Mkuu huyo mwenye exclusive rights ndio boss wa chama!!!!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimesikiliza maoni ya aliyewahi kuwa Rais wa JMT Mh. Jakaya Kikwete kuwa hatarajii chama cha chake kuweza kutenganisha nafasi ya urais na ile ya uenyekiti wa CCM kwa watu wawili tofauti. Ninaheshimu mno mawazo yake, isipokuwa kutenganisha nafasi hizi ni jambo ambalo linazungumzika...
Hii hoja ilikua inatumika Kama fimbo ya kumzingua JK wakati ule JK akitaka kutenganisha Siasa na BiasharaNimesikiliza maoni ya aliyewahi kuwa Rais wa JMT Mh. Jakaya Kikwete kuwa hatarajii chama cha chake kuweza kutenganisha nafasi ya urais na ile ya uenyekiti wa CCM kwa watu wawili tofauti. Ninaheshimu mno mawazo yake, isipokuwa kutenganisha nafasi hizi ni jambo ambalo linazungumzika...
Hii concept yako sidhani kama iko hivyo, Rais na mwenyekiti wote wanategemeana, hasa pale Rais anapotaka kugombea muhula wa pili, kama pakiwa na ushindani chamani anaweza toswa akizidiwa nguvu na wajumbe.CCM inamhitaji zaidi Rais kuliko Rais anavyoihitaji CCM hasa nyakati za uchaguzi.
Suala la kutenganisha hizo kofia mbili litawafanya CCM wapate kazi ya ziada ya kufuata matakwa ya wananchi wakati wao hawataki.
Sizungumzii ushindani wa chama.Hii concept yako sidhani kama iko hivyo, Rais na mwenyekiti wote wanategemeana, hasa pale Rais anapotaka kugombea muhula wa pili, kama pakiwa na ushindani chamani anaweza toswa akizidiwa nguvu na wajumbe.
Lakini huyu Rais ni zao la chama, na ili awe Rais na kuunda hizo taasisi au kuteua wasimamizi unazosema lazima chama kimridhie, ndio maana nimekupa mfano kama atakutana na ushindani akitaka kugombea muhula wa pili wajumbe wasimpitishe, hizo machinery unazosema atateua vipi wakuu wake?Sizungumzii ushindani wa chama.
Rais ndio muundaji wa machinery yote ya wasimamizi wa uchaguzi...
Huo mkutano wa wajumbe watakaokuwa kinyume na Rais utafanyikia ndani ya nchi humu humu??Lakini huyu Rais ni zao la chama, na ili awe Rais na kuunda hizo taasisi unazosema lazima chama kimridhie, ndio maana nimekupa mfano kama atakutana na uzhindani akitaka kugombea muhula wa pili wajumbe wasimpitishe, hizo machinery unazosema ataziundia wapi?
Ukifika wakati wa vyama kutafuta wagombea kisheria lazima mkutano ufanyike, no way out, wajumbe watake wasitake utafanyika.Huo mkutano wa wajumbe watakaokuwa kinyume na Rais utafanyikia ndani ya nchi humu humu??
Wewe ni mpumbavu. Kama aliweza kumkata LOWASSA unadhani alishindwa nn kwa MAGUFULI?Kikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata.
Jiwe nafsi ilimsuta na kumuuma sana akaamua kumpoza festledi wa awamu ya nne kwa ubunge na kumuachia mamia ya container zake
Umejichanganya hapa naomba uniweke sawa. Umesema kuwa Kikwete hakutaka Magufuli awe raisi isipokuwa ni zali tu lakini mwisho wa sentensi yako unasema kuwa Mama Salma akamahukia jiwe kwa kumwambia kuwa huo uraisi bila wao asingeupata.Kikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata.
Jiwe nafsi ilimsuta na kumuuma sana akaamua kumpoza festledi wa awamu ya nne kwa ubunge na kumuachia mamia ya container zake
Labda wafuate mfumo wa ACT wazalendo Rais awe ndio KC!Sasa kuwa na hiyo "prominent member" na "exlusive rights" si ndio uenyekiti wenyewe? au zaidi ya uenyekiti.
Naona kuna kamchezo mnataka kukafanya kumnyima huyo mama uenyekiti bila sababu za msingi, hii inathibitisha hata ule urais hakuupata kirahisi, ndio maana kila siku mama wa watu anasisitiza mimi ni Rais mwenye jinsia ya kike.
Hata asemeje, hakuna asiyejua kuwa yeye alikuwa team Membe na kila mtu anajua damu ni nzito kuliko maji! Aliyembeba Magufuli alikuwa ni Mkapa.Akizungumzia namna yeye binafsi alivyohakikisha Dr Magufuli anakuwa Rais wa JMT mwaka 2015 JK anasema " unajua unapokuwa mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa "...
Nguvu ya mwenyekiti wa ccm iko ndani ya madaraka ya urais. JK anajua fika bila mwenyekiti wa ccm kuwa rais, ni dhahiri ccm itaondoka kwenye siasa za ushindani hapa nchini. JK hataki kuwa mnafiki, anajua ni kwa jinsi gani madaraka ya urais yanavyotumika kuibeba ccm, hivyo anajua ccm wakifanya kosa hilo ndio mwisho wake.Wewe hlkijua nguvu ya chairman wa CCM?!