Nilidhani ni wana SI-HASA tu!Kutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
Kilomoni jiangalie hao jamaa sio watu ni WafilistiKutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
Nilidhani ni wana SI-HASA tu!
Natamani Mo ajitoe nione Simba itafika wapi kama hata dola elfu 10 za kumlipa Vieira watakuwa nazo natamani ishuke kuliko mbaoWakampumzishe kidogo tu maana huyo Mzee simwelewi atuache sie na Simba yetu kila siku kanapinga pinga tu sijui kakoje, nngekuwa mimi nakatia ndani hadi akili zimkae sawa, wakwamisha maendeleo ya mpira wetu
Hata mimi natamani hivyo, lkn kwann watu wachache waturudishe nyuma??Upuuzi wa kiwango cha Phd ya yule bwana majalalaNatamani Mo ajitoe nione Simba itafika wapi kama hata dola elfu 10 za kumlipa Vieira watakuwa nazo natamani ishuke kuliko mbao
Wakampumzishe kidogo tu maana huyo Mzee simwelewi atuache sie na Simba yetu kila siku kanapinga pinga tu sijui kakoje, nngekuwa mimi nakatia ndani hadi akili zimkae sawa, wakwamisha maendeleo ya mpira wetu