Mzee Kilomoni akamatwa na jeshi la Polisi

Mzee Kilomoni akamatwa na jeshi la Polisi

Kutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
Kuna makuandi matatu ktk hili swala kundi 1 wao wanaongalia furaha ya vikombe tu awataki kujua chochote 2 wale waliokuwa wananufaika na Simba kabla ya uwekezaji 3 masilahi ya mwekezaji na biashara
 
Kutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
WanaYanga kamtoeni mzee wenu Selo au ajidhamini kutumia Hati anayoishikilia.
 
Wakampumzishe kidogo tu maana huyo Mzee simwelewi atuache sie na Simba yetu kila siku kanapinga pinga tu sijui kakoje, nngekuwa mimi nakatia ndani hadi akili zimkae sawa, wakwamisha maendeleo ya mpira wetu
Simba yako? Hata mia huchangii ati Atuachie timu yetu. Wakati inaanzishwa wewe ulikuwepo? Wacha wenye timu wadai haki zao, kama vipi kaanzishe na nyie ya kwenu na Moo dewji weni.
 
washenzi sana hawa, wakiona mdhamini nduki kuleta vurugu, yule akilimali hadi leo haonekani akija mdhamini huyo analeta miguu yake kuleta vurugu
Kipindi kile Manji yupo Yanga hawa wazee kutwa wanacheza bao na draft pale Jangwani wanasuburi mgao, sasa hivi hakuna hata mmoja anaefika pale jengo lina buibui balaa.
 
Dua LA kuku hill kaka
Mzee Kilomoni anaweza kupewa kesi ya uchochezi unafahamu hilo?
.
Anavuruga amani anaweza kuvamiwa kwake na hivi ni rahisi kuingilika wakamuuwa maana analeta hisia za chuki anaudhi sana yule mzee anastahili kupewa kesi ahangaike nayo mpaka anakufa
 
Nadhan kukaa mezan ya kuyamaliza ni jambo zuri sana kila mtu ana hoja ya msingi, mgogoro wa simba upo wazi sana pia
 
Mzee Kilomoni anaweza kupewa kesi ya uchochezi unafahamu hilo?
.
Anavuruga amani anaweza kuvamiwa kwake na hivi ni rahisi kuingilika wakamuuwa maana analeta hisia za chuki anaudhi sana yule mzee anastahili kupewa kesi ahangaike nayo mpaka anakufa
Apewe kesi ya kutakatisha pesa ahangaike nayo kama singa singa wa escrow
 
Back
Top Bottom