Kwani kushindwa kumudu U-rais kumeanza kwa Samia? Kwani mwendazake alimudu? Mbona pamoja na kutomudu alikuwa mwenyekiti. Samia apewe uenyekiti wa CCM. Tena nasema apewe!Hapa tulikofikia bado samia hatujamuona kama kamudu urais,sasa mnataka kumuongezea tena uwenyekiti wa Chama?
CCM haijui Siasa na haiwezi kushindana kisiasa nje ya msaada wa dola ikiongozwa na Rais. Mwanzo walisema ni utamaduni wao tena mzuri, leo wanaona siyo utamaduni mzuri. CCM wapo njia panda, Samia hawamwamini, wakichagua mwenyekiti mwingine vyombo vya dola na TUME ya uchaguzi hawatantii huyo mwenyekiti wa nje ya Rais. Mwaka wa tabu kwa CCMSiku ccm itatenganisha kofia ya uenyekiti na urais ndio itakuwa mwisho wa hilo dubanwa liitwalo ccm. Naomba hiki unachokitaka kitokee ndio utajua ccm nguvu yake inategemea madaraka ya urais.
Yani First lady ayumbishe Chuma kama JPM seriously, Watu pekee waliokuwa na Control na Hayati ni Marehemu Balozi Kijazi na Hayati B.W Mkapa na sababu ni moja tu sio wapenda publicity kama Kijazi very calm and Humble alikuwa mkono wa kiume wa kuamua mambo mengi sanaKikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata.
Jiwe nafsi ilimsuta na kumuuma sana akaamua kumpoza festledi wa awamu ya nne kwa ubunge na kumuachia mamia ya container zake
km hakumtaka!! Basi J kikwete ana akili nyingi sana sana. Alikiwa anamsaidia asife. Lkn Bure akawa mbishi!! haya sasa Yuko wapi leo huyo mwenda zake Tumuige??Kikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata.
Jiwe nafsi ilimsuta na kumuuma sana akaamua kumpoza festledi wa awamu ya nne kwa ubunge na kumuachia mamia ya container zake
Kwa hiyo shida ni kuwa na Nguvu eee, no wonder hamtaki kata kata kuendelea na mchakato wa katiba mpya...Akizungumzia namna yeye binafsi alivyohakikisha Dr Magufuli anakuwa Rais wa JMT mwaka 2015 JK anasema " unajua unapokuwa mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa "
Maana yake alichanganya uenyekiti na urais wake kuhakikisha Magufuli anapeperusha bendera ya CCM.
Kikwete aliweka hili bayana ili kuwaumbua wanafiki waliodai hampendi Magufuli.
Ramadhan Kareem!
Akili za Membe afisa usalama hatari sana amemuua mwenda zake ki rahisi kabisa!!!Historia inaonyesha ccm asili wana akili kubwa sana na mbinu za kupata wanachotaka.
Sikupingi.Akili za Membe afisa usalama hatari sana amemuua mwenda zake ki rahisi kabisa!!!
Sababu jiwe alikuja na Duru mpya ya kuibadili katiba ya nchi agombee maisha yake yooote mweeee!
Ccm ina wenyewe wala aina mchezo!! Ukkiingia humo fuata mkondo huo ule nchi.
Ukijifanya mimi jiwe. Sijui sokoine tutakuzika unaona hivi
Jiwe mzima yule?? Au kafa kweli.
Alisema haya enzi za uhai wa mwendazake au baada ya marehemu kuwa kaishafikwa na umauti..Akizungumzia namna yeye binafsi alivyohakikisha Dr Magufuli anakuwa Rais wa JMT mwaka 2015 JK anasema " unajua unapokuwa mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa "
Maana yake alichanganya uenyekiti na urais wake kuhakikisha Magufuli anapeperusha bendera ya CCM.
Kikwete aliweka hili bayana ili kuwaumbua wanafiki waliodai hampendi Magufuli.
Ramadhan Kareem!
anakula bata.Sikupingi.
Angalizo: Kutokukupinga hakuhalalishi madai yako.
BTW yupo wapi jasusi? 😅
Mpe salamu zake....anakula bata.
Kuto kunipinga ni demokrasia pia