Mzee Kilomoni akamatwa na jeshi la Polisi

Mzee Kilomoni akamatwa na jeshi la Polisi

Huyu Mzee Kilomoni alichotaka kusema ni mwendelezo wa alichosema mwakyembe jana,inasemekana alionana naye kwanza waziri akampa ABC ndiyo maana jana kaja na hoja ya asilimia 49 iwe na angalau na watu watatu hadi saba,so bado issue itakwama tu
Mwakyembe hajui Soka, unakumbuka alisema nini kuhusu wachezaji wakigeni na jana akasema nini?
.
Huyu anataka kutuharibia Soka letu na kuirudisha nyuma Simba yani Yanga iliko anataka turudi huko.
.
Magufuli amtumbue huyu
 
Makyembe atatumbuliwa mda si mrefu
Mwakyembe hajui Soka, unakumbuka alisema nini kuhusu wachezaji wakigeni na jana akasema nini?
.
Huyu anataka kutuharibia Soka letu na kuirudisha nyuma Simba yani Yanga iliko anataka turudi huko.
.
Magufuli amtumbue huyu
 
Kutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
hawa ndio wale wanaotegemea kuishi kwa kutegemea klabu. Wanapoona hawana maslai wanatoka povu.
 
Angeshirikiana na wenzake angekuwa na heshima kubwa na club ingemwenzi, na wala hata wasingemtupa,sasa hivi akishindwa hapo kwanza anafutwa uanachama na hana lolote,too bada!
hawa ndio wale wanaotegemea kuishi kwa kutegemea klabu. Wanapoona hawana maslai wanatoka povu.
Kabisa, sasa hivi fedha zote ziko monitored
 
Angeshirikiana na wenzake angekuwa na heshima kubwa na club ingemwenzi, na wala hata wasingemtupa,sasa hivi akishindwa hapo kwanza anafutwa uanachama na hana lolote,too bada!
Hili ndio jambo la msingi, mambo ya Mzee Akilimali aliyokuwa akiyafanya enzi za Manji alivyoondoka klabu ikadorora hailipi wachezaji fedha hakujitokeza hata mara moja kusaidia klabu.
.
Sasa hivi kina Dante, Juma abdul na Kelvin Yondani wanadai hata hasikiki kuwa kawalipa, hawa wazee ni wasaka tonge sio wakuachwa na bahati nzuri Simba hivi sasa haiongozwi na wazee
 
Kutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
Ha ha ha kweli mzee K ni K!
 
Mwambieni mzee ubatizo wa moto hauna kikomo cha ndani ya chama pekee, mpaka nje ubatizo unaendelea.
 
Hata yeye kama mstaafu inawezekana ametoa waraka kwa kutumia nembo ya Simba...tehtehtehtehtehteh
Halafu waraka wenyewe umehusisha mambo ya kushindiliana misumari ya moto ndo maana wenzake wamemtumia bunduki
 
Wakampumzishe kidogo tu maana huyo Mzee simwelewi atuache sie na Simba yetu kila siku kanapinga pinga tu sijui kakoje, nngekuwa mimi nakatia ndani hadi akili zimkae sawa, wakwamisha maendeleo ya mpira wetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
Habari yote hii bila picha kweli? Wabongo bhana daaah
 
Hivi tuwe wakweli tu Mo mara paap kajitoa Simba unafikiri Simba itakuwa wapi au Kilomoni ataisaidia nini Simba?
Ndo anachopinga kilomoni hicho. Unadhani Stan Kroonke akitoka pale Arsenal timu itatetereka. Mo ni mdhamini au mwekezaji?! Kikubwa taratibu zifuatwe tu kusiwe na upindishwaji wa mambo.
 
Back
Top Bottom