View attachment 1162309
View attachment 1162310
Khamis Kilomoni aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Klabu ya Simba amekamatwa leo kwa tuhuma za kuitisha kusanyiko nyumbani kwake bila kibali
Leo Julai 25, 2019, Mzee Kilomoni aliitisha mkutano na Waandishi wa Habari, nyumbani kwake maeneo ya Kinondoni Jijini Dar
Hata hivyo Askari wa Jeshi la Polisi walifika na kumchukua kabla ya mkutano huo na Wanahabari kuanza
Hivi karibuni Mzee Kilomoni aliingia kwenye mgogoro na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji