Statarea
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 891
- 1,278
- Thread starter
- #141
Timu yenye fedha kuliko zote Afrika mashariki, timu yenye kiwango bora kuliko zote afrika mashariki, timu yenye mashabiki wengi kuliko zote afrika mashariki, timu yenye ushawishi mkubwa afrika mashariki na kati unaiita mbumbumbu kweli?Mbumbumbu fc buana
.
Huna shukrani tumekubeba uende champions league alafu unafanya maandalizi Morogoro na kuwalisha wachezaji matikiti ukipigwa mechi za awali utalalamika?