ya container zake
Mbunge nani kaeleza hayo?
CCM inamhitaji zaidi Rais kuliko Rais anavyoihitaji CCM hasa nyakati za uchaguzi.Nimesikiliza maoni ya aliyewahi kuwa Rais wa JMT Mh. Jakaya Kikwete kuwa hatarajii chama cha chake kuweza kutenganisha nafasi ya urais na ile ya uenyekiti wa CCM kwa watu wawili tofauti. Ninaheshimu mno mawazo yake, isipokuwa kutenganisha nafasi hizi ni jambo ambalo linazungumzika.
Mimi naona kama ilivyokuwa kwa Rais kuwa "prominent member" wa Bunge la JMT ndivyo ambavyo inawezekana pia kuwa hivyo ndani ya chama chake. Na kwa kufanya hivyo itamfanya Rais ajikite zaidi na kutekeleza vyema majukumu yake aliyokabidhiwa kikatiba.
Chama chake kinaweza kuweka utaratibu wa kikatiba kuwa vikao vyote nyeti vya maamuzi ni yeye peke akiwa kama 'prominent member" ndiye ambaye atakuwa na "exclusive rights" ya kuidhinisha maamuzi ya mwisho.